You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Trump atishia kuweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za EU
Rais Donald Trump atishia kuweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za Umoja wa Ulaya
China na EU zatafakari juu ya biashara na Marekani
China, EU zinatafakari upya namna ya kuendesha bishara bila ya kuitegemea US katika vita vya kibiashara inayoshuhudiwa.
Urusi yafanya mashambulizi ya makombora Ukraine
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya makombora na droni dhidi ya miundombinu ya Ukraine hatua iliyozua hofu kwa EU.
Syria yaanzisha operesheni ya usalama dhidi ya wapiganaji
Syria imeanzisha operesheni ya usalama baada ya watu 70 kuuawa katika amshambulizi nchini humo.
Viongozi wa EU waafikiana kuongeza matumizi ya ulinzi
Nchi 26 za EU zilitoa tamko la pamoja la mshikamano na Ukraine lakini Hungary ilikataa kutia saini nyaraka hiyo.
Viongozi EU wakutana kuijadili Ukraine na usalama wa Ulaya
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekutana kwa dharura mjini Brussels kujadili kuimarisha usalama wa umoja huo na Ukraine.
Ukraine yasema inao uwezo wa kuendelea kupambana na Urusi
Ukraine imesema inaweza kuendelea na mapambano dhidi Urusi hata baada ya Marekani kusitisha kwa muda msaada wa kijeshi.
Uingereza yajitolea kwa ajili ya amani ya kudumu Ukraine
Ursula von der Leyen amependekeza ufadhili mpya wa takriban dola bilioni 841.5 kwa uwekezaji wa ulinzi katika umoja huo.
Viongozi wa Ulaya wanakutana London kujadili migogoro
Hapo jana, Waziri Mkuu wa Uingereza Kier Starmer alimkaribisha kwa bashasha rais wa Ukraine Volodymir Zelenskiy.
Starmer kuwakutanisha viongozi wa Ulaya juu ya Ukraine
Keir Starmer ameitisha mkutano wa kilele na viongozi wa Ulaya kuzungumzia hatua za kuisaidia Ukraine.
Von der Leyen yuko India kutafuta ushirikiano
Ursula von der Leyen, amesema umoja huo unatafuta ushirikiano wa kiusalama na kiulinzi na India.
Trump amkaribisha Starmer bila ahadi ya usalama kwa Ulaya
Trump ameonesha kulegeza msimamo juu ya amani ya Ukraine bali hakumpa Starmer ahadi yoyote kwa usalama wa Ulaya.
Trump kumkaribisha Starmer White House
Rais Donald Trump wa Marekani leo atamkaribisha Ikulu mjini Washington Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer kwa mazungu
Starmer afanya ziara ya kukutana na Trump Washington
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anafanya ziara nchini Marekani leo.
Macron awaambia wenzake wa EU alichozungumza na Trump
Donald Tusk, amewataka viongozi wa Ulaya kutokubali "kujisalimisha" kwa Urusi kuhusiana na swala la Ukraine
Rwanda yaishutumu Uingereza kwa kusitisha msaada wa kifedha
Rwanda imeitaja Uingereza kama ambayo sasa imeonyesha inasimama upande gani katika mzozo wa Kongo.
Uingereza yasitisha msaada kwa Rwanda kutokana na vita DRC
Msaada kwa Rwanda utasitishwa mpaka kupatikane kile kilichoelezwwa kuwa "maendeleo makubwa” katika kupunguza mapigano.
Uingereza yasema inajiandaa kuiwekea Rwanda vikwazo
Kongo ambako kundi la Waasi wa M23 linaloaminika kuungwa mkono na utawala mjini Kigali linasonga mbele.
Viongozi wa Kongo na Burundi wakutana
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, amekutana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi.
EU na Israel kujadili mustakabali wa Gaza, siasa za kikanda
Mazungumzo hayo yanalenga kujikita juu ya hali ya kibinadamu katika ukanda wa Gaza, uhusiano wa Israel na Palestina.
EU kuondoa vikwazo katika sekta ya benki na nishati Syria
Hatua hiyo inayotarajiwa kuidhinishwa katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya.
EU na Marekani zashinikiza Syria kuondolewa vikwazo
Vikwazo vilivyowekwa dhidi ya serikali ya zamani ya al-Assad, vinaendelea kuwepo licha ya kuondolewa kwake madarakani.
Viongozi wa Ulaya waitisha mkutano wa dharura Paris
Viongozi Umoja wa Ulaya wanakutana Jumatatu katika mkutano maalumu wa dharura mjini Paris nchini Ufaransa.
Donald Trump aujaribu uhusiano wa EU na Marekani
Umoja wa Ulaya unajitahidi kuonyesha uhuru wake wa kiuchumi dhidi ya Marekani huku ukiendelea kuitegemea kwa ulinzi.
Wahamiaji haramu 600 wakamatwa Uingereza
Kikosi maalum cha maafisa wa uhamiaji nchini Uingereza, kimewakamata wahamiaji haramu zaidi 600 mwezi Januari, hili liki
Kiongozi wa Waislamu wa Ismailia Aga Khan afariki dunia
Aga Khan anakumbukwa kwa michango yake kwa maendeleo ya jamii kote ulimwenguni kuanzia elimu, afya na mengineyo.
Kansela Scholz akutana na Starmer huko Uingereza
Mwaka uliopita Kier Starmer alifanya ziara Ujerumani na kukubaliana na Kansela Scholz juu ya kuimarisha uhusiano.
Mwadiplomasia wa juu wa EU: 'Hujuma zinaongezeka Ulaya'
Dpnald Trump anaweza kuitetemesha Ulaya, lakini Kaja Kallas alionyesha matumaini katika mahojiano na DW.
Uingereza yatishia kuikatia misaada Rwanda kwa yajiriyo Goma
Uingereza imeionya Rwanda kwamba inaweza kupoteza msaada wa dola bilioni moja kwa mwaka kutoka jumuiya ya kimataifa.
Raia wa Belarus wameanza kupiga kura kumchagua Rais
Raia wa Belarus wanapiga kura kumchagua kiongozi wao, wakati Rais anayetetea muda wake Alexander Lukashenko.
Mataifa ya magharibi yawataka raia wake kuondoka Goma
Hayo ni kutokana na mapambano makali yanayoendelea nje kidogo ya mji wa Goma.
Li'ti Kidanka alifahamika zaidi kama Malkia wa Nyuki
Wakoloni wa Kijerumani walipoingia Afrika Mashariki, walikutana na nguvu ambayo hakuna aliyekuwa ameitarajia ya Li'ti Kidanka. Li’ti Kidanka alikuwa kiongozi wa kiroho kutoka jamii ya kabila la WaNyaturu mkoani Singida, kanda ya Kaskazini-Kati mwa Tanzania.
Prince Harry ajivunia ushindi dhidi ya Magazeti ya Murdoch
Harry na mlalamikaji mwenza Tom Watson, wamesema ushindi huo unaonyesha hakuna alie juu ya sheria.
Mawaziri wa EU wahimiza mshikamano mbele ya utawala wa Trump
Wamekubaliana kuwa uchumi imara katika Umoja wa Ulaya ni silaha bora ya kupambana na changamoto kutoka Marekani.
Starmer kuwasili Poland baada ya ziara yake nchini Ukraine
Starmer amesema Uingereza na Poland ni washirika wa muda mrefu na ushirikiano wao utaendelea.
Uingereza yaahidi kuihakikishia Ukraine usalama
Keir Starmer, aahidi kushirikiana na Ukraine pamoja na washirika wake kutoa dhamana za kiusalama.
Ukraine, Uingereza zasaini mkataba wa ushirikiano
fumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine umezidunguwa droni kadhaa za Urusi katika mji mkuu, Kyiv.
Keir Starmer kusaini mkataba wa ushirikiano na Ukraine
Waziri Mkuu wa Uingereza yuko Kyiv kusaini mkataba wa ushirikiano na Ukraine.
EU yazindua mpango kulinda hospitali dhidi ya udukuzi
Hatua ni kuanzisha kituo cha msaada wa usalama wa kimtandao kwa hospitali na watoa huduma za afya Ulaya.
Mazungumzo kati ya Uingereza na Iraq kuashiria 'enzi mpya'
Mazungumzo hayo yametajwa na Iraq kuwa hatua ya kuashiria enzi mpya ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
EU yatangaza msaada mpya wa kiutu kwa Waukraine
Umoja wa Ulaya watangaza msaada mpya wakiutu kwa waathirika wa vita Ukraine
Mawaziri wa EU wajadili kulegeza vikwazo dhidi ya Syria
Kulegezwa kwa vikwazo kutategemea viongozi wapya wa Syria kutekeleza mchakato wa mpito wa kisiasa.
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wakamatwa na Ukraine
Ukraine imetangaza kuwakamata wanajeshi wawili wa Korea Kaskazini waliokuwa wanapigana upande wa Urusi.
11.01.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres aitaka Venezuela kuwaachia huru watu wanaoendelea kuzuiliwa bila kufunguliwa mashitaka. Amri ya kutotembea nje yatangazwa Los Angeles, California kufuatia matukio ya moto mkali. Na Marekani na Uingereza zaiwekea vikwazo vipya Urusi.
Idadi ya wagonjwa wa homa ya mafua yaongezeka Uingereza
Huku wafanyakazi wakiripoti kuwa chini ya shinikizo kubwa sawa na ilivyokuwa wakati wa kilele cha janga la COVID-19.
Jeshi la Uingereza liliuwa kwa makusudi Afghanistan
Wanajeshi wa kikosi maalum cha Uingereza nchini Afghanistan wamesema raia wa Kiafghani wasiokuwa na hatia waliuawa.
Baerbock: EU inaendelea kufuatilia mchakato wa kisiasa Syria
Baerbock ameyasema hayo mjini Damascus Syria ambako yeye na waziri mwenzake wa Ufaransa Jean-Noël Barrot, walizuru.
Miaka 25 ya Rais Putin: Kwanza rafiki, na sasa adui
Putin anaendesha vita Ulaya. Lakini mtawala huyo wa Kremlin alianza kwa matumaini ya kusawazisha uhusiano na Ulaya.
Matangazo ya Jioni | Disemba 31, 2024
Umoja wa Ulaya kutumia njia mbadala kuagiza gesi
Msemaji wa Halmashauri ya EU amesema umoja huo unamiundombinu za kutosha kusafirisha gesi Ulaya ya Kati na Mashariki.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 50
Ukurasa unaofuatia