You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tsipras atafuta kuungwa mkono nyumbani
Ugiriki iko katikam mkwamo na wakopeshaji wake wa kimatifa kuhusu mapendekezo yake ya mageuzi
Tsipras, Juncker ana kwa ana tena juu ya Ugiriki
Mazungumzo ya Brussels yaliisha bila mufaka, lakini kulikuwepo na matumaini
Afrika Mashariki yalia na EU makubaliano ya EPA
Kenya ilishinikizwa kusaini makubaliano ya EPA baada ya EU kuiminya.
Mataifa yenye nguvu za kiuchumi duniani yakutana
Merkel kuwakaribisha viongozi wenzake wa mataifa saba tajiri duniani.
Mawaziri wa fedha wa G7 kujadili uchumi wa dunia Dresden
Mgogor wa Ugiriki, kushuka kwa ukuaji wa uchumi wa dunia kugubika mkutano huo
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wakusanyika mjini Riga
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amewaambia washirika wa Umoja wa Ulaya katika Ulaya ya Mashariki kutotarajia mambo mengi sana kutoka kwa umoja huo. Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanahudhuria mkutano wa kilele mjini Riga
Merkel asema EU hainuii kuibana Urusi
Merkel asema EU hainuii kuibana Urusi
Cameron ashinda uchaguzi mkuu wa Uingereza
Cameron ashinda uchaguzi mkuu wa Uingereza
Waingereza wapiga kura leo
Waingereza wapiga kura leo
Uchaguzi Uingereza waitia kiwewe EU
Waingereza ni watu wasioupenda sana Umoja wa Ulaya licha ya kuwa wanachama kwa miaka 40.
Chelsea ndio mabingwa wa Uingereza
Chelsea imejihakikishia ubingwa wa Premier League msimu huu nchini Uingereza ikiwa imebakia michezo mitatu baada ya ushindi wa kazi wa bao 1-0 dhidi ya Crystal Palace
Meli za Ujerumani kunusuru maisha Mediterenia
Meli za Ujerumani kunusuru maisha Mediterenia
Chelsea mkono mmoja kwenye taji la Premier Uingereza
Taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Premier Uingereza linaweza kuwa tayari limeshaingia kapuni kwa Chelsea iwapo siku ya Jumatano mabingwa hao watarajiwa watafanikiwa kuishinda Leicester City.
Maoni: Uhamiaji mkubwa
Maelfu wameuwa katika bahari ya Mediterrania wakijaribu kuwasili barani Ulaya
Maoni: Hakuna mabadiliko ya sera kuhusu wakimbizi
Maoni: Hakuna mabadiliko ya sera kuhusu wakimbizi
Ulaya yatakiwa kunusuru maisha
Ulaya yatakiwa kunusuru maisha
Chelsea yakaribia kutwaa ubingwa Uingereza
Chelsea iko pointi saba mbele katika msimamo wa ligi ya Uingereza Premier League baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Queens Park Rangers. Vijana hao wa kocha Jose Mourinho wanakaribia kutwaa ubingwa
Al-Qaeda waachia huru mamia ya wafungwa Yemen
Wanamgambo wa Al-Qaeda wamevamia gereza moja kusinimashariki mwa nchi hiyo na kuwaachia huru mamia ya wafungwa akiwemo mmoja wa viongozi wake Khalid Bartafi
Mazungumzo ya Lausanne yaongezewa muda
Licha ya Iran na mataifa makubwa duniani kutofikia makubaliano hadi sasa kwenye mazungumzo juu ya nyuklia ya Iran, kuna dalili nyingi za kupatikana kwa mkataba huku yakiongezewa siku moja.
Tsipras: Tunataka muafaka unaozingatia hali halisi
Tsipras: Tunataka muafaka unaozingatia hali halisi
Mgogoro wa Yemen wazidi kutisha
Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Riyadh Yaseen ametowa mwito kwa nchi za kiarabu za ghuba kuingilia kati kijeshi kuwazuia wanamgambo wakiouthi kusogea mbele.
Timu za Uingereza zina kibarua kigumu Ulaya
Barcelona, Monaco, Juventus na Bayer Leverkusen zinatetea uongozi wao kutokana na mechi za mkondo wa kwanza, wakati wakilenga kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mazungumzo ya nyuklia ya Iran yaanza tena
Mazungumzo ya nyuklia ya Iran yaanza tena
Assad bado yuko madarakani miaka mitano vitani
Assad bado yuko madarakani miaka mitano vitani
Mapambano yaripotiwa Mashariki mwa Ukraine
Mapambano yaripotiwa Mashariki mwa Ukraine
Umoja wa Ulaya kuiongezea Urusi vikwazo
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wako mjini Riga, Latvia, kujadili mzozo wa Ukraine ambao bado haujapatiwa ufumbuzi kamili. Miongoni mwa mengine wamekubaliana kuongeza vikwazo kwa Urusi.
Mchinjaji mateka wa IS 'Jihadi John' ni raia wa Uingereza
Mchinjaji mateka wa IS 'Jihadi John' ni raia wa Uingereza
Ugiriki, Eurogroup washindwa kuafikiana
Ugiriki na mawaziri wa fedha wa kanda ya euro wameshinda kuafikiana na watajaribu tena siku ya Jumatatu.
Merkel na Cameron wajadili biashara na Umoja wa Ulaya
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameahidi kumsaidia waziri mkuu wa Uingereza David Cameron kulitatua tatizo la watu wanaotumia vibaya mfumo wa nchi hiyo wa malipo ya uzeeni na msaada kwa wasiojiweza.
Merkel kukutana na Cameron jijini London
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel leo (07.01.2015) anafanya zaira yake ya kwanza ya kigeni mwaka huu. Atazungumza na Cameron kuhusu mipango ya kuratibu upya uhusiano wa Uingereza na Umoja wa Ulaya.
Matokeo ya michuano ya Kombe la FA Uingereza
Vigogo vya soka la Uingereza vilipoingia katika kinyang'anyiro cha kombe la FA, kumekuwa na hali ya kuponyoka kwa chupu chupu, kwa vigogo hivyo vya Premier League mikononi mwa timu za madaraja ya chini.
Mgonjwa wa Ebola Scotland awasili London
Mtumishi wa kwanza katika sekta ya afya ambae amegundulika kuambukizwa virusi vya Ebola nchini Uingereza amewasili mjini London kwa matibabu.
Cameron aanza kuwakera wanachama wa EU
Mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya EU, yanaonekana kuanza kuchoshwa na vitisho vya Uingereza kujitoa katika umoja huo, kutokana na madai ya waziri mkuu David Cameron kutaka kubadilisha kanuni za msingi wa umoja huo.
Makubaliano ya kudhibiti biashara ya silaha yaanza kutekelezwa
Makubaliano ya kudhibiti biashara ya silaha duniani yanaanza kutekelezwa leo (24.12.2014), huku wanaharakati wakiapa kuwa watahakikisha makubaliano hayo yanatekelezwa ipasavyo.
Maoni:Wito wa kutofanya vita na Urusi una mapungufu
Wajerumani 60 mashuhuri wiki hii wametoa mwito dhidi ya kupigana vita na Urusi kuhusiana na mzozo wa Ukraine. Ingo Manteufel wa DW anasema mwito huo ni wa kuheshimika ila unapuuza masuala muhimu na ukweli halisi.
Daktari wa Congo akabidhiwa tuzo ya Sakharov
Tuzo ya Sakharov inayotolewa na Bunge la Ulaya kwaajili ya utetezi wa haki za binaadamu inakabidhiwa kwa daktari wa nchini Congo Dr Denis Mukwege kwa kazi yake ya kuwasaidia maelfu ya waathiriwa wa ubakaji
Ujerumani, Uingereza kukutana katika Champions League
Duru ya Champions League itakayoamua timu gani inachukua nafasi ya kwanza na ipi inachukua nafasi ya pili inaanza wakati timu tatu za Bundesliga zikiumana na tatu za Premier league ya Uingereza.
Mwisho wa mazungumzo ya nyuklia ya Iran wawadia
Masaa yanazidi kuyoyoma kufikia muda wa mwisho yaliojiwekea mataifa sita yenye nguvu duniani pamoja na Iran kwenye mazungumzo yao ya kumaliza mkwamo wa miaka 12 kwenye mpango ya nyuklia wa Iran.
Ujerumani haioni matumaini katika mzozo wa Ukraine
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Ujerumani Frank Walter Steinmeier alisema Jumanne (18.11.2014) haoni sababu za kuwa na matumaini kuhusu mzozo unaoendelea Ukraine kutokana na machafuko kuongezeka mashariki mwa nchi hiyo.
Mapigano baina ya India na Pakistani yaongezeka
Mapigano kati ya India na Pakistan kuhusiana na eneo la Kashmir yameongezeka na kufikia kuwa janga la kibinaadamu.
Wakimbizi kupewa haki zaidi Ujerumani
Bunge la Ujerumani linajadili kuhusu sera za watu wanaotafuta hifadhi ya ukimbizi hapa nchini. Pamoja na hayo, wabunge pia wanazizungumzia sheria za wakimbizi zilizowekwa na Umoja wa Ulaya.
Uingereza yakataa kulipa malipo ya ziada ya bajeti
Uingereza inalalamikia ombi la Umoja wa Ulaya kutaka nyongeza ya mchango wa euro bilioni 2.1 katika hazina ya Umoja huo katika wakati ambapo mbinyo unaongezeka kwa Uingereza kujitoa kutoka kundi hilo la mataifa 28.
Viongozi wa EU kujadili hali ya hewa, Ebola
Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wanakutana leo Brussels kujadili sera mpya ya nishati, ambayo inaazimia kupunguza utoaji wa hewa ya ukaa inayochafua mazingira na kuongeza joto ulimwenguni.
Maoni: Juncker kuleta mabadiliko Ulaya?
Wabunge wa Umoja wa Ulaya wameipitisha kamisheni mpya inayoundwa na makamishna 27 pamoja na mwenyekiti wao Jean-Claude Juncker. Bernd Riegert anatoa maoni yake juu ya viongozi hao wapya.
Bunge la Uingereza laitambua Palestina
Bunge la Uingereza limeridhia azimio la kulitambua taifa la Palestina, hatua ambayo waungaji mkono wanasema ni ishara ya wazi kwa Israel, huku Israel ikiita kitendo kinachohujumu jitihada za amani.
Diego Costa aendelea kuwika Uingereza
Diego Costa alipachika goli lake la nane katika ligi ya Uingereza , Premier League wakati viongozi Chelsea wakiendelea na mwanzo mzuri kwa kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Aston Villa.
Scotland yaendelea kuwa sehemu ya Uingereza
Wapiga kura wa Scotland wamepinga katika kura ya maoni ya kihistoria wazo la kuwa huru na kuamua kuendelea kuwa sehemu ya muungano wa Uingereza.
Hatma ya Uingereza yaamuliwa Scotland
Hatma ya muungano wa miaka 307 wa Uingereza iko mikononi mwa Scotland, ambayo wakaazi wake wanaamua Alhamisi hii, iwapo nchi hiyo inajitenga na Uingereza au la, katika kura ya maoni iliyolisismua taifa hilo.
Uingereza yajipanga kulipiza mauaji ya Haines
Baada ya kundi linalojiita 'Dola la Kiislamu' kusambaza vidio ya kukatwa kichwa kwa raia wa Uingereza, Waziri Mkuu David Cameron ameitisha mkutano wa dharura kujadiliana hatua za kuchukuwa.
Ukraine kulipanga upya jeshi lake Mashariki mwa nchi hiyo
Rais wa Ukraine Petro Poroshenko amesema anawapanga upya wanajeshi wake Mashariki mwa nchi hiyo ili kuboresha ulinzi wake dhidi ya watu wanaotaka kujitenga Mashariki mwa nchi hiyo wanaoiunga mkono Urusi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 39 wa 50
Ukurasa unaofuatia