You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ufaransa, Uingereza zakubaliana kuunda ndege zisizorubani
Nchi hizo mbili zitawekeza zaidi ya Euro bilioni 2 katika uundaji wa ndege zisizo na rubani
Cameron aonya kujiondoa Umoja wa Ulaya
Cameron: Kuondoka Umoja wa Ulaya kutatishia uchumi na usalama wa taifa
Yaliyomo Magazetini
Hofu za kuenea Hisia za Chuki dhidi ya Wageni Mashariki
Viongozi wa EU watafuta makubaliano juu ya madai yaUingereza
Tusk asema bado kuna mengi ya kufanywa kuizuwiya Uingereza kuondoka katika Umoja wa Ulaya
Wasemavyo wahariri wa Ujerumani
Wamesemavyo wahariri wa magazeti ya Ujerumani.
Mipango mipya kuzuwia "Brexit" kuwasilishwa
Ufaransa yaonya itazuwia pendekezo litakalokwenda mbali.
Uingereza yahodhi majadiliano
China ina uwezo wa kudhjamini ukuaji imara wa kiuchumi
Je, huu ndiyo mwisho wa Umoja wa Ulaya?
Wadadisi wa mambo wanahofia huenda Umoja wa Ulaya unaelekea kusambaratika.
Uingereza yapendekeza kufutwa rekodi za riadha
Shirikisho la riadha la Uingereza limependekeza rekodi zote zilizowekwa katika mchezo huo zifutwe
Merkel, Hollande waionya Uingereza
Uingereza inataka makubaliano kuhusu mageuzi ndani ya EU ili kubakia kuwa mwanachama.
Umoja wa Ulaya kuijadili Uingereza na uhamiaji
Viongozi wa Umoja wa UIaya watalijadili suala la Uingereza na mgogoro wa wakimbizi
Uingereza yachukua hatua Syria
Uingereza yachukua hatua Syria
Uingereza yaanza mashambulizi Syria
Uingereza yaanza mashambulizi Syria
Uingereza kuamua kushiriki mapambano dhidi ya IS
Bunge la Uingereza kupiga kura kuamua juu ya hatua dhidi ya kundi la dola la kiisilamu
Murray aisaidia Uingereza kushinda Davis Cup
Murray aisaidia Uingereza kushinda taji la tennis la Davis baada ya miaka 77
Uturuki kupewa euro bilioni 3 kuwasaidia wakimbizi
Makubaliano hayo kati ya Uturuki na Umoja wa Ulaya ni ya kihistoria na fedha itasaidia kuzuia wahamiaji kuingia Ulaya.
Wachezaji kuwakumbuka wahanga wa Paris
Uingereza na Ufaransa kukutana katika mchuano wa kirafiki uwanjani Wembley
''Jihadi John'' alengwa kwenye mashambulizi ya Marekani
Marekani yaishambulia ngome ya IS Syria
Mtoto wa mwaka mmoja apona saratani ya damu
Mtoto mmoja wa kike nchini Uingereza, amekuwa mtu wa kwanza duniani kupona saratani ya damu
EU yaitaka Ujerumani kuilinda mipaka ya nje
Rais wa baraza la umoja wa Ulaya Donald Tusk ameitaka Ujerumani kuchukua hatua zaidi za kulinda mipaka
Ujerumani kuwashughulikia wakimbizi wanaoomba hifadhi
Kansela Merkel ametangaza mipango ya kuwashughulikia wakimbizi wanaoomba hifadhi Ujerumani
Karata za David Cameron
Sura halisi ya wajerumani
Uingereza na Marekani: Huenda ndege ya Urusi ililipuliwa
Uingereza na Marekani zasema huenda ndege ya Urusi ililipuliwa Misri
"Vyama vina hisia mbaya juu ya NEC na ZEC"
Waangalizi wa Umoja wa Ulaya wamesema uchaguzi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa umeendeshwa vizuri lakini kuna kasoro.
Merkel aahidi kuisadia Uturuki kujiunga na EU
Kansela Merkel amesifu hatua zilizopigwa katika kuisaidia Uturuki kukabiliana na mgogoro wa wakimbizi
Urusi inaendelea na mashambulizi yake ya anga nchini Syria
Umoja wa Ulaya umeishutumu Urusi kwamba inahatarisha juhudi za amani nchini Syria
Merkel, Hollande kulihutubia bunge la Ulaya
Merkel, Hollande kulihutubia bunge la Ulaya
Ujerumani inapaswa kuongoza barani Ulaya
Muungano umeleta mafanikio
EU yaahidi Euro bilioni 1 kwa wakimbizi Mashariki ya Kati
Nchi zinazohifadhi wakimbizi zakubaliwa ushirikiano
Wakuu wa EU kujadili mzozo wa wahamiaji
Baada ya mawaziri wa ndani kupata muafaka
Hungary yaanza kujenga uzio kwenye mpaka na Croatia
Waziri mkuu Viktor Orban anasema kuruhusiwa wakimbizi kuingia Ulaya kutavuruga misingi ya Ukristu ya Ulaya.
Uingereza na Iran zafungua balozi zao
Uingereza na Iran zinatarajiwa kufungua rasmi balozi zao leo Jumapili(23.08.2015)
Ufaransa na Uingereza zakubaliana kukabiliana na uhamiaji
Uingereza na Ufaransa zimetangaza kuzinduliwa kwa kituo kipya cha kuthibiti ulanguzi wa wahamiaji
Marekani na Uingereza zataka vikwazo dhidi ya Sudan Kusini
Marekani na Uingereza zimeanza mazungumzo katika vikao vya Umoja wa Mataifa kushinikiza vikwazo dhidi ya Sudan Kusini
Burundi yapuuza nguzo muhimu ya amani
Burundi imetumbukuia katika mgogoro tangu rais Pierre Nkurunziza alipotangaza azma ya kugombea muhula mwingine.
Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda aachiwa huru na Uingereza
Mahakama Uingereza imemuachia huru mkuu wa shirika la ujasusi wa Rwanda Jenerali Karenzi Karake
Umoja wa Ulaya waidhinisha fedha kushughulikia wahamiaji
Umoja wa Ulaya umeidhinisha fungu la euro bilioni 2.4 ambalo litatumiwa kuzisaidia nchi kama Italia na Ugiriki
Uingereza kujadili tatizo la wakimbizi Calais
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron anaongoza mkutano wa kamati ya serikali, COBRA inayolishughulikia tatizo hilo
Wahamiaji 1,500 wa Calais wajaribu kuingia Uingereza
Jaribio hilo linakuja baada ya wahamiaji 2,000 kujaribu kuingia Uingereza kupitia mji wa Calais bila mafanikio
Tsipras awafuta kazi waasi chamani
Tsipras awafuta kazi mawaziri walioasi kuhusiana na masharti magumu ya mpango wa uokozi wa uchumi wa nchi hiyo
Tsipras kusuka au kunyoa bungeni Athens
Tsipras roho juu
Huenda Ugiriki ikapata nafuu juu ya deni lake
Huenda Ugiriki ikapata nafuu juu ya deni lake
Uingereza yakumbuka mauwaji ya 2005
Uingereza yakumbuka mauwaji ya 2005
Jee nia imetoweka kuhusu hali ya Ugiriki?
Mgogoro wa Ugiriki umeshaingia katika hatua mbaya sana ambapo bila ya msaada wa haraka nchi hiyo itafilisika. Katika maoni yake mwandishi wetu anautathmini msimamo wa Ujerumani juu ya mgogoro wa Ugiriki.
Ugiriki ukingoni mwa kufilisika
Ugiriki inakabiliwa na wakati muhimu wakati mpango wake wa kimataifa wa uokozi na washirika wake wa Ulaya ukimalizika
Waziri Mkuu wa Ugiriki ashutumu vitisho vya wakopeshaji
Waziri Mkuu wa Ugiriki ashutumu vitisho vya wakopeshaji
Malkia Elizabeth mjini Berlin
Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza na mumewe Philip, leo wanaendelea kuutembelea mji mkuu wa Berlin.
Muda wayoyoma katika mazungumzo ya mkopo kwa Ugiriki
Mazungumzo kuhusu mkopo wa Ugiriki yaelekea katika dakika ya mwisho
Ziara ya Malkia Elizabeth wa pili Ujerumani
Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza na mumewe Philip, leo wanatimiza siku yao ya pili ya ziara ya siku tatu Ujerumani.
Ugiriki yatoa mapendekezo mapya
Muda unazidi kuyoyoma kwa Ugiriki kufikia makubaliano na washirika wake wa Ulaya ili iepuke kwenda muflisi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 38 wa 50
Ukurasa unaofuatia