You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uingereza kujenga ukuta Calais
Mpango wa ujenzi wa ukuta mkuu huko Calais nchini Ufaransa kuwadhibiti wakimbizi na wahamiaji wanaokimbilia Uingereza unazusha hofu ya kuifanya Ulaya kuwa bara lisiloingilika. Zaidi ya wakimbizi 6,000 wanaishi kwenye mazingira duni katika kambi ya Calais.
Uingereza itawapokea watoto wa msitu wa Calais
Makubaliano yamefikiwa kati ya Uingereha na Ufaransa kuhusu watoto wanaozurura katika msitu wa Calais
Merkel aionya Uingereza kuhusu soko la pamoja
Kansela Merkel aitaka Uingereza kukubali usafiri huria wa watu ndiposa iingie katika soko la pamoja la Ulaya
May kuanza mchakato wa Brexit mwishoni mwa Machi
Mchakato wa Brexit kuanza mwishoni mwa Machi
Mchakato wa Brexit kuanza kabla ya uchaguzi wa Ujerumani
Aleppo yatendewa ukatili - UN
Marekani yasema Urusi inasaidia "ushenzi" Aleppo
24.09.2016 Matangazo ya Jioni
Viongozi wa mataifa ya Balkan wakutana Vienna kujadili mgogoro wa wahamiaji/Majeshi ya serikali ya Syria yadhibiti eneo linalodhibitiwa na waasi mjini Aleppo/Wafuasi wa serikali ya Burundi waandamana Bujumbura kupinga ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kitisho cha kuzuka mauaji ya halaiki
Waasi wakishangilia makubaliano ya kihistoria.
Corbyn kuendelea kuongoza Labour
Uingereza kuanza mazungumzo ya kuondoka EU
Uingereza inatarajia kuanza utaratibu wa kuupa talaka umoja wa ulaya mapema mwaka ujao.
Umoja wa Ulaya wakutana wakiwa si wamoja
Suala la wakimbizi linaendelea kuwagawa viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya huku wakiwa hawajalimaliza la Uingereza.
Umoja wa Ulaya wakutana Bratislava kuijadili 'Brexit'
Mijadala mikali inatazamiwa kutuwama kwenye suala la Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, wakimbizi na ulinzi wa mipaka.
Cameron abebeshwa lawama vita vya Libya
Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Uingereza yasema David Cameron aliingia vitani kwa sababu za uongo.
Bonn baada ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya
Tukio hili lilitikisa dunia zikiwemo nchi zilizotawaliwa na Uingereza hasa barani Afrika na Australia.
Ulaya yahitaji mshikamano - Juncker
Umoja huo ambao umevunjwa moyo na kura ya kujiondoa kwa Uingereza hauwezi kusambaratika licha ya kuwepo mivutano.
Viongozi wa NATO, EU wazuru Uturuki
Viongozi wa NATO, EU wazuru Uturuki kurekebisha uhusiano
Merkel : Makosa yalifanyika katika suala la wakimbizi
Mwaka mmoja tokea Ujerumani ikaribishe wakimbizi
Mzigo haubebeki
Tunafanya pupa badala ya kutumia busara
Wako nchini Ujeruman wakipatiwa matibabu
Wako nchini Ujeruman wakipatiwa matibabu
Sera ya wakimbizi ilivyoijengea Ujerumani sifa nje
Namna dunia inavyoitazana Ujerumani mwaka mmoja baada ya mgogoro wa wakimbizi.
Uingereza yatakiwa kukomesha Ubaguzi wa rangi
Uingereza yatakiwa kukomesha Ubaguzi wa rangi
Tupewe pasi huru au tuachane na mpango wa wakimbizi
Baadhi ya maafisa wakuu wa Uturuki wana matumaini kuwa
Washukiwa 20 wa kundi la dola la kiislamu wakamatwa
Waziri John Kerry anatarajiwa kuizuru Uturuki kwa mara ya kwanya baada ya jaribio la mapinduzi
Haki za raia wa pande zote mbili zitaheshimiwa
Enzi mpya kuanza baada ya Brexit
Trump anawakilisha mashaka
Theresa May akutana na Angela Merkel
Uturuki yaelekea kwenye udikteta
Kamata kamata yatanda nchini Uturuki
Theresa May aunda baraza lake la mawaziri
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May ameendelea kuunda baraza lake la mawaziri akiwaweeka kando wapinzani wake
Papo kwa Papo 14.07.2016
Boris Johnson aliyeongoza kampeni ya Brexit ateuliwa kuwa waziri mpya wa mambo ya nje wa Uingereza. Maelfu wajitokeza katika mazishi ya polisi watano waliouawa Dallas Marekani. Na Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 300 wameuawa Sudan Kusini. Papo kwa Papo 14.07.2016
Theresa May aanza kuiongoza Uingereza
Waziri mkuu mpya wa Uingereza Theresa May ameanza rasmi kushika hatamu za uongozi wa nchi hiyo
Vijembe vyachangamsha bunge Uingereza
David Cameron ahudhuria kikao cha bunge la Uingereza kwa mara ya mwisho akiwa kama Waziri Mkuu
Papo kwa Papo 13.07.2016
Rais wa Marekani Barack Obama ataka mjadala mpana kuhusu ubaguzi wa rangi nchini humo.Theresa May kukabidhiwa mikoba ya waziri mkuu wa Uingereza muda mfupi ujao. Na Umoja wa Mataifa wazindua ushirika mpya kupambana na ukatili dhidi ya watoto.
Theresa May ajitayarisha kuwa Waziri Mkuu
China yaangushwa mahakamani
Theresa May ajiandaa kuwa waziri mkuu
Theresa May hii leo atakuwa waziri mkuu wa pili mwanamke katika historia ya Uingereza
Theresa May kumrithi David Cameron Uingereza
Waziri wa Mambo ya Ndani Theresa May ndiye waziri mkuu mpya wa Uingereza kumrithi Cameron
Mkutano wa kilele wa NATO waanza
Viongozi wa Jumuiya ya kujihami ya NATO wameanza mkutano maalumu wa kilele wa kuimarisha usalama
Mkutano wa kilele wa NATO waanza
Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya kujihami, NATO umeanza leo mjini Warsaw, na kutawaliwa na suala la Urusi na Brexit
Theresa May na Andrea Leadsom kuchuana kuwania nafasi hiyo
Theresa May na Andrea Leadsom kuchuana kuwania nafasi hiyo
Conservative wapiga kura ya mrithi wa Cameron
Conservative wapiga kura ya mrithi wa Cameron
Mshtuko wa Brexit bado waipiga Ulaya
Mshtuko wa Brexit bado waipiga Ulaya
Papo kwa Papo 01.07.2016
Kinyang'anyiro cha Uwaziri Mkuu Uingereza chapamba moto, Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani Liberia chakabidhi majukumu kwa jeshi la nchi hiyo na katika EURO 2016, Ureno yatinga nusu fainali.
Slovakia yachukua urais Umoja wa Ulaya
Utadumu kwa miezi sita
Kishindo cha Brexit chapiga Afrika
Apps Yasaidia Maendeleo Afrika
Johnson ajitowa kinyang'anyiro cha uwaziri mkuu Uingereza
Siasa za Uingereza zimechukua sura mpya baada ya meya wa zamani wa London kusema hataki kuwa waziri mkuu mpya.
Mpambano wa kuwania madaraka Uingereza
Mvutano wa kuwania madaraka katika vyama vikuu viwili nchini Uingereza umepamba moto baada ya Brexit
Viongozi wa EU wakutana bila Uingereza
Viongozi wa EU wanasema Uingereza haitaingia soko la pamoja bila kukubali sheria za umoja huo
Mchakato kumpata Waziri Mkuu mpya watakiwa kuanza haraka
Mchakato kumpata Waziri Mkuu mpya watakiwa kuanza haraka
Papo kwa Papo 28.06.2016
Viongozi wa Ujerumani, Ufaransa na Italia wataka ushirikiano kwenye Umoja wa Ulaya, UNICEF yasema watoto milioni 69 wako hatarini kufa na katika michuano ya Euro 2016, bingwa mtetezi Uhispania yafungasha virago.
Uinmgereza Yashinikizwa
Uingereza Isitegemee Kufaidika bila ya Kuwajibika
Papo kwa Papo 27.06.2016
Papo kwa Papo 27.06.2016
Waengereza wajuta baada ya Brexit
Papa Francis awatolea wito waarmenia ya zamani yawafunze
Ulaya yatikiswa na Brexit
Uingereza imetumbukia katika mgogoro wa kisiasa baada ya Jumapili iliyopita kuamua kujitoa katika Umoja wa Ulaya kupitia kura ya maoni huku viongozi wa mataifa ya bara hilo wakiwa katika hali ya kuchanganyikiwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 36 wa 50
Ukurasa unaofuatia