You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Buhari arudi Nigeria
Rais Buhari awasili Nigeria kutoka uingereza alipokuwa kwa matibabu
Tusk achaguliwa tena urais wa EU
Awali, Poland ilikuwa imetegemea msaada wa Uingereza wa kutopiga kura yake ili kumkwamisha Tusk.
Poland yapinga Tusk achaguliwe tena rais wa EU
Poland imetishia kuchelewesha mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya utakaozungumzia mustakabali wa umoja huo.
Mataifa tajiri kujadili mustakabali wa EU
Viongozi wa mataifa tajiri Barani Ulaya wanakutana leo kwa lengo la kuangalia jinsi ya kuuimarisha Umoja wa Ulaya
Wahamiaji 1,000 waokolewa pwani ya Italia
Wahamiaji 970 waliokolewa katika ufukwe wa bahari ya Mediterenia katika pwani ya Libya siku ya Alhamis.
Uzoefu wa Uhispania katika kuzuwia uhamiaji haramu
Uhispania ilishirikiana na Senegal kuzuwia wahamiaji kuwasili kisiwani Canary. Je, hii inaweza kuwa ruwaza kwa Ulaya?
Baraza la juu Uingereza larekebisha mswada wa Brexit
Pence awahakikishia viongozi wa Ulaya msaada wa Marekani
Pence amekutana na viongozi wa Umoja wa Ulaya na NATO huku maandamano ya kupinga sera za rais Trump yakifanyika.
Pence akutana na viongozi wa Umoja wa Ulaya na NATO
Pence na viongozi wa Umoja wa Ulaya na jumuiya ya kujihami ya NATO Brussels kuwahakikishia ushirikiano nchi washirika.
Bunge Uingereza laidhinisha Brexit
Muswada wa sheria ya Brexit kujadiliwa na bunge la mamwinyi kabla ya kuwa sheria.
Merkel akutana na viongozi wa Poland
Wakati biashara kati ya Ujerumani na Poland ikizidi kukuwa, Merkel anajaribu kuboresha mahusiano na nchi hiyo jirani.
Spika UK apinga Trump kuhutubia bunge
Trump atazuru Uingereza kama mgeni wa Malkia baadae mwaka huu.
Serikali kutojiuzulu Romania licha ya maandamano makubwa
Serikali kutojiuzulu Romania kufuatia maandamano makubwa dhidi ya hatua ambayo ingeliregeza vita dhidi ya rushwa
Gauck ataka Ulaya ibainishe msimamo wake dhidi ya Trump
Gauck ataka Ulaya ibainishe msimamo wake dhidi ya Trump kwa marufuku yake dhidi ya Waislamu wanaoingia Marekani.
Merkel amsisitizia Erdogan kuheshimu uhuru
Ziara ya Merkel ilinuwia kuboresha uhusiano na mshirika huyo wa NATO kufuatia jaribio la mapinduzi Julai mwaka jana.
Trump aiweka Iran katika "ilani"
Trump pia ameripotiwa kumkaripia waziri mkuu wa Australia Malcom Turnbull.
EU yahimiza muafaka kuhusu uhamiaji
Pendekezo limetolewa kuwa nchi wanachama zinaweza kupeleka wahamiaji hao katika "maeneo salama nje ya Umoja wa Ulaya".
Trump, May kujadili mahusiano ya nchi zao
Wawili hao watajadili masuala ya kibiashara na usalama
Serikali Uingereza yashindwa kesi ya Brexit
Uamuzi huo unawapa wabunge kuuchambua mchakato wa Brexit na pengine kuwezesha kurekebisha baadhi ya vipengele.
Mpango wa kuinua maendeleo barani Afrika magazetini
Mpango wa kuinua maendeleo Afrika,Hali nchini Gambia na makubaliano ya biashara ya EU na Afrika Mashariki
Korti ya katiba yasema chama cha NPD hakina madhara
Uamuzi wa korti ya katiba kuhusu NPD na Brexit magazetini
Hotuba ya Waziri Mkuu May yasubiriwa kwa hamu
Mchakato wa kujiondoa Umoja wa Ulaya kutawala
Kansela Merkel:Tusiitegemee Marekani katika NATO
Kansela Angela Merkel ameitaka EU kuimarisha ushirikano wao katika usalama na ulinzi na kutoitegemea Marekani
Mazungumzo Cyprus yaingia hatua muhimu
Mazungumzo hayo yanaongozwa na Umoja wa Mataifa na yamehudhuriwa pia na mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi tatu.
Changamoto za Umoja wa Ulaya zajadiliwa Brussels
Wabunge wa Umoja wa Ulaya watishia kuanzisha mazungumzo sambamba na Uingereza
EU na Mali wakubaliana kudhibiti uhamiaji
Miongoni mwa waliyokubaliana ni wahamiaji watakaofika katika fukwe za Ulaya watarejeshwa makwao
Marekani na Ulaya zaongoza uuzaji wa silaha
Makampuni ya Marekani na Ulaya Magharibi yanaongoza soko la silaha duniani
Ndege iliyouwa wachezaji wa Chapecoense iliishiwa mafuta
Mawasiliano yaliyorekodiwa kutoka ndege iliyopata ajali Colombia yanaeleza kuwa rubani wa ndege hiyo aliishiwa mafuta
Erdogan atishia kuwafungulia wahamiaji mipaka kuingia EU
Msemaji wa tume ya Umoja wa Ulaya Margaritisa Schinas amesema tume hiyo haitajiingiza kwenye matamshi hayo.
Bunge la EU kusitisha mazungumzo ya uanachama wa Uturuki
Uturuki inakosolewa kwa ukandamizaji wa wapinzani na wakosoaji baada ya jaribio la mapinduzi mwezi Julai
Schulz aacha uspika wa EU kuingilia siasa za Ujerumani
Schulz ambaye amehudumu kama rais wa bunge la Umoja wa Ulaya tangu mwaka 2012.
24.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi
24.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi
Obama akutana na viongozi wa Ulaya
Viongozi wa Ulaya wakutana na Rais Barack Obama wa Marekani kumzungumzia rais mteule wa Marekani Donald Trump.
Marekani yapendekeza vikwazo vya silaha kwa Sudani Kusini
Marekani yapendekeza mwaka mmoja wa vikwazo vya biashara ya silaha kwa Sudani Kusini
"Brexit" Uingereza haina mpango maalum
Ofisi ya waziri mkuuTheresa Mayimesema haiitambui taarifa taarifa hiyo
Mawaziri wa mambo ya nje wa EU wamjadili Trump
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamejadiliana kuhusu mikakati endelevu kufuatia ushindi wa Donald Trump
Matarajio ya wanasiasa wa Ulaya katika uchaguzi wa Marekani
Baada ya sokomoko Ubelgiji, EU kusaini mkataba na Canada
Uzoefu wa CETA unaonyesha matatizo makubwa yanayoweza kuikabili Uingereza itakapojitoa EU
Waasi washambulia Aleppo, Putin asita kushambulia upya
Waasi wanasema wamedhamiria kuvunja mzingiro dhidi ya Aleppo mashariki na kuikomboa Magharibi.
Ulimwengu uko wapi kuwalinda raia wa Syria?
Ulimwengu uko wapi kuwalinda raia wa Syria?
Wahamiaji waondoka Calais
Waliukimbia moto waliouwasha na kuteketeza kambi hiyo, na kusababisha zoezi la kuondoka kuwa rahisi
Operesheni ya kuifunga kambi ya Calais yaanza Ufaransa
Hatima ya watoto-wahamiaji 1,300 ambao wako kivyao kwa kuwa hawakuandamana na wazazi wao haijulikani bayana
23.10.2016 Matangazo ya jioni
Tuliyonayo ni pamoja na : Chama cha kisoshalisti Hispania chakubali serikali yenye viti vichache bungeni//Taasisi za kifedha Uingereza zahofia kuathiriwa na Brexit// Baadhi ya wahamiaji katika kambi ya porini Calais nchini Ufaransa kuhamishiwa Uingereza
Waingereza bado wamechanganyikiwa
Siku 100 za Waziri mkuu May, waingereza bado wamechanganyikiwa
EU aondoa mpango wa vikwazo kwa Urusi
Mpango wa mashambulizi unaofanywa na Urusi ulipingwa vikali na Umoja wa Ulaya
EU yalihofia Dola la Kiislamu Barani Ulaya
Hiyo ni ngome pekee ya IS iliosalia nchini Iraqi.
Syria: Vikwazo ndiyo njia pekee ya Ulaya dhidi ya Urusi
Njia pekee uliyonayo Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi ni kukaza vikwazo zaidi kwa taifa.
Yemen wakubaliana kusitisha mapigano kwa saa 72
Rais Abdu-Rabb Mansour Hadi amekubaliana na mpango huo na kuwataka Wahouthi pia kufanya hivyo.
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 18.10.2016
Amnesty yaonya juu ya hatari inayowakabili waumini wa Kisunni wanaotoroka maeneo ya IS Mosul, Umoja wa Ulaya walaani mashambulizi ya Urusi na Syria katika maeneo ya raia Aleppo na Austria inapanga kuvunja nyumba alikozaliwa Adolft Hitler.
Mawaziri wa EU kujadili uwezekano wa vikwazo zaidi kwa Syria
Hakuna nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya imependekeza Urusi kuwekewa vikwazo
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 35 wa 50
Ukurasa unaofuatia