You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Lawama za Trump dhidi ya Ujerumani Magazetini
Lawama za trump dhidi ya Ujerumani Magazetini
May akabiliana na mpinzani wake Corbyn
Chama cha Conservative bado kinasalia usoni kwa mujibu wa utafiti wa maoni ya wapiga kura
EU yawawekea vikwazo maafisa wengine 9 DRC
Umoja wa Ulaya umewawekea vikwazo vipya maafisa wengine tisa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Merkel atetea kauli yake kuhusu Marekani, Uingereza
Merkel amesema ilikuwa sahihi kutomumunya maneno kuhusu tofauti za kisera na Marekani.
Mashambulizi ya Trump dhidi ya Ujerumani yazusha hofu
Trump aliitaja Ujerumani kuwa mbaya sana kuhusu biashara katika mkutano na maafisa wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels.
Kampeni zaanza tena Uingereza baada ya shambulizi
Wanasiasa Uingereza wanarejea katika harakati za kampeni leo huku suala la usalama wa kitaifa likiwa juu kwenye ajenda.
Tofauti bado ipo kati ya EU na Trump kuhusu Urusi
Rais wa Marekani Donald Trump Alhamis alikumbana na matatizo ya kwanza katika ziara yake ya Ulaya.
Uingereza yakasirishwa Marekani kuvujisha taarifa
Polisi ya mjini Manchester imeamua kusitisha kwa muda upashanaji habari za kijasusi na Marekani
Rais Trump pia atahudhuria mkutano wa NATO
Trump awasilini nchini Ubelgiji
Viongozi duniani walaani shambulizi la Manchester
Viongozi wa mataifa mbalimbali duniani leo wameelezea kushtushwa na tukio la mlipuaji wa kujitoa mhanga huko Manchester.
Mazungumzo ya Brexit kuanza Juni 19
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kumpa Michel Barnier ruhusa ya kuyaanzisha mazungumzo ya Brexit Juni 19.
EU yaitoza Facebook faini ya Euro milioni 110
Faini hiyo inatokana na namna Facebook ilivyonunua mtandao wa kutumiana ujumbe wa Whatsapp
Umoja wa Ulaya waidhinisha miongozo ya Brexit
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameidhinisha masharti mazito ya talaka kwa Uingereza katika mkutano wa kilele
Umoja wa Ulaya una msimamo wa pamoja kuhusu Brexit
Umoja wa Ulaya utakuwa na mkutano muhimu Jumamosi kuainisha mambo yatakayokuwa katika muongozo wa mazungumzo ya Brexit
Merkel aonya Uingereza haitapata upendeleo maalum Brexit
Kansela Angela Merkel amesema, Uingereza inapaswa kujadili kuhusu Brexit bila kujidanganya itapatiwa makubaliano maalum
Libya yaomba boti, helikopta kukabili wahamiaji haramu
Kituo cha televisheni cha ARD cha Ujerumani kimeripoti kwamba Libya inataka baadhi ya boti hizo ziwe na silaha.
Wabunge waunga mkono uchaguzi wa mapema Uingereza
Majadiliano rasmi ya kisiasa ya kujiondoa Umoja huo kuanza baada ya uchaguzi
Bunge la Uingereza kuidhinisha hoja ya May
Chama chake cha Conservative kiko katika nafasi nzuri ya kushinda
Uchaguzi wa Uingereza na kura ya maoni ya Uturuki Magazetini
Uchaguzi wa Uingereza na kura ya maoni ya Uturuki Magazetini
Theresa May aitisha uchaguzi wa mapema
Anatarajia uchaguzi wa Juni 8 utampa uungwaji mkono katika mazungumzo ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya.
Mauaji ya 'halaiki' yameanza tena Sudan Kusini
Mapigano yanayoendelea kwa sasa nchini Sudan Kusini ni mauji ya Kimbari ambayo yanafanywa kwa misingi ya kikabila
Boko Haram wapanga kuzishambulia Marekani, Uingereza
Watoto wamefanya mashambulizi 27 ndani ya miezi mitatu ya mwaka huu,walifanya mashambulizi kama hayo mara 30 mwaka jana.
Wanaofanya uhalifu dhidi ya binadamu kuadhibiwa
Marekani imesema itamuadhibu yeyote anaefanya uhalifu dhidi ya binadamu mahali popote duniani.
G7, Marekani yatakiwa kueleza msimamo dhidi ya Syria
Kitisho cha kijeshi kutoka Korea Kaskazini na jukumu la Urusi nchini Syria vinatarajiwa kuwa juu kwenye ajenda
Baa la njaa: Uko wapi umoja wa Afrika?
Mshikamano kati ya mataifa ya Afrika kuhusiana na janga hilo hauonekani, licha ya AU kuitisha vikao kuujadili.
EU yachukua hatua kuzuwia njaa Afrika, Yemen
Umoja wa Ulaya na Ujerumani zineongeza msaada zaidi kwa maeneo yanayoathirika na baa la njaa.
Rais Steinmeier akosoa Brexit na wazalendo
Steinmeier amesema uamuzi wa Uingereza kujitoa EU haukuwa wa dhamana
Miaka 60 ya Umoja wa Ulaya
Katika kuadhimsha miaka 60 ya kuanzishwa Umoja wa Ulaya viongozi wa nchi 27 zilizobaki katika Umoja wa Ulaya baada ya kujitoa kwa Uingereza wamesaini azimio jipya la umoja lenye kuashiria mwelelekeo wa maendeleo unaotakiwa kufuatwa na nchi mwanachama. Nini hatma ya Umoja huo?
Mashambulizi ya sumu yauwa watu 58 Syria
Shambulio hilo limejiri wakati mjini Brussels, ukianza mkutano wa wafadhili wa kimataifa kuchangia Syria.
EU yaeleza mipango, mazungumzo ya Brexit
May aliomba kwamba mazungumzo hayo yende sambamba na suala la mustakabali wa uhusiano kati ya pande hizo mbili.
Venezuela na Brexit magazetini
Venezuela na Brexit magazetini
Utata wa Uingereza katika Brexit
Ushirikano wa usalama EU na Uingereza
Umoja wa Ulaya waitaka Uingereza kuzingatia sheria
Umoja wa Ulaya waitaka Uingereza kuzingatia sheria katika mazungumzo ya Brexit
Njia ya Brexit inaanza kufunguliwa na Scoxit ikifuatia
Njia ya Brexit inaanza kufunguliwa na Scoxit ikifuatia
May kuanzisha rasmi mchakato wa BREXIT
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May leo hii anatarajia kuwasilisha rasmi nyaraka za Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya
Uingereza haijitengi na dunia, Theresa May
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May yuko Scotland kujaribu kuzuia azimio la nchi hiyo kutaka kujitenga na Uingereza
Viongozi wa EU waahidi umoja na mshikamano
Katika azimio la kuadhimisha miaka 60 ya kuasisiwa kwa Umoja wa Ulaya viongozi wameahidi kuimarisha umoja na mshikamano.
Umoja wa Ulaya waadhimisha miaka 60
Nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wanasherehekea miaka 60 ya umoja huo bila ya Uingereza
Udhalilishaji wa kingono katika michezo
Ni tatizo linalowakumba watoto na vijana Uingereza na ndio kwanza limeibuliwa hadharani hivi karibuni.
Mshambuliaji wa London alizaliwa kama Adrian Russel Ajao
Khalid Masood aliyeshambulia katika Bunge la Uingereza alizaliwa akiwa anaitwa Adrian Russel Ajao.
7 wakamatwa jijini London kwenye msako
Nchi mbalimbali zimeshutumu mauaji hayo ya jana katika daraja la Westminster na uchunguzi bado unaendelea
Viongozi wa dunia walaani shambulio la Uingereza
Watu watano wameuawa na zaidi ya 40 walijeruhiwa katika shambulio hilo nje ya bunge la Uingereza.
Milio ya risasi imesikika bunge la Uingereza
Madai ya upelelezi yaTrump hayana msingi,anasema mkuu wa FBI
Madai ya upelelezi yaTrump hayana msingi,anasema mkuu wa FBI
EU yaipatia Italia fedha kumarisha ulinzi baharini
Halmashauri kuu ya Umoja wa Mataifa umesema utaipatia Italia Euro milioni 12.2 kwa ajili ya kuimarisha ulinzi baharini.
Maoni: Wimbi la siasa za kizalendo lazimwa
Huku chaguzi zaidi zikitarajiwa baadaye mwaka huu, Ulaya sharti ijifunze kutokana na matokeo ya uchaguzi wa Uholanzi.
Bunge la Uingereza laidhinisha mchakato wa Brexit
Bunge la Uingereza lampa mamlaka Theresa May kuhusina na Brexit
Maharamia waiteka meli katika pwani ya Somalia
Maharamia wa kisomali wanashukiwa kuiteka meli ya mafuta iliyokuwa ikielekea katika bandari ya Alula nchini Somalia
Taarifa ya habari za asubuhi 14.03.2017
Miongoni mwa taarifa: Baraza la Uingereza House of Lords laidhinisha mswada unaompa mamlaka Waziri Mkuu kuazisha mchakato wa Brexit.Uturuki yasitisha kwa muda mahusiano ya kidiplomasi na Uholanzi. Kiongozi wa upinzani Niger, Hama Amadou ahukumiwa mwaka mmoja jela.
Ghana: miaka 60 ya uhuru
Ghana imeadhimisha miaka 60 ya uhuru tarehe 6 Machi. Ni taifa la kwanza Afrika magharibi kupata uhuru kutoka kwa Uingereza mnamo 1957 chini ya uongozi wa Kwame Nkrumah. Msikilize Mohammed Abdul-rahman akiizungumzia Ghana pamoja na Katibu wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Salim Rashid.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 34 wa 50
Ukurasa unaofuatia