You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Chama tawala Uingereza chakutana huku kikiwa na mgawanyiko
Johnson amejiweka kama anayetaka mtengano ulio safi lakini wenye masharti magumu
Kutetea ubingwa ngumu Uingereza, Conte
Kutetea ubingwa Italia rahisi kuliko Uingereza
Mawaziri Uingereza wafadhaishwa na mchakato wa Brexit
Mawaziri Uingereza wafadhaishwa na mchakato wa Brexit
Macron atoa mapendekezo ya mageuzi EU
Theresa May apendekeza kipindi cha mpito baada ya Brexit
Theresa May ataka ubunifu katika kuunda ushirikiano na Ulaya baada ya Brexit
Mtazamo wa Ulaya kuhusu uchaguzi wa Ujerumani
Ulaya inataka kiongozi imara kwa Ujerumani, kwa sababu siasa za Ujerumani zinaiathiri Ulaya nzima
Watu kadhaa wajeruhiwa kwenye mlipuko jijini London
Viongozi mbali mbali wa Ujerumani, Ufaransa na kwingineko duniani wamelaani tukio hilo la kigaidi.
Juncker aeleza matumaini baada ya Brexit
Juncker aonesha matumaini kwa Umoja wa Ulaya
Kampuni ya tumbaku ya BAT yatuhumiwa kwa rushwa Afrika
Kampuni ya tumbaku ya BAT yatuhumiwa kwa rushwa barani Afrika
Buhari kurejea nyumbani baada ya matibabu UK
Kurejea kwa Buhari kunatazamiwa kuboresha utekelezaji wa kisera, na kampeni dhidi ya rushwa na ufisadi nchini Nigeria.
Mazishi ya pamoja yafanywa Sierra Leone kwa mamia ya maiti
Hofu ya mvua inayotarajiwa kunyesha huenda ikalemaza juhudi za uokozi wakati ambapo watu 600 bado hawajulikani waliko
Nini hatma ya raia wa EU Uingereza?
Waingereza walipiga kura ya kile kinachojulikana kama Brexit, yaani kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya. Wasiwasi umetanda miongoni mwa watu wanaotokea nchi za Umoja wa Ulaya. Sheria za Umoja wa Ulaya zinawaruhusu kufanya kazi na kuishi Uingereza. Lakini kama Uingereza itakoma kuwa sehemu ya Umoja wa Ulaya, wafanyakazi kutoka nchi nyingine za Ulaya watafanya nini?
Tarehe 30.07.2017 : Matangazo ya jioni
Tuliyo nayo ni pamoja na : Mataifa manne ya ghuba yasema yako tayari kwa mazungumzo na Qatar// Serikali ya Uingereza yagawanyika kuhusu Brexit// Venezuela wapiga kura kuchagua bunge litakaloandika upya katiba.
Maelfu waandamana Poland kupinga sheria tata
Mswada huo unatarajiwa kujadiliwa leo na kupitishwa na baraza la Seneti kabla ya kutiwa saini na Rais
Umoja wa Ulaya kuiwekea vikwazo Poland?
Bunge sasa linataka liteuwe majaji 15 kati ya 25 wa Mahakama ya Juu.
Duru ya pili ya Brexit yaanza
Wasuluhishi kutoka Baraza la Umoja wa Ulaya na Uingereza wamekutana Brussels wakati duru ya pili ya mazungumzo ya BREXIT
Hamilton ashinda mbio za Grand Prix za Uingereza
Dereva Lewis Hamilton ndiye dereva wa tatu, kushinda mbio za Grand Prix za Uingereza mara tano
16.07.2017: Matangazo ya mchana
Tuliyo nayo ni pamoja na : Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan aapa kuwakata vichwa wasaliti dhidi ya serikali yake// Uingereza yahitaji kipindi cha mpito kuhusiana na Brexit// Watu wanane wafariki dunia baada ya mkanyagano kutokea kwenye uwanja wa michezo mjini Dakar Senegal
May aahidi kushinda mapambano ya fikra
May aahidi kushinda mapambano ya fikra
Merkel: Mkutano wa G20 kuimarisha ushirikiano
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema mkutano wa kilele wa kundi la G20 utaimarisha ushirikiano.
Bunge la Ulaya lataka EU kusitisha mazungumzo ya Uturuki
Bunge la Ulaya limeushauri Umoja wa Ulaya kusitisha mazungumzo ya Uturuki kujiunga kwenye Umoja wa Ulaya.
Mkutano wa G20 wakabiliwa na maandamano
Mkutano wa kilele wa viongozi wa kundi la mataifa yaliyoendelea duniani na yanayoinukia kiuchumi, G20 unaanza kesho.
Lala mahala pema peponi Helmut Kohl
Vijana wengi Afrika huenda hawamfahamu, lakini nchini Ujerumani alikuwa mmojawapo wa wanasiasa maarufu:Helmut Kohl, kansela aliyehudumu kwa kipindi kirefu kabisa, alifariki Juni 16 akiwa na umri wa miaka 87. Katika miaka 16 ya utawala wake, alizitembelea nchi tano tu za Afrika kusini mwa jangwa la Sahara, ikiwemo Namibia, koloni la zamani ya Ujerumani.
EU kugharamia zaidi NATO
Matifa wanchama wa Umoja wa Ulaya kugharamia zaidi NATO
May afikia makubaliano na chama cha DUP
Chama cha waziri mkuu Theresa May Conservative kimepata makubaliano na chama cha Democratic Unionist kuunda serikali.
Wakaazi wahamishwa majengo ya ghorofa refu London
Wakaazi wa nyumba 650 wamehamishwa kutokana na hofu za moto kufuatia kuteketea kwa jengo la ghorofa la Grenfell
May atoa matumaini kwa raia wa Umoja wa Ulaya
Kujitowa Uingereza Umoja wa Ulaya kunaweza kubadilishwa
Kujitowa Uingereza Umoja wa Ulaya kunaweza kubadilishwa
EU yajadili Brexit, wakimbizi na ulinzi
Anasema Merkel kuwa "Umoja wa Ulaya uko katika hali ngumu."
Malkia Elizabeth kuwasilisha mpango wa serikali bungeni
Brexit, Ufaransa baada ya uchaguzi na SPD Magazetini
Brexit, Ufaransa baada ya uchaguzi na SPD Magazetini
Mazungumzo ya Brexit yaanza Brussels
Umoja wa Ulaya na Uingereza zimeanza rasmi mazungumzo ya mchakato wa kuwezesha Uingereza kujiondoa.
Mbunge wa Labour aitisha maandamano kumuondoa Theresa May
McDonnell amekitaka chama cha wafanyakazi TUC kuwarai watu milioni moja kuitikia wito huo wa maandamano.
Moto wauwa watu 12 na kujeruhi zaidi ya 70 London
Chanzo cha moto huo ulioanza usiku wa manane katika jengo la Grenfell bado hakijabainika lakini
Mgogoro serikali ya Uingereza kuelekea Brexit
Uingereza inaingia katika majadiliano na Umoja wa Ulaya ikiwa dhaifu zaidi badala ya kuwa imara.
Baskeli yafikisha miaka 200: Karne mbili ya waendesha baskeli
Baskeli imechukua sura nyingi tangu mwaka 1817.
Theresa May aunda serikali ya wingi mdogo
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May anaunda serikali ya wingi mdogo
Kutoka "nguruwe" hadi mgombea ukansela
Martin Schulz ni mtu asiyetafuna maneno na haogopi makabiliano, jambo linalomfanya apendwe na Wajerumani wengi.
Hoja ya Brexit na matokeo ya uchaguzi Uingereza
Kiongozi wa chama cha Labour nchini Uingereza, Jeremy Corbyn amesema mazungumzo ya Brexit ni lazima yaendelee
May akabiliwa na shinikizo la kujiuzulu
Chama chake cha Conservative huenda kikaunda serikali ya mseto
May apoteza wingi wa viti bungeni
Licha ya kuwa na viti vingi zaidi kuliko Labour, Conservative hawakupata idadi inayotosha kuunda serikali.
Wananchi wapiga kura Uingereza
Wananchi wapiga kura Uingereza
Kutengwa Qatar na mashambulizi ya London Magazetini
Kutengwa Qatar na mashambulizi ya London Magazetini
Uchaguzi wa Uingereza wagubikwa na mashambulizi ya kigaidi
Polisi wamtaja mshambuliaji wa tatu
Uchunguzi bado unaendelea kuhusu shambulizi la London na suala la usalama limepamba moto kwenye kampenni za uchaguzi
Kimbele mbele cha Saud Arabia,London na Incirlik Magazetini
Kimbele mbele cha Saud Arabia,London na Incirlik Magazetini
Haja ya hatua kali zaidi kukabiliana na itikadi kali
Haja ya hatua kali zaidi kukabiliana na itikadi kali
Ulaya na China zakutana Bressels
Ulaya na China zakutana Ubelgiji
Marekani yamuwekea vikwazo mshauri wa Kabila
Marekani imemuwekea vikwazo mshauri mkuu wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Marekani itaunga mkono makubaliano ya tabia nchi?
Rais wa Marekani Donald Trump atatangaza Alhamis iwapo ataiondoa Marekani kutoka kwenye makubaliano kuhusu:
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 33 wa 50
Ukurasa unaofuatia