You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
17.03.2018-Matangazo ya jioni
Tuliyo nayo ni pamoja na:Uingereza yasema haitavumilia shambulizi dhidi ya raia wake kutoka kwa Urusi// Rais wa Mauritius Ameenah Gurib-Fakim ajiuzulu// Upinzani Syria waushutumu Umoja wa Mataifa kwakushindwa kuzuia vita
Urusi imewafukuza Wanadiplomasia 23 wa Uingereza
Urusi imekanusha kuhusika na kisa cha Skripal na binti yake Yulia kupewa sumu ya kuathiri neva nchini Uingereza.
17,03,2018-Matangazo ya mchana
Tuliyo nayo ni pamoja na : Urusi yatangaza kuwafukuza wanadiplomasia 23 wa Uingereza//Mwanasheria mkuu wa Marekani Jeff Sessions amtimua Naibu Mkurugenzi wazamani wa FBI Andrew McCabe// Xi Jinping achaguliwa bila kupingwa kuwa rais wa China.
Ujerumani sasa ina serikali mpya
Serikali mpya ya Ujerumani yaanza kazi
Marekani yasema Urusi inahusika na sumu dhidi ya Scripal
Marekani yataka baraza la Usalama kuchukua hatua dhidi ya Urusi
Wanafamilia ya Kifalme kukosa Kombe la Dunia
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May atangaza hatua kadhaa dhidi ya Urusi, ikwemo kuwafukuza wanadiplomasia 23 wa Urusi
Uingereza yatishia hatua kali dhidi ya Urusi
Urusi yashindwa kutoa maelezo kuhusu tuhuma za shambulizi la sumu
Uingereza yaihusisha Urusi na tukio la kupewa sumu Jasusi
Uingereza yaihusisha Urusi na tukio la kupewa sumu Jasusi
Makubaliano ya serikali mpya ya muungano Groko Magazetini
Makubaliano ya serikali mpya ya muungano Groko Magazetini
Trump: EU ondoeni vizuwizi tutaondoa ushuru
Trump asema EU ondoeni vizuwizi vya biashara ili Marekani iondoe ushuru wa chuma cha pua na bati
Magazetini: Hukumu dhidi ya kundi la Freital ,hapa Ujerumani
Hukumu dhidi ya kundi la siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ujerumani
Urusi yashukiwa kumpa sumu aliyekuwa jasusi wake
Mkasa wa Skripal unakumbushia tukio la kuuwawa kwa kupewa sumu jasusi wa zamani wa Urusi Litvinenko
Umoja wa Ulaya yatambulisha pendekezo la Brexit
Kiongozi mkuu wa mazungumzo kuhusu Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, Michel Barnier, amezindua rasimu ya kwanza ya makubaliano ya kisheria ya umoja huo na Uingereza. Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ameitisha ushirikiano wa karibu zaidi na Umoja wa Ulaya baada ya Brexit, akiweka malengo yake ya makubaliano yatakayoafikiwa kwa majadiliano huru na mipangilio mipya ya utaratibu wa kisheria.
IS walipataje silaha zao nchini Iraq na Syria ?
Kundi la IS liliwezaje kupata silaha zake ambazo ilizitumia katika mapambano yake?
May akutana na Tusk kujadili kuhusu Brexit
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May Alhamisi hii amemualika rais wa Umoja wa Ulaya, Donald Tusk kwa mazungumzo
Rasimu ya makubaliano ya Brexit yafafanuliwa
Rasimu ya makubaliano ya Brexit yafafanuliwa
Viongozi wakuu wa EU wakutana kuelekea Brexit
Wasiwasi wa pengo la bajeti linaloachwa na Uingereza kwenye Umoja wa Ulaya bado ni mkubwa.
Mkutano wa nchi za Sahel na wafadhili unafanyika Brussels.
Mkutano wa nchi za ukanda wa Sahel na wafadhili kufanyika leo Brussels.
Brexit itakavyoathiri lugha Uingereza
Bila shaka umekwishasikia kuhusu mchakato wa Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya, maarufu kama Brexit, Athari za Brexit sio za kiuchumi tu; kama utakavyosikia katika makala hii, zipo pia athari za kijamii na za kitamaduni. Mwangaza wa Ulaya unaangazia jinsi lugha ya Ki-Cornish inayozungumzwa na wachache nchini Uingereza inavyoweza kujikuta pabaya baada ya Brexit.
Malkia Muhumuza
Kutana na Malkia Muhumuza, mke wa mfalme Kigeli wa Rwanda
Miaka 100 ya wanawake kupiga kura Uingereza
Baada ya Uingereza kubadili sheria zake, nchi nyingi zilifuata na kuruhusu wanawake kupiga kura.
Wahamiaji watano wapigwa risasi Calais
Wahamiaji watano wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi baada ya kuzuka mapigano kati ya makundi mawili ya wahamiaji wa Kiafrik
Viongozi wa Uingereza na Ufaransa wakutana
Uingereza inajaribu kuimarisha uhusiano baina yake na Ufaransa hata baada ya kuondoka Umoja wa Ulaya mwaka ujao
Malkia wa Katwe: Chesi ilivyobadili maisha ya Phiona Mutesi
Kitabu kiliandikwa kuhusu maisha ya Mutesi na filamu ikaigizwa. Mwaka mmoja baadae, maisha yamebadilika.
Macron: Calais kutokuwa na kambi nyingine ya wahamiaji
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameapa kuwa nchi yake haitoruhusu kuanzishwa kwa kambi nyingine ya wahamiaji Calais.
Iran, EU kutafuta msimamo wa pamoja makubaliano ya nyuklia
Mazungumzo kati ya Iran na EU kuhusu makubaliano ya kinyuklia mjini Brussels
Uchaguzi ulidhoofisha demokrasia Kenya - EU
Uchaguzi wa urais wa Kenya uliokumbwa na visa vya udanganyifu uliidhoofisha demokrasia nchini humo na haya ni kulingana.
Poland na Hungary zaungana dhidi ya EU
Umoja wa Ulaya unazipeleka kortini Hungary, Poland na Jamhuri ya Czech kwa kukataa kukubali mgao wa lazima wa wakimbizi, uamuzi uliofikiwa na nchi nyingi wanachama wa Umoja wa Ulaya mwaka 2015. Poland na Hungary zinazoonekana kuwa waasi katika Umoja wa Ulaya zimezidi kuungana katika kupinga suala la kuwapokea wakimbizi. Katika mwangaza wa Ulaya wiki hii tunaliangazia hilo.
Emmanuel Macron ndiye kiongozi mpya wa Ulaya?
Taratibu, Macron anaanza kuchukuwa jukumu la uongozi wa Ulaya alilokuwa nalo Merkel.
Waingereza wengi wataka kubakia EU
Watu 1,509 walihojiwa katika utafiti huo wa maoni uliodhaminiwa na gazeti la Independent
Tarehe: 17,12,2017-Matangazo ya asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na : Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura juu ya rasmu kuhusu hadhi ya Jerusalem// Utafiti mpya waonesha waingereza wengi wanataka kusalia kwenye Umoja wa Ulaya// Horst Seehofer achaguliwa tena kuwa kiongozi wa chama cha CSU.
Tarehe:16.12.2017-Taarifa ya habari asubuhi
Michezo ya ligi ya Bundesliga kuendelea leo Jumamosi
Tarehe: 16.12.2017-Matangazo ya asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na : Viongozi wa Umoja wa Ulaya wakubali Uingereza imepiga hatua katika mazungumzo ya Brexit// Ujerumani yaimarisha usalama katika masoko ya Krismasi// Michezo ya ligi ya Bundesliga kuendelea leo.
May kuhimiza viongozi wa EU kupitisha makubaliano ya Brexit
Nasema ni mpango wa haki unaotoa msingi mzuri wa majadiliano ya mahusiano ya baadae
Hakutakuwa na ugumu katika suala la mipaka ya Ireland
Pamoja na mambo mengine walikubaliana kuhusu mipaka ya Ireland na Ireland ya Kaskazini
Hali nchini Yemen na mazungumzo ya Brexit Magazetini
Hali nchini Yemen na mazungumzo ya Brexit Magazetini
EU, AU wakubaliana kuimarisha ushirikiano
Umoja wa ulaya na Afrika wakubaliana kuimarisha ushirikiano katika uhamiaji; usalama, miongoni mwa mambo mengine
Brexit kughubika mkutano wa EU na nchi za Ulaya Mashariki
Angela Merkel anahudhuria kama Kaimu Kansela wa Ujerumani
Wengi ni wakimbizi kutoka mataifa ya Afrika
Kituo cha CNN kiliibua mnada huo wa binadamu
Mnangagwa kuapishwa Ijumaa
Aliyekuwa makamu wa rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa anatarajiwa kurejea leo nchini Zimbabwe.
Wabunge 40 Uingereza hawana imani na May
Wabunge 40 wa chama cha Conservative Uingereza wasaini barua ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Theresa May.
Wanasiasa watajwa katika kashifa ya "Paradise Papers"
Wanasiasa wakubwa watajwa katika kashifa ya ukwepaji koi ya "Paradise Papers"
Tangazo la Balfour bado mwiba mchungu Mashariki ya Kati
Wapalestina wanataka Uingereza ikiri kuwa tangazo la Balfour lilikuwa kosa kubwa.
Mataifa yaahidi dola milioni 345 kusaidia Warohigya
Ahadi za michago hiyo zimetolewa mjini Geneva, Uswisi, katika mkutano uliyoandaliwa kwa pamoja kati ya UN, EU na Kuwait
Viongozi EU waidhinisha mazungumzo ya maandalizi Brexit
Merkel asema ana matumaini ya kufanikisha makubaliano ya mwisho licha ya changamoto.
Mkutano Mkuu wa EU kuisadia Uingereza kuhusu Brexit
Viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya watajadili mustakabali wa kanda hiyo baada ya Brexit.
Trump: 'Hatutathibitisha makubaliano ya nyuklia na Iran'
Umoja wa Ulaya wapinga jaribio la Trump kufuta mkataba wa nyuklia na Iran, ukisema unafanya kazi.
Kuwarejesha Waafghanistan ni kinyume na haki za binadamu
Hakuna eneo salama Afghanistan kuwarejesha wakimbizi ni kinyume na haki za binadamu
Presseschau: Maoni ya wahariri wa magazeti ya Ujerumani
Wahariri pia wameandika juu ya sheria za kumiliki silaha nchini Marekani.
May aahidi kufanikisha Brexit
Theresa May aiomba radhi kwa matokeo ya uchaguzi yaliyoidhoofisha serikali yake
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 32 wa 50
Ukurasa unaofuatia