You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mgogoro wa Merkel na Seehorfer haujatatuliwa
Merkel anataka kuzungumzia uwezekano wa kutafuta suluhisho na Ugiriki,Itali na Austria.
Merkel apanga mkutano maalum wa EU kujadili uhamiaji
Hatua hiyo inakuja wakati kukiwa na mvutano kati ya Merkel na waziri wa mambo ya ndani Horst Seehofer.
Vijana Ulaya wapewa tiketi za bure za treni
Vijana Ulaya wapewa tiketi za bure za treni
Trump ataka Urusi irejeshwe kundi la G8
Trump amewambia waandishi habari kuwa anadhani ingekuwa na manufaa kuirejesha Urusi.
Trump: Marekani na EU zinashughulikia mvutano wa kibiashara
Trump amesema rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekuwa akilishughulikia vyema suala hilo la mvutano wa kibiashara.
Merkel: EU haipaswi kuwa Umoja wa madeni
Kansela wa Ujerumani amesema ushirikiano wa Umoja wa Ulaya haupaswi kuugeuza umoja huo kuwa wa kugawana madeni
Iran yatoa masharti kuhusu mwafaka wa nyuklia
Iran yataka mataifa ya Ulaya kuwafidia ifikapo mwisho wa mezi Mei baada ya Marekani kujiondoa kwenye mkataba wa nyuklia.
Harry amuoa Meghan katika harusi ya kifalme
Mgeni wa wiki ni msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Naftari Mlawa maarufu Nuh Mziwanda.
Harusi ya kifalme ya Harry na Markle Uingereza
Harry na Markle kuoana Jumamosi katika kanisa la Kifalme la Mtakatifu George katika karsi la Windsor
Maoni: EU yajaribu kuweka hai mkabata wa kinyuklia na Iran
Umoja wa Ulaya watafuta njia za kuokoa makubaliano ya kinyuklia na Iran
Kansela Merkel atetea makubaliano na Iran bungeni
Merkel asema ni njia bora ya kupambana na shaka juu ya kujihusisha kwa Iran nchini Syria na mpango wa nyuklia
Iran yataka uhakikisho wa hatima ya makubaliano ya kinyuklia
Iran yatarajia mataifa yaliyobakia katika mkataba wa kinyuklia yatatoa uhakikisho kwa maslahi ya nchi hiyo
Zarif na mawaziri wa Ulaya kuokoa makubaliano ya kinyuklia
Waziri wa mambo ya kigeni wa Iran Javad Zarif akutana na wenzake wa Ulaya kuokoa makubaliano ya kinyuklia
Gaza yawazika Wapalestina waliouwawa
Jamii ya kimataifa nayo inaendelea kulaani matumizi ya nguvu dhidi ya watu waliokuwa hawana silaha.
Uingereza yatakiwa kuweka bayana msimamo wake juu ya Brexit
Msemaji wa Waziri Mkuu Theresa May amesema wanafanyia kazi mawazo mawili ya ushirikiano baada ya Brexit.
Ufaransa ina wasiwasi na hali tete ya Mashariki ya Kati
Ufaransa yaelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu hali tete katika Mashariki ya Kati.
Marekani yazitaka nchi nyingine kuishinikiza Iran
Marekani yazitaka nchi nyingine kuongeza shinikizo kwa Iran kutokana na vitendo vyake vya uchokozi.
Kwa msaada wa Emmanuel Macron Umoja wa Ulaya bado una nafasi
Macron autolea wito Umoja wa Ulaya kurejesha mshikamano, wakati akipokea tuzo ya kimataifa ya Charlemagne.
Ulaya yaahidi kuyalinda makubaliano juu ya nyuklia ya Iran
Ujerumani yasema Marekani haina mpango mbadala
Nchi za EU kuendelea na mkataba wa Iran
Ufaransa na Ujerumani zitaendelea kuuheshimu mkataba wa nyuklia wa Iran, bila kujali uamuzi wa Marekani.
EU yasema Marekani imerusha mashaka kuhusu ushuru wa chuma
Uamuzi huo umepitishwa saa chache kabla ya kumalizika muda uliopangwa wa kusimamishwa kwa muda ushuru huo kwa nchi hizo.
Kwanini EU imekataa kuisaidia Yemen
Umoja wa Ulaya unaonekana kuvitilia uzito zaidi vita vinavyoendelea nchini Syria zaidi ya Yemen vilivyoanza wakati sawa.
Malkia Elizabeth II wa Uingereza atimiza miaka 92
Fedha za hisani kuchangishwa katika sherehe ya kusherehekea miaka 92 ya Malkia Elizabeth II
Mwanamfalme Charles kuiongoza Jumuiya ya Madola
Viongozi wa jumuiya hiyo wakubali Charles kuwa kiongozi
Zimbabwe itajumuishwa tena katika Jumuiya ya Madola?
Zimbabwe ilijiondoa kutoka jumuiya hiyo 2003
Marekani yaombwa kutojiondoa katika makubaliano ya nyuklia
Marekani imetishia kujiondoa mwezi ujao, iwapo makubaliano hayo yahatofanyiwa marekebisho inayoyataka.
Majina 5 ya utani ya Malkia Elizabeth
Malkia huyu wa Uingereza pia ni bibi na mke. Ndiyo maana Malkia Elizabeth ana majina kadhaa ya utani.
Wataalamu wa silaha za kemikali kuingia Douma
Shirika la habari la serikali ya Syria limeripoti kwamba mfumo wa kujikinga na makombora wa nchi hiyo umezuia uvamizi.
Hujuma za makombora dhidi ya Syria Magazetini
Hujuma za makomkbora dhidi ya Syria Magazetini
EU yasaka msimamo wa pamoja juu ya Syria
Waziri mkuu wa Uingereza kwa upande mwingine asubiriwa kwa hamu bungeni kujieleza imekuaje kuishambulia Syria?
Wanasiasa wa Urusi wakutana na al-Assad
Urusi, mshirika wa al-Assad, iliyalaani mashambulizi yaliyoongozwa na Marekani nchini Syria mwishoni mwa wiki
Merkel asema Mashambulizi ya kijeshi Syria yanastahili
Merkel amesema mashambulizi hayo ya angani yanapaswa kuwa onyo kwa utawala wa Syria kutoendelea kutumia silaha za sumu.
OPCW yaunga mkono uchunguzi wa Uingereza
Shirika la kimataifa la kudhibiti silaha za sumu, OPCW limethibitisha matokeo ya uchunguzi yaliyotolewa na Uingereza.
UN yazionya nchi zenye nguvu duniani kuhusu mzozo wa Syria
Umoja wa Mataifa wazionya nchi zenye nguvu duniani kuhusu mzozo wa madai ya matumizi ya silaha za sumu Syria.
Ireland Kaskazini yatimiza miaka 20 ya mkataba wa amani
waziri mkuu Theresa may alaumiwa kwa kuchochea msimamo mkali miongoni mwa wazalendo.
Syria yaialika OPCW kuchunguza shambulizi la sumu
Syria imelialika shirika la kimataifa la kudhibiti silaha za kemikali, kuchunguza madai ya shambulizi la sumu Douma.
Kasheshe ya kulishwa sumu mpelelezi Skripal Magazetini
Kasheshe ya kulishwa sumu mpelelezi Skripal Magazetini
Kadhia ya Uingereza na Urusi juu ya mkasa wa Salisbury
Uingereza na Urusi zalaumiana juu ya mkasa wa kutiliwa sumu jasusi wa zamani wa Urusi Skripal na binti yake.
Malala aizuru Pakistan chini ya ulinzi mkali
Anazuru nchi yake wakati akiwa mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford.
Malala Yousafzai azuru Pakistan baada ya miaka sita
Anazuru nchi yake wakati akiwa mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford.
29.03.2018- Taarifa ya habari ya asubuhi
Miguna Miguna afukuzwa tena nchini Kenya.
Rais Vladmir yuko tayari kukutana na Donald Trump
Slovakia yasema haitawatimua wanadiplomasia wa Urusi
EU katika mgogoro mzito na Urusi
Nchi kadhaa zimefukuza mabalozi wa Urusi katika nchi zao wakati Urusi ikipania kulipiza kisasi
Urusi yazidi kubanwa mgogoro wa sumu dhidi ya jasusi
Uingereza inasema idara ya ujasusi ya Urusi itachukuwa miaka kadhaa kurekebisha hali iliojitokeza.
Wanadiplomasia wa Urusi watimuliwa kutoka Ujerumani
Urusi imekanusha kuhusika na madai ya kumdhuru kwa kumpa sumu mpelelezi wa zamani wa Urusi bwana Skripal na bintiye.
Uhusiano kati ya Uturuki na Jumuiya ya Ulaya
Uturuki ilituma maombi ya kuwa mwanachama wa Jumuiya ya Ulaya mwaka 1987.
EU kuichukulia hatua za kinidhamu Urusi
Umoja wa Ulaya kuchukua hatua dhidi ya Urusi kwa kuhusika katika shambulizi la sumu dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi.
EU wajadiliana kuhusu Brexit na mzozo wa Uingereza na Urusi
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wataweka msingi wa awamu ijayo ya mazungumzo ya Brexit.
Mkutano wa Viongozi wa Umoja wa Ulaya waanza Brussels
Umoja wa Ulaya hautaki kuwepo katika nchi zinazotozwa ushuru.
Umoja wa Ulaya na Uingereza zapiga hatua katika mazungumzo
Pande hizo mbili pia zimekubaliana kuepuka utata wa mpaka kati ya Uingereza na Ireland Kaskazini
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 31 wa 50
Ukurasa unaofuatia