You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Netanyahu awakosoa viongozi wa Uingereza, Ufaransa na Canada
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemtuhumu mwenzake wa Uingereza Keir Starmer "kuliimairisha kundi la Hamas".
EU kupitia uhusiano wa kibiashara na Israel kuhusu Gaza
Wakati hali inazidi kuwa mbaya Gaza, EU imesema itapitia rasmi ya uhusiano wake wa kibiashara na Israel.
Vita vya Gaza: Ufaransa, UK na Canada zaikosoa vikali Israel
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwajibu viongozi hao kwamba kauli yao hiyo ni sawa na kulipatia "tuzo" kundi
Uingereza na Ulaya zaiwekea Urusi vikwazo zaidi
Mazungumzo yao yameshindwa kufanikiwa kufikia makubaliano ya Urusi na Ukraine kuanza mazungumzo ya kusitisha mapigano.
Kuanzia AfD hadi Reform UK: Mrengo mkali na siasa za Ulaya
Vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia vinazidi kujiimarisha Ulaya, na vingine tayari vimo ndani ya serikali.
Mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine kuanza mara moja
Kremlin yasisitiza kwamba mchakato wa kusitisha mapigano dhidi ya Ukraine utachukua muda.
UK na EU zafikia makubaliano ya kihistoria tangu "Brexit"
Hatua hii imefungua ukurasa mpya tangu UK ilipojiondoa katika EU (Brexit) miaka mitano iliyopita.
Uingereza na EU kutia saini makubaliano ya uhusiano
Wawakilishi wa Umoja wa Ulaya wamesema wamefikia makubaliano na Uingereza baada ya mazungumzo marefu.
Zelensky akutana na viongozi wa Marekani, EU mjini Rome
Rais Trump wa Marekani na Rais Putin wa Urusi watazungumza kwa simu Jumatatu kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine.
EU yaidhinisha orodha nyingine ya vikwazo kwa Urusi
Karibu watu 2,400 wanaokabiliwa na marufuku ya kusafiri na mali zao kuzuiwa.
Urusi yakataa kupangiwa na EU kusitisha vita Ukraine
Urusi imesema Umoja wa Ulaya haupaswi kuipangia muda wa kusitisha vita Ukraine na kusititiza juu ya mazungumzo.
Viongozi wa Ufaransa, Ujerumani, UK, Poland ziarani Ukraine
Viongozi hao wamesema wanaunga mkono mpango wa amani wa rais wa Marekani Donald Trump.
Marekani na Uingereza zatangaza mkataba muhimu wa kibiashara
Rais huyo wa Marekani amekuwa akidai mara kwa mara kudai kuwa nchi nyingi zina hamu ya kufikia makubaliano na Marekani.
Kwanini juhudi za EU kujitenga na gesi ya Urusi ni ngumu?
Tume ya Ulaya imetangaza mpango kumaliza utegemezi wa mafuta ya kisukuku kutoka Urusi ifikapo mwaka 2027.
Rwanda kupokea wahalifu waliofukuzwa Marekani
Rwanda ipo katika mazungumzo ya awali na Marekani kuhusu kuchukua wahalifu waliokamilisha vifungo vyao.
Uingereza: Tuko tayari kuisaidia Ukraine kupata amani
Uingereza haijasema ikiwa vikosi vya nchi hiyo vitapelekwa Ukraine.
Iran yapendekeza mazungumzo ya nyuklia na nchi za Ulaya
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran Abbas Araqchi amesema yuko tayari kuelekea Ujerumani, Ufaransa na Uingereza kwa m
Viongozi wa Marekani, EU na Ukraine kukutana mjini Paris
Viongozi wa mataifa hayo tayari wamewasili mjini Paris.
Kwa nini EU inakwepa kulaani ukandamizaji wa Uturuki?
EU iko kimya huku Meya wa Istanbul akikabiliwa na mashitaka na maandamano yakifanyika dhidi ya serikali ya Uturuki.
Latvia yajiondoa kwenye mkataba unaopinga mabomu ya ardhini
-
Umoja wa Ulaya na Uingereza kuongeza ufadhili kwa Sudan
Umoja wa Ulaya na Uingereza kuongeza ufadhili kwa Sudan
EU yatangaza msaada wa dola bil 1.8 kwa Mamlaka ya Palestina
Msaada huo unalenga pia kuiwezesha Mamlaka ya Palestina kuchukua nafasi muhimu katika utawala wa Gaza baada ya vita.
EU kuwasaidia Wapalestina katika ujenzi mpya
Umoja wa Ulaya utatoa bilioni 1.8 kwa awamu ya miaka mitatu
Rais Xi Jinping akutana na waziri mkuu wa Uhispania
Rais Trump ameiwekea tozo ya ushuru China ya jumla ya asilimia 145
Ushuru wa Trump waanza kutekelezwa
Ushuru mpya wa kulipiza kisasi uliowekwa na rais wa Marekani Donald Trump umeanza kutekelezwa.
Trump atishia ushuru zaidi kwa China
China imeapa kupambana dhidi ya ushuru mpya wa asilimia 50, Rais wa Marekani.
Uingereza yaombwa kuchunguza kifo cha ''Agnes Wanjiru''
Uingereza ina kambi ya jeshi Nanyuki alikokuwa mwanajeshi aliyetembea na Agnes Wanjiru
EU kuweka shinikizo la kuondoa ushuru mpya wa Trump
EU imeafikiana kutoa shinikizo zaidi kwenye mazungumzo yanayonuwia kuondoa kodi mpya za kulipiza kisasi za rais Trump.
Mawaziri wa biashara wa EU kuijibu Marekani kuhusu ushuru
Nchi za EU zaonya ushuru wa Marekani utaiathiri dunia
Uingereza yalaani Israel kuwashikilia wabunge wake wawili
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Uingereza amesema hatua ya Israel ya kuwazuia wabunge wake kuingia nchini humo haikubaliki.
Uingereza yasema haiungi mkono mpango wa Israel kwa Gaza
Ujerumani yatoa wito wa uchunguzi baada ya wahudumu wanane wa afya kuripotiwa kuuawa katika ukanda wa Gaza.
Wakuu wa Majeshi wa Magharibi waijadili Ukraine
Wakuu wa majeshi wa mataifa ya Magharibi wanatarajiwa kujadiliana uwezekano wa kutuma wanajeshi nchini Ukraine.
Hatimaye Uingereza kuirejesha Chagos kwa Mauritius
Hatimaye Uingereza kuirejesha Chagos kwa Mauritius
Uingereza yaandaa mkutano dhidi ya wahamiaji haramu
Mkutano wa OIC nchini Uingereza ni wa kuratibu kimataifa mapambano yake dhidi ya uhamiaji haramu.
Uingereza mwenyeji wa mkutano 'biashara chafu' ya wahamiaji
Wajumbe kutoka mataifa zaidi ya 40 wanakusanyika nchini Uingereza kwa mkutano wa kilele juu ya usafirishaji wahamiaji.
EU yamtaka Rais Salva Kiir autulize mvutano nchini mwake
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga awasili mjini Juba, kutafuta mwarobaini wa mvutano wa nchini Sudan Kusini.
Urusi yataka EU kuiondolea vikwazo ili kurejesha makubaliano
Hayo yanajiri wakati Moscow na Kiev zikitupiana lawama kwa mashambulizi yaliyolenga miundombinu ya nishati.
Ufaransa, Uingereza zapigia debe kikosi kwa ajili ya Ukraine
Ufaransa na Uingereza zinahimiza juu ya kupelekwa kikosi cha kulinda mkataba wowote wa amani kati ya Urusi na Ukraine.
Macron awakaribisha viongozi wa Ulaya kuizungumzia Ukraine
Mkutano huo unafanyika baada ya rais wa Ukraine kukubali mapema mwezi huu kuendelea na mazungumzo ya kusitisha vita
Ujerumani yakosoa hatua za Israel huko Palestina
EU: Mashambulizi ya Israel huko Lebanon na Syria yanahatarisha usalama wa eneo zima la Mashariki ya Kati.
Mataifa ya Ulaya: Mpango wa kusitisha vita gaza urejeshwe
Siku ya Jumanne, Israel ilianza kuishambulia Gazana kusambaratisha makubaliano ya kusitisha vita ya tangu Januari.
Hitilafu ya umeme yatatiza safari uwanja mkubwa wa Heathrow
Mamlaka za uwanja huo zimesema bado hazifahamu muda ambao umeme utarejea.
Umoja wa Ulaya waamua kuongeza matumizi ya ulinzi
Matumizi ya ulinzi, vita vya Ukraine na mzozo wa mashariki ya kati ni ajenda zilizojadiliwa katika mkutano huo wa EU.
Zelensky aitaka EU kubakisha vikwazo dhidi ya Urusi
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekutana Alhamisi (20.03.2025) Brussels kujadili uwezo wao wa ulinzi na msaada kwa Ukraine.
Kwanini Rwanda imefarakana na Ubelgiji kidiplomasia?
Umoja wa Ulaya unaituhumu Rwanda kwa kuuchochea mzozo wa Congo kwa kupeleka vikosi vyake eneo la mashariki mwa DRC.
Kenya mwenyeji wa familia ya kifalme ya Uholanzi
Uholanzi ilipokea zaidi ya barua pepe 300 zilizoomba kufutiliwa mbali kwa ziara hiyo.
Maafisa wa Rwanda wawekewa vikwazo kwa mzozo wa Kongo
Serikali ya Kongo na waasi wa M23 wamethibitisha kushiriki mazungummzo ya amani Jumanne mjini Luanda, nchini Angola.
Nani atashinda vita vya biashara kati ya EU na US?
EU na Marekani zimeingia katika mgogoro mkubwa wa kibiashara, huku pande zote zikijibizana kwa kuweka ushuru mpya.
Ujerumani na swali la msingi kuhusu silaha za nyuklia
Mabomu ya nyuklia ya Marekani bado yapo Ujerumani, lakini msimamo wa Donald Trump umedhoofisha vizuwizi vya nyuklia.
Rais wa China akataa mwaliko wa EU
Mvutano kati ya Umoja wa Ulaya na Chinaumeongezeka tangu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine mnamo 2022.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 50
Ukurasa unaofuatia