You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Papa Francis abariki Macedonia Kaskazini kujiunga na EU
Baba mtakatifu afanya ziara nchini Macedonia
Merkel atembelea kituo cha ujumbe wa Umoja wa Ulaya Niger
Merkel atembelea kituo cha ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Niger
China: Mradi wa ujenzi wa miundombinu wapaswa kuwa bayana
Uingereza yasema mazungumzo ya masuala ya kiuchumi ndiyo msingi wa ushirikiano wa kibiashara kati yake na China.
Baraza la kijeshi Sudan kuzungumza na makundi ya kisiasa
Maandamano nchini Sudan yataendelea nje ya wizara ya ulinzi, eneo kuu ambako maandamano yamekuwa yakifanyika.
Brexit yacheleweshwa hadi Oktoba 31
Hatua hiyo imelinusuru bara la Ulaya kutokana na Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya mwishoni mwa wiki bila makubaliano.
China, EU zajenga matumaini ya kuikabili Marekani
China na Umoja wa Ulaya zimefanya mkutano wa kilele mjini Brussels, Ubelgiji.
Brexit: Kansela wa Ujerumani kukutana na Theresa May
Wakati huo huo, May anazidi kukabiliwa na shinikizo ndani ya chama chake cha Kihafidhina wanaomtaka ajiuzulu.
May akiri makubaliano ya Brexit hayatapita bungeni
May amesema kuna hatari kubwa ya kutokuwepo Brexit ikiwa hakutopatikana muafaka haraka.
Theresa May yaomba muda zaidi kwa Brexit
Waziri Mkuu ataka muda zaidi wa mchakato wa Brexit
Michel Barnier:Uingereza hatarini kutoka EU bila makubaliano
Kiongozi wa mjadala wa Brexit Umoja Ulaya Michel Barnier aonya hatari ya Uingereza kuondoka EU bila Makubaliano
Uingereza kujitoa kutoka Umoja Ulaya bila makubaliano
Uingereza kujitoa katika hali ya mtafaruku kutoka Umoja wa Ulaya bila makubaliano
Brexit kupigiwa kura ya tatu Uingereza
Makubaliano ya Brexit kupigiwa kura kwa mara ya tatu na wabunge wa Uingereza
Wabunge wa Uingereza wapinga mapendekezo mbadala ya Brexit
Chama cha DUP kimesema mpango wa Theresa May ni hatari kwa umoja kati ya Ireland na majimbo mengine ya Uingereza.
Wabunge wa Uingereza wampinga Waziri Mkuu Theresa May
Baadhi ya wajumbe wa chama chake cha Kihafidhina wamtaka Waziri Mkuu May ajiuzulu nafasi yake.
Bunge lashinikiza kuhodhi mchakato wa Brexit
Bunge la Uingereza huenda likashinda katika kura ya kushinikiza kuchukua udhibiti wa mchakato wa Brexit
Shinikizo laongezeka dhidi ya May
May aliwahi kuwaambia wabunge angejiuzulu iwapo bunge lingeupigia kura mpango wa Brexit
Hatima ya waziri mkuu Theresa May Magazetini
Hatima ya waziri mkuu Theresa May Magazetini
Brexit: Mawaziri wa May wapanga kumuondoa madarakani
Mawaziri 11 wameripotiwa kumuasi May wakati ambapo miito ikizidi kutaka kura mpya ya raia kuhusu Brexit.
Vikosi vya Kikurdi vyaisambaratisha IS Syria
Vikosi vya Kikurdi vinavyopigania demokrasia Syria vimelisambaratisha kundi la Dola la Kiislamu Syria.
Umoja wa Ulaya waipa Uingereza muda zaidi wa Brexit
Uingereza imepewa hadi Mei 22 kuuidhnisha mpango wa May wa kutalikiana na Umoja wa Ulaya
Mchakato wa Brexit kuhodhi Mkutano wa kilele mjini Brussels
Mchakato wa Brexit kuhodhi Mkutano wa kilele mjini Brussels
Mpango wa Brexit wa Theresa May wapata pigo jingine
Spika wa Bunge la Uingereza auwekea ngumu mpango wa May kuhusu Brexit
Mpambe wa Merkel apendekeza Brexit kupewa muda zaidi
Suala la Brexit linatarajiwa kupewa kipaumbele katika mkutano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya baadaye wiki hii.
Bunge laridhia kuchelewesha Brexit
Maoni mbalimbali baada ya Uingereza kupiga kura jana usiku kuomba mchakato wa kujiondoa kutoka kwenye Umoja wa Ulaya.
Wabunge wa Uingereza wachagua kurefusha Brexit
Wabunge wa Uingereza wachelewesha muda wa nchi hiyo kujitoa kutoka Umoja wa ulaya
EU inadai Uturuki inajihusisha ukiukaji wa haki za binadamu
Wabunge katika bunge la Ulaya wamepiga kura kwa wingi kulikataa ombi la taifa la Uturuki kutaka kujiunga na Umoja wa Ula
Wabunge wazuia Uingereza kuondoka EU bila makubaliano
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuizuia nchi hiyo kuondoka katika Umoja wa Ulaya bila makubaliano.
Uingereza yatakiwa ibadilishe mkakati katika suala la Brexit
Umoja wa Ulaya wasimama pamoja wakati bunge la Uingereza linapoukataa kwa manyingine mpango wa Theresa May.
Bunge la Uingereza laukataa mpango wa May kuhusu Brexit
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuupinga mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May kuhusu Brexit.
Walimwengu wasubiri kuijua hatima ya Brexit
Walimwengu wasubiri kuijua hatima ya Brexit
Brexit: Suala la mpaka wa Ireland bado halijapata ufumbuzi
Hata hivyo duru za pande zote mbili zimesema mazungumzo hayo yataendelea miongoni mwa maafisa wa ngazi za chini.
Merkel na Macron wagusia kuchelewa kwa Brexit
Brexit yatawala
May aliahidi bunge kuchelewesha Brexit
Theresa May aliahidi bunge la Uingereza kuuchelewesha mchakato wa Brexit kwa miezi mitatu.
Viongozi wa EU na nchi za Kiarabu wataka suluhisho la pamoja
Masuala ya vita dhidi ya ugaidi na uhamiaji yapewa kipaumbele
Viongozi wa EU na Nchi za kiarabu kuimarisha ushirikiano
Viongozi wa Umoja wa Ulaya na nchi za Kiarabu wajadili ugaidi, uhamiaji na kuimarisha ushirikiano.
Uingereza yaongeza kasi kuelekea wasi wasi kuhusu Brexit
Uingereza yajaribu kupata muafaka kuhusiana na mabadiliko ya makubaliano ya Brexit
Malkia wa pembe za ndovu ahukumiwa miaka 15 jela
Mahakama nchini Tanzania imemhukumu mfanyabiashara maarufu wakichina aliyepachikwa jina la malkia wa pembe za ndovu kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la kufanya biashara ya kusafirisha meno ya tembo zaidi ya 350 kuelekea Asia. Hukumu hiyo ni ushindi mkubwa katika mapambano ya kuutokomeza ujangili barani Afrika. Kurunzi: 19.02.2019
Trump aichanganya Ulaya kwa wito kuhusu wapiganaji wa IS
Watu hawa wanaweza tu kuja Ujerumani ikiwa imethibitishwa kuwa wanawaze kueplekwa rumande mara moja.
Mpasuko ndani ya Labour ya Uingereza
Corbyn anasema amefadhaishwa na uamuzi wa walioshindwa kuzifanyia kazi sera ambazo ziliwavutia mamilioni ya wapigakura.
Trump ayataka mataifa ya Ulaya kuwapokea IS kutoka Syria
Trump ataka mataifa ya Ulaya kuwachukua wapiganaji wa IS kutoka Syria
Mkutanao wa kimataifa kuhusu Usalama Magazetini
Mkutano wa kimataifa kuhusu Usalama Magazetini
Brexit: Theresa May ataka wabunge wampe muda zaidi
Wapinzani wa Theresa May wanadai kuwa bibi May anapoteza muda kwa makusudi ili wajikute kwenye njia panda.
Ireland inaitegemea kiasi gani Uingereza kibiashara?
Suala la mpaka limetawala mawazo ya Ireland katika kizungumkuti cha Uingereza kuondoka kwenye Umoja wa Ulaya
May aihakikishia Ireland kuhusu mpaka
Theresa May aihakikishia Ireland kwamba hakutakuwa na mpaka na Ireland ya kaskazini
Uhispania, Sweden na Uingereza zamtambua Guaido
Uhispania, Sweden na Uingereza zamtambua Guaido. Rais Nicolas Maduro akabiliwa na shinikizo la kujiuzulu
EU yazindua mfumo wa malipo kwa Iran kuepuka vikwazo
Iran imekaribisha hatua hiyo Marekani imesema haitakuwa na athari zozote kwenye juhudi za kuitia kishindo Tehran.
Italia yaingia katika mdororo wa kiuchumi
Italia yatumbukia katika mdororo wa kiuchumi na mataifa ya sarafu ya euro ukuaji wake wapungua
Magazetini: Mpango mbadala wa May wa Brexit
Magazeti ya Ujerumani yamezungumzia kuhusu mpango mbadala wa Brexit, waziri wa ulinzi wa Ujerumani na mradi wa jeshi
Viongozi wa Ulaya wasema makubaliano ya Brexit hayabadiliki
May kutafuta makubaliano mapya
Theresa May ataka kubadilisha makubaliano ya Brexit
Hata hivyo taarifa ya makao makuu ya Umoja wa Ulaya mjini Brussels imesema haitawezekana mpango huo kujadiliwa tena.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 28 wa 50
Ukurasa unaofuatia