You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Taarifa ya Habari ya Asubuhi Afrika Mashariki
Wakaazi wa vitongoji vya mji mkuu wa Myanmar, Yangon, wayakimbia makazi yao/ Umoja wa Mataifa waonya mzozo wa Yemen waendelea kushika kasi huku taifa hilo likitumbukia katika baa la njaa/ Na Niger leo yaanza maombolezo ya kitaifa kufuatia mauaji ya watu 58.
Bunge la Libya lapongezwa kwa kuipitisha serikali ya umoja
Wanawake wa Libya wanataka maendeleo zaidi baada ya uteuzi wa waziri wa kwanza mwanamke wa mambo ya nje
Malkia Elizabeth aahidi kushughulia madai ya Harry na Meghan
Harry na mkewe walizusha mjadala kuhusu utambulisho wa mwanafamilia ya familia ya kifalme aliehoji ngozi ya mtoto wao.
EU: Assad hataki uchaguzi huru na wa haki Syria
Syria inakabiliwa na upungufu wa chakula
Meghan aibua ubaguzi Ufalme wa Uingereza
Wawili hao wamezungumzia kashfa kubwa zikiwemo za ubaguzi ndani ya familia hiyo ya kifalme.
Mkuu wa NATO aonya EU haiwezi kuilinda Ulaya peke yake
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO ameonya kuwa EU haiwezi kuwalinda raia wake peke yake bila msaada wa NATO.
Pasi ya chanjo ya EU: Changamoto ya kimaadili na kisheria?
Mpango huu unatarajiwa kuchukuwa miezi mitatu kuweka mifumo ya uhakika kuufanikisha. Na hapo ndipo linapokuja tatizo.
EU: Yapendekeza pasi maalum ya chanjo ya virusi vya corona
EU: Yapendekeza pasi maalum ya chanjo ya virusi vya corona
Uingereza yawachanja zaidi ya watu milioni ishirini
Uingereza imesema itaanza kutoa chanjo kwa watu wenye umri wa zaidi ya miaka 40.UJerumani idadi ya vifo yafikia 70 elfu.
Viongozi wa EU kujadili matatizo ya utoaji chanjo
Migawanyiko kuhusu hatua za baadhi ya wanachana kufunga mipaka yao pamoja na vyeti vya chanjo pia vitajadiliwa
Taytu Betul: Malkia wa Ethiopia aliyewashinda Wataliana
Taytu Betul: Malkia wa Ethiopia mke wa Menelik II
Taytu Betul, anaetajwa kuwa ni mmoja wa viongozi shupavu wa Ethiopia, alikuwa ni mke wa mfalme Menelik wa Pili. Malkia huyo alichangia pakubwa katika kuvishinda vikosi vya Italia, ilipojaribu kuitawala Ethiopia, na ndiye aliyetoa jina la mji mkuu wa Addis Ababa.
Chanjo ya Covid-19 yaleta ahueni Israel
Israel imeanza leo (21.02.2021) kuondoa sehemu kubwa ya vizuizi ilivyoweka kukabiliana na janga la virusi vya corona.
Viongozi wa G7 kujadili juu ya chanjo, uchumi na China
Kiongozi mwingine mpya atakayehudhuria mkutano huo ni waziri mkuu wa Italia Mario Draghi.
New Zealand yafunga shughuli kufuatia visa vya COVID-19
New Zealand ilikuwa imefanikiwa pakubwa kudhibiti maambukizi ya COVID-19 ikilinganishwa na mataifa mengine duniani.
Urusi yawatimuwa mabalozi wa Ulaya kuhusu Navalny
Josep Borrel amelaani vikali kufukuzwa kwa wanadiplomasia hao baada ya kufahamishwa wakati wa mkutano na Lavrov.
China yapongezwa kwa ushirikiano na timu ya WHO Mjini Wuhan
Waziri wa Uingereza Nadhim Zahawi asema kwasasa kuna aina mpya ya virusi vya corona takriban elfu 4 kote duniani
Chanjo za Corona: Umoja wa Ulaya watangaza taratibu kali.
Umoja wa Ulaya umesema chanjo hizo dhidi ya corona ni mali ya raia wa Umoja huo.
China yatumia lugha kali kuionya Taiwan kuhusu uhuru
China imetumia lugha kali dhidi ya Taiwan, ikionya kuwa shughuli za kijeshi na ombi la kutaka uhuru inamaanisha vita.
WHO yaanza kuchunguza chimbuko la corona, China
Wataalamu wa afya wa WHO wanaochunguza chimbuko la virusi vya corona watembelea hospitali moja mjini Wuhan, China
Marekani yasimamisha vikwazo dhidi ya waasi wa Yemen
Utawala wa rais Joe Biden wasimamisha vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya kundi la waasi wa Kihuthi nchini Yemen
Xi Jinping aonya dhidi ya kuanzisha Vita vipya Baridi
Rais wa China, Xi Jinping ametahadharisha kuhusu kile alichokiita kuwa ni mwanzo wa vita vipya baridi.
Umoja wa Ulaya kuanzisha upya vikwazo Urusi
Viongozi mbalimbali wamejitokeza kuunga mkono hatua ya Umoja Ulaya kuiwekea vikwazo Urusi.
WHO yasema barakoa za vitambaa bado zinafaa dhidi ya corona
WHO yasema haina mpango wa kubadilisha muongozo wake kuhusu barakoa za vitambaa
COVID-19: Uingereza yapiga marufuku abiria kutoka Tanzania
Uingereza yapiga marufuku wasafiri kutoka Tanzania na kutoka DRC
Malkia Abla Pokou: Mama wa watu wa Baoule Ivory Coast
Malkia Abla Pokou aliwaongoza watu wake kutoka Ghana ya leo hadi Ivory Coast 1770, na kuanzisha taifa la watu wa Baoule.
Malkia Abla Pokou: Mama wa watu wa Baoulé wa Ivory Coast
Malkia Abla Pokou aliwaongoza watu wake kutoka Ghana ya leo hadi Ivory Coast 1770, na kuanzisha taifa la watu wa Baoulé.
Malkia Abla Pokou: Mama wa watu wa Baoule
Malkia Abla Pokou aliwaongoza watu wake kutoka Ghana ya leo hadi Ivory Coast 1770, na kuanzisha taifa la watu wa Baoule.
Shirika la Frontex lakiuka haki za binadamu eneo la Balkan?
Shirika la Frontex lalaumiwa na wakimbizi na wahamiaji kwa kuhusika na kuwarudisha makwao kinyume cha sheria.
Ujerumani:Hatua za kupambana na virusi vya corona zarefushwa
Ujerumani: Shule na biashara zisizo za lazima kuendelea kufungwa katika kuzuia kusambaa kwa virusi vya corona
Janga la Virusi vya Corona bado kuzungumkuti
Ujerumani yarefusha muda wa kufunga shughuli za kimaisha hadi Januari 31 ili kudhibiti kusambaa kwa virusi hivyo.
Uingereza yakataa kumrejesha Julian Assange Marekani
Uingereza yakataa kumrejesha Julian Assange Marekani
Uingereza hatimaye yakamilisha kuondoka Umoja wa Ulaya
Hatimaye Uingereza imetamatisha kabisa uhusiano wake wa nusu karne na Umoja wa Ulaya kwa kujiondoa kutoka kwenye soko mo
Europol : Uhalifu dhidi ya watoto mitandaoni waongezeka
Mkuu wa shirika la polisi la Ulaya amesema visa vya uhalifu wa kuwadhalilisha watoto kingono mitandaoni vinaongezeka.
Mataifa ya EU yaidhinisha mkataba na Uingereza
Kuidhinishwa kwa makubaliano hayo kunasaidia kupunguza uvurugaji wa biashara kati ya pande mbili.
Maoni: Licha ya kufikiwa makubaliano, Brexit bado ni hadaa
Waingereza walikuwa na hali nzuri ndani ya Umoja wa Ulaya bila ya maneno mengi ya Boris Johnson.
Matangazo ya Jioni 25.12.2020
Papa Francis atoa ujumbe wa Krismasi kutaka chanjo ya COVID-19 ipatikane kwa wote. Nchi za Umoja wa Ulaya zaanza kuchambua mkataba wa kibiashara wa baada ya Brexit. Waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wasitisha vita kuelekea uchaguzi.
Matangazo ya Mchana 25.12.2020
Wakristo ulimwenguni kote washerehekea Krismasi chini ya kivuli cha janga la COVID-19. Viongozi wa Ulaya wasifia makubaliano ya kibiashara kati ya umoja huo na Uingereza. Waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wasitisha vita kuelekea uchaguzi.
Matangazo ya Jioni 24.12.2020
q
Mkataba wa baada ya Brexit wapatikana
Uingereza na Umoja wa Ulaya zimefanikiwa kupata mkataba wa baada ya Brexit.
Matangazo ya Mchana 24.12.2020
Waziri Mkuu wa Ethiopia awapeleka wanajeshi katika jimbo ambalo watu 100 wameuawa na watu wasiojulikana. // Umoja wa Ulaya na Uingereza zatarajiwa kutangaza leo makubaliano ya kibiashara ya baada ya Brexit. // Rais wa Marekani awapa msamaha watu 29 wakiwemo wapambe wake.
Wanafunzi wawili Hong Kong waambukizwa kirusi kipya
Wanafunzi wawili Hong Kong waambukizwa kirusi kipya
Marufuku ya safari dhidi ya Uingereza yaanza kuondolewa
Rais Donald Trump ameukataa mpango mkubwa wa misaada ya kiuchumi uliopitishwa na bunge akiutaja kuwa ni fedheha
Mataifa kadha yajaribu kuunusuru mkataba wa nyuklia na Iran
Rais huyo mteule wa Marekani anatarajiwa kuapishwa tarehe 20 Januari.
Mataifa kadhaa yasitisha usafiri kutoka Uingereza kwa sababu ya aina mpya ya virusi vya corona
Ujerumani imeungana na mataifa mengine ya Ulaya katika jitihada ya kukabiliana na kitisho cha kuzuka kwa aina mpya virusi vya corona katika mataifa ya Uingereza na Afrika Kusini
Mataifa mengi yaendelea kupiga marufuku ndege za Uingereza
Uingereza yafungi bidhaa na wasafiri kutoka Uingereza kuingia nchini mwake
Ubelgiji na Uholanzi zapiga marufuku ndege kutoka Uingereza
Hofu kufuatia aina mpya ya kirusi cha corona kinachosambaa kwa kasi
Mazungumzo ya Brexit wajumbe bado hawajafikia makubaliano
Mazungumzo hayo kuhusu mustakabali wa kibiashara kati ya pande mbili hizo bado yanasuasua.
Von der Leyen: Mianya mikubwa ingalipo kuhusu Brexit
Mianya kwenye mazungumzo ya Brexit yatatiza ufumbuzi.
Barnier: Mazungumzo ya Brexit yanaelekea pazuri
Barnier: Mazungumzo ya Brexit yanaelekea pazuri
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 22 wa 50
Ukurasa unaofuatia