You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Waziri Mkuu wa Uingereza akaidi wito wa kujiuzulu
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson alikaidi wito wa kujiuzulu
Waandamanaji 7 wauawa na vikosi vya usalama Sudan
Watu saba wameuawa na vikosi vya usalama vya Sudan katika maandamano ya kupinga mapinduzi ya kijeshi.
Bara la Afrika laazimia kuagiza dawa ya kutibu COVID-19
Dawa hiyo itaepusha watu wanaougua COVID-19 na walioambukizwa kirusi kipya cha omicron kulazwa hospitalini.
Putin atulia, magharibi waztunguka
Rais Vladmir Putin anajiandaa kufurahia jukwaa la kimataifa wakati wa mikutano ya kidiplomasia inayolenga kumridhisha.
Hong Kong yapiga marufuku ndege kutoka nchi nane duniani
Marufu ya sarafi za ndege,huku Ufaransa na Israel zikirikodi idadi kubwa zaidi ya maambukizi toka kuanza kwa janga hili.
Ujerumani yalegeza vikwazo vya usafiri kwa nchi tisa
Marekani wanafunzi wacheleshwa kurudi madarasani kwa sabababu ya corona na Rais wa Msumbiji na mkewe waugua COVID-19.
Ufaransa:Watu zaidi ya 100,000 waambukizwa virusi vya corona
Ulimwengu wahofia kuongezeka kwa virusi vya omicron vinavyoenea kwa haraka.
Mali yakanusha uwepo wa mamluki wa Urusi
Canada na mataifa 13 ya Ulaya yanaituhumu Moscow kwa kupeleka wakandarasi binafsi wa kijeshi Mali.
EU yaidhinisha chanjo ya tano dhidi ya Covid-19
Pfizer, Moderna, AstraZeneca na Johnson & Johnson zimeidhinishwa tayari
Washirika wa Magharibi waulalamikia uchaguzi wa Hong Kong
Marekani na Canada ni miongoni mwa nchi ambazo hazikuridhika na uchaguzi wa Hong Kong.
EU: Yarejesha vikwazo kwa Urusi kwa kuichokoza Ukraine
EU: yaendelea kuiwekea Urusi vikwazo kwa kuichokoza Ukraine
Uingereza, Ufaransa kuchukua hatua zaidi dhidi ya Omicron
Boris Johnson awataka wafanyakazi wa kujitolea wajitokeze katika vituo vya chanjo ili kukabiliana na virusi vya Omicron
Tanzania yasaini mikataba ya madini kampuni nne za kigeni
Serikali ya Tanzania imesaini mikataba minne ya uwekezaji yenye thamani ya dola milioni 763 na kampuni tatu za uchimbaji madini kutoka Australia na moja kutoka Uingereza. Hii ikiwa ni muendelezo wa kutilia mkazo sheria yake mpya ya madini inayotaka serikali kuwa na ubia wa asilimia kumi na sita. Mwenzangu Hawa Bihoga amezungumza na waziri wa madini Dotto Biteko
Rais Ramaphosa akutwa na COVID-19
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa anapatiwa matibabu baada ya kuambukizwa ugonjwa wa COVID-19.
Mawaziri wa Nje wa G7 wakutana kuionya Urusi
Mawaziri wa mambo ya kigeni na maendeleo wa mataifa tajiri duniani (G7) wameapa kuichukulia hatua kali Urusi.
Uingereza yaimarisha vizuizi kukabiliana na Omicron
Uingereza yaimarisha vizuizi kukabiliana na Omicron
SIPRI:Kampuni za silaha zimeongeza faida wakati wa Covid-19
SIPRI yasema watengenezaji wakubwa wa silaha duniani waliepuka anguko la kiuchumi lililosababishwa na Covid-19.
Wasiochanjwa Ujerumani kuzuiwa baadhi ya huduma muhimu
Wasiochanjwa Ujerumani kuzuiwa baadhi ya huduma muhimu
Uingereza yaidhinisha dawa ya kukabiliana na Omicron
Mamlaka ya usimamizi wa dawa nchini Uingereza imeidhinisha dawa zinazozalishwa na kampuni ya GlaxoSmithKline, GSK kutibu
Mkasa wa wahamiaji kufariki baada ya kuzama majini
Kisa cha wahamiaji 27 kufa maji katika ajali ya boti waliyokuwa wakisafiria kutoka kambi isiyo rasmi ya Calais nchini Ufaransa, wakijaribu kuingia kimagendo nchini Uingereza, kimegeuka kuwa mzozo wa kisiasa baina ya Ufaransa na Uingereza, ambazo kila moja inajaribu kujivua majukumu ya janga hilo baya la kibinadamu na kuituhumu nyingine kutowajibika. Sikiliza makala ya Mwangaza wa Ulaya.
Mazungumzo ya awali ya nyuklia ya Iran yaanza Uswisi
Iran yaanza mazungumzo ya awali ya nyuklia
Ujerumani, Uingereza na Italia zathibitisha visa vya Omicron
Ujerumani, Uingereza na Italia zathibitisha visa vya Omicron
Yanayojiri kuhusu virusi vipya vya corona
Kutokana na hali hiyo nchi za Umoja wa Ulaya zinapanga kusitisha safari za ndege kutoka nchini Afrika Kusini.
Kirusi kipya cha Afrika Kusini chatajwa kujibadili kwa kasi
Uingereza yafuta safari za ndege kutoka nchi tano za kusini mwa afrika.
Miito Uingereza ya kutaka sheria ya kifo cha hiari ilegezwe
Nchini Uingereza, wanaharakati wanapigania kulegezwa kwa sheria kuhusu msaada wa kifo cha hiari. Wanasema mabadiliko katika sheria hiyo yatawapa udhibiti mkubwa zaidi kuhusu namna na lini wanakufa. Katika makala hii ya Mwangaza wa Ulaya iliyoandaliwa kwa ushikiriano na Nimita Bhati, tunamulika harakati hizo na uwezekano wake wa kufanikiwa.
Masuala tete hayajateguliwa katika mkutano wa COP26
Mkutano wa COP26 umeingia wiki ya mwisho Jumatatu, lakini nchi bado zinatofautiana kuhusu masuala tete.
Viongozi COP26 waahidi juhudi mpya kuokoa misitu ya dunia
Mwenyekiti wa mkutano wa kilele, waziri mkuu wa UK Boris Johnson, alisema makubaliano kuhusu uharibuji misitu ni muhimu.
Guterres: Iokoweni dunia ama tutaangamia sote
Guterres ameomba kama viongozi hawakuamua kuiokowa sayari ya dunia, basi itaangamia na watu wote.
Upungufu wa nishati wazusha hofu ya umaskini wa mafuta Ulaya
Kupanda kwa bei za nishati duniani kunasababisha ongezeko kubwa za bili za upashaji joto.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu. Asubuhi tarehe 16.10.2021
VIDOKEZO: Polisi Uingereza kisa cha mbunge David Amess kuuawa ni kitendo cha kigaidi.// Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS ladai ndilo lilifanya shambulizi msikitini Afghanistan na kuua watu wasiopungua 41.// Na Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin Touadera atangaza usitishaji vita dhidi ya waasi ili kuruhusu mazungumzo ya amani.
Mauaji ya mbunge wa Uingereza ni kisa cha kigaidi- polisi
Polisi nchini Uingereza imesema kisa cha mbunge David Amess kuuawa Ijumaa kwa kudungwa kisu, kilikuwa kisa cha kigaidi.
Maoni : Taliban na kutambuliwa kimataifa
Ni miezi miwili sasa tangu utawala wa Taliban urejee madarakani nchini Afghanistan,baada ya miaka zaidi ya ishirini ya mapambano na majeshi ya nchi za kigeni yaliongozwa na Marekani chini ya kivuli cha jumuiya ya kijuhami ya NATO. Maoni kwenye meza ya duara wiki hii Mohammed Khelef na wageni wake wanajadili uwezekano wa Taliban kutambulika kimataifa.
Ulaya yawasilisha mapendekezo kuepusha mzozo mpya wa Brexit
Kwenye mpango huo bidhaa nyingi za vyakula hazitatakiwa kukaguliwa zinapoingizwa Ireland Kaskazini kutokea Uingereza.
Pendekezo la EU kutaka mjumbe kwa Afghanistan lapitishwa
Pendekezo la EU kutaka mjumbe maalumu kwa Afghanistan lapitishwa
Balozi zakanusha kushawishi chaguzi Kenya
Afisi za ubalozi wa Uingereza, Ujerumani na Canada nchini Kenya zimekanusha kuwepo kwa mpango wowote wa kumpendelea mgombea mmoja wa urais kwenye uchaguzi mkuu ujao wa Kenya. Tangazo la balozi hizo linaonekana kama kukanusha madai yaliyotolewa na mwanasiasa mmoja nchini humo, aliyesema jumuiya ya kimataifa ina ushawishi mkubwa katika kumchagua kiongozi wa Kenya. Sikiliza ripoti ya Wakio Mbogho.
Ujumbe wa Uingereza wakutana na maafisa wa Taliban
Ujumbe wa Uingereza wakutana na maafisa wa Taliban
Viongozi wa EU kujadili ulinzi, China, Marekani
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana leo kujadili masuala mbalimbali yakiwemo Ulinz na uhusiano wa kimataifa
Uhaba wa mafuta Uingereza waathiri huduma muhimu kama uuguzi
Haya yanajiri wakati jeshi limewekwa tayari kusaidia kusuluhisha hali tete ya uhaba wa mafuta nchini humo.
Mahakama ya Ulaya yaihusisha Urusi kwenye mauaji ya jasusi
Uingereza imetangaza kuwa na ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani afisa mwengine wa Kirusi kwa mauaji ya Sergei Skirpal
Mzozo kati ya Ufaransa na Australia hautazuia mkataba
Mzozo kati ya Ufaransa na Australia hautazuia mkataba
Wito watolewa kwa EU Kongeza msaada Afghanistan
Wito watolewa kwa EU kuongeza msaada nchini Afghanistan
China,Ufaransa zaujia juu muungano wa Indo-Pacific
China yalaani muungano mpya wa ki wa Marekani, Australia na Uingereza
Marekani Uingereza na Australia zazindua muungano wa usalama
Marekani, Uingereza na Australia zimetengaza kuwa zimeanzisha ushirikiano wa kiusalama katika eneo la Indo-Pasifiki amba
Kampuni ya tumbaku yatuhumiwa kushawishi sera za afya Afrika
Kampuni kubwa ya tumbaku ya British American Tobacco, BAT inadaiwa kufanya malipo kwa nchi 10 za Afrika.
Wanawake wa Afghanistan waandamana kutaka haki zao kulindwa
Wanawake wa Afghanistan waandamana kutaka haki zao kulindwa
Maoni: Demokrasia ya Afghanistan imegeuka ya kadri
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Heiko amekiri kuwa kuna haja ya kuzungumza na Taliban. Ni njia ngumu isiyoepukika.
Marekani yaonya kuhusu kitisho cha kuaminika Kabul
Marekani imeonya kuwa kuna kitisho cha kuaminika karibu na uwanja wa ndege wa Kabul na imewataka wananchi wake kuondoka.
Muda wa mwisho wa uhamishaji Afghanistan ni mwisho wa mwezi
Muda wa mwisho wa uhamishaji Afghanistan ni mwisho wa mwezi
Wataliban hawataongeza muda wa kuhamishwa watu
Duru kutoka kundi la Taliban zinasema muda wa mwisho wa Agosti 31 wa majeshi ya nchi za Magharibi kuondoka nchini humo h
Taliban waichukuwa Kandahar, mji wa 13 kati ya 34
Marekani na Uingereza zimetuma ndege za kuwahamisha raia wao kutoka Afghanistan.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 20 wa 50
Ukurasa unaofuatia