You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
EU yatishia kuirejeshea Iran vikwazo vya kimataifa
Kumekuwa na uvumi kuhusu mpango huo wa nyuklia tangu Israel na Marekani ziliposhambulia vituo vya kijeshi vya Iran.
Ujerumani na Uingereza zasaini mkataba wa ushirikiano
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema mkataba huo ni wa kihistoria.
Kansela Merz kuanza ziara ya kwanza nchini Uingereza leo
Ziara yake ya siku moja, inafanyika wiki moja baada ya ziara ya siku 3 iliyofanywa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron.
Watoto waliozaliwa kwa IVF kutorithi magonjwa ya mama zao
Mtoto mmoja kati ya 5,000 huzaliwa na magonjwa ambayo hayana tiba, na yakijumuisha dalili kama za upofu na kisukari.
Nchi tatu za Ulaya zatishia kurejesha vikwazo kwa Iran
Iran imejibu kwa kusema haitorejea kwenye mazungumzo na Marekani kama hakuna hakikisho kuwa hitashambuliwa tena
Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine
Rais Vladmir Putin amedhamiria kuendelea na vita dhidi ya Ukraine licha ya vitisho vya vikwazo zaidi kutoka Washington.
EU kufanya mazungumzo ya kibiashara na Marekani
-
EU inahitaji hatua madhubuti kukabili ushuru wa Marekani
Waziri wa fedha wa Ujerumani amesema EU itahitaji kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na ushuru wa Marekani.
Ushuru wa Marekani dhidi ya Mexico, EU kuanza Agosti mosi
Ushuru wa asilimia 30 dhidi ya Mexico na EU unaongeza shinikizo kwa mikataba katika vita vya Marekani vya kibiashara.
Ujerumani na China zakumbwa na mvutano wa kidiplomasia
China inazituhumu nchi za Magharibi kwa kujaribu kuzuia ukuaji wake na kuleta machafuko katika maeneo jirani.
Watu wanne wanamiliki utajiri unaozidi nusu ya Afrika
Asilimia 5 ya Waafrika wanamiliki utajiri wa hadi dola trillioni nne za Marekani.
EU inapanga kampeni ya shinikizo dhidi ya Israel kuhusu Gaza
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amewatumia wanachama orodha ya vikwazo vinavyoweza kuwekwa dhidi ya Israel.
EU na Israel zakubaliana kuboresha misaada kwa Wapalestina
Umoja wa Ulaya na Israel zakubaliana kuboresha misaada kwa Wapalestina
Macron na Starmer waapa kukabiliana na uhamiaji haramu
Uingereza na Ufaransa waapa kupambana na uhamiaji haramu, wakati wa mkutano wa kilele kati ya mataifa hayo.
Merz ana matumaini ya makubaliano kati ya EU na Marekani
Nchi za Umoja wa Ulaya zatakiwa kushirikiana kukabiliana na changamoto za kimataifa.
Macron aanza ziara ya siku tatu Uingereza
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya siku tatu nchini Uingereza ambapo kati ya mengi, atalihutubia bunge.
EU inatarajia kufikia makubaliano na Trump kabla Julai 9
Zimesalia siku chache kabla ya kumalizika muda alioutoa Trump wa kufikia makubaliano na washirika wake wa kibiashara
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuzuru Uingereza Jumanne
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kiserikali nchini Uingereza Jumanne ijayo,
Urusi yafanya mashambulizi makubwa zaidi Ukraine
Urusi yafanya mashambulizi makubwa zaidi Ukraine, saa chache baada ya mazungumzo kati ya Rais Trump na Putin.
Von der Leyen kukabiliwa na kura ya kutokuwa na imani
Wabunge watajadili hoja hiyo Jumatatu ijayo mjini Strasbourg Ufaransa.
Wabunge Uingereza wakubali Palestine Action kuitwa magaidi
Wabunge wa Uingereza wameunga mkono hatua ya serikali kulitangaza shirika Palestine Action kuwa kundi la kigaidi.
EU yapendekeza kupunguza uzalishaji wa hewa chafu ya kaboni
Mapendekezo hayo hayo yametolewa wakati bara Ulaya linakabiliwa na viwango vya juu zadi vya joto
Ujerumani/Uingereza kutia saini mkataba wa ulinzi wa pamoja
Jarida la Politico limesema ahadi hizo sasa zinafanyiwa kazi na suala linalopewa kipaumbele ni usalama.
Nchi 3 za Ulaya zalaani "vitisho" dhidi ya Mkuu wa IAEA
Iran imesema si tishio kwa mkuu huyo wa IAEA lakini inamtuhumu Grossi kwa kuchochea mashambulizi ya kwanza ya Israel.
EU yaahidi kuchukua hatua kukidhi mahitaji ya Ukraine
Bado wanachamawa EU walitofautiana kuhusu Urusi kuwekewa vikwazo zaidi kutokana na hatua yake ya kuivamia Ukraine.
Umoja wa Ulaya kujadili Ukraine, ulinzi na uchumi
Wakuu wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wanakutana Brussels, Ubelgiji kujadili masuala muhimu vikiwemo vita nchini Ukraine.
Ujerumani, Ufaransa, UK zaahidi kuongeza matumizi ya ulinzi
Hatua hiyo inatarajiwa pia kuchukuliwa na Uingereza kama alivyoeleza Waziri Mkuu Keir Starmer.
Marufuku ya kuingia Ulaya yatolewa kwa washirika wa Assad
Watu hao wanadaiwa kuunga mkono uhalifu dhidi ya binaadamu, ikiwemo utumiaji wa silaha za kemikali kwa watu wa Syria.
Zelensky yuko Uingereza kujadili mzozo wa Urusi na Ukraine
Zelensky amesema ziara yake pia itajumuisha juhudi za kuchukua kusitisha mashambulizi Ukraine.
Umoja Ulaya wahimiza diplomasia kati ya Iran na Marekani
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya,ahimiza kutafutwa suluhisho la kidiplomasia kati ya Iran na Marekani.
Uingereza yaidhinisha wagonjwa mahututi kujitoa uhai
Wabunge wa Uingereza waidhinisha sheria ya wagonjwa mahututi kujitoa uhai
Israel-Iran: Ujerumani na Ufaransa zahimiza diplomasia
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa likitarajiwa kukutana kwa mara pili kujadili mzozo wa Israel na Iran.
Bunge la Uingereza kuamua muswada wa huduma ya kifo
Bunge la Uingereza litaamua leo iwapo linaruhusu kuendelea kwa mchakato wa kutungwa sheria ya kutoa msaada wa kifo.
Nchi 9 za EU kusitisha mahusiano ya kibiashara na walowezi
Ubelgiji: Ulaya ni lazima ihakikishe uwepo wa sera ya biashara inayoendana na sheria za kimataifa.
Vita vya Iran na Israel vyazua wasiwasi duniani
-
Viongozi wa G7 wawasili Canada kwa mkutano wa kilele
Mkutano huo wa siku tatu wa viongozi wa kundi la G7 unatarajiwa kugubikwa na mzozo wa mashariki ya kati.
Uingereza yamteua mwanamke wa kwanza kuongoza MI6
Metreweli, afisa wa ujasusi kitaaluma ambaye kwa sasa anahudumu kama mkurugenzi wa teknolojia katika shirika hilo.
UN yaishtumu Iran kukiuka wajibu wake wa kinyuklia
Iran yaapa kujenga kituo kipya cha kurutubisha urani baada ya IAEA kuishtumu kushindwa kutimiza wajibu wake wa kinyuklia
Marekani: Uingereza haipaswi kuiwekea Israel vikwazo
Uingereza yasema mawaziri hao wa Israel wamekuwa wakichochea vurugu dhidi ya wapalestina kwa miezi kadhaa.
Marekani yaikosoa Uingereza kuwafungia mawaziri wa Israel
Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich na wa Usalama wa Taifa Ben Gvir wanatuhumiwa kuchochea ghasia dhidi ya Wapalestina.
Uingereza yawawekea vikwazo mawaziri wa Israel
-
Gaza: Watu zaidi wauawa kwenye mashambulizi ya Israel
Je, kuna matumaini kuhusu mafanikio katika mazungumzo ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas?
China kulegeza vikwazo vya usafirishaji wa madini yake adimu
Taarifa hiyo imetolewa na wizara ya biasharaya China baada ya Beijing kuweka vikwazo vya kuuza madini hayo nje ya nchi.
EU yasikitishwa na vikwazo dhidi ya majaji wanne wa ICC
EU ysikitishwa na vikwazo dhidi ya majaji wanne wa ICC
Trump asema ni vigumu China na Marekani kufikia makubaliano
Rais wa Marekani Donald Trump amesema ni vigumu sana kufikia makubaliano ya biashara na Rais wa China Xi Jinping.
Ujerumani, Uingereza kuongoza mkutano wa msaada kwa Ukraine
Mkutano wa mawaziri wa ulinzi wa NATO kuhusu Ukraine kufanyika kesho mjini Ubelgiji
Je, ushuru wa Marekani unamaanisha nini kwa EU?
Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya Maros Sefcovic amesema EU imejitolea kikamilifu kutafuta suluhisho la muda mrefu.
Mhafidhina Karol Nawrocki ashinda urais Poland
-
Poland yapiga kura katika uchaguzi wenye athari kubwa EU
Vituo vinafungwa Jumapili jioni na maafisa wa uchaguzi wametabiri kuwa matokeo ya mwisho yatajulikana Jumatatu.
Trump aipongeza EU kuwa tayari kuzungumzia biashara
-
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 50
Ukurasa unaofuatia