You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
SIPRI: Idadi ya silaha za nyuklia kuongezeka duniani
SIPRI: Idadi ya silaha za nyuklia kuongezeka duniani
Tanzania yasaini mkataba wa kuuza gesi yake asilia
Tanzania imetiliana saini mkataba wa gesi na kampuni za Shell ya Uingereza na Equinor ya Norway.
Mfalme Philippe aendelea na ziara yake Congo
Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameendelea na ziara yake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Mfalme Philippe na Malkia Mathilde wa Ubelgiji wawasili DRC
Ziara hiyo inafanyika wakati Kongo inaendeleza madai yake ya Ubelgiji juu ya mali zake zilizochukuliwa wakati wa ukoloni
Maoni: Boris Johnson avuka kura ya kutokuwa na imani naye.
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ni mtu mahiri katika kukanganya ukweli japo kwa vipindi vifupi.
Boris Johnson aponea kura ya kutokuwa na imani naye
Ni mapema mno kutabiri kitakachotokea baada ya kura ya leo
Wabunge wamegawika kuhusiana na Johnson
Wabunge wa chama tawala cha Kihafidhina nchini Uingereza wamegawika kuhusiana na iwapo Waziri Mkuu Boris Johnson anastah
Boris Johnson akabiliwa na kura ya kutokuwa na imani naye
Chama tawala cha Kihafidhina nchini Uingereza kitafanya kura ya kutokuwa na imani baadae leo ambayo huenda ikamuondoa ma
Hungary yalegezewa masharti iunge mkono vikwazo kwa Urusi
Hungary yalegezewa masharti iunge mkono vikwazo kwa Urusi
Serikali ya Uingereza yaidhinisha kuuzwa kwa Chelsea FC
Chelsea imeuzwa kwa dau la pauni bilioni 4.25
EU yabainisha mkakati wa kuachana na nishati ya Urusi
Urusi imewatimua wanadiplomasia kadhaa wa nchi za Magharibi hii leo, ikiwa ni hatua ya ulipaji kisasi
Boris Johnson ziarani Belfast kuhusu mzozo wa Brexit
Johnson anafanya ziara hiyo kuhimiza uundwaji wa mamlaka ya kugawana madaraka, unaozuiwa na mabishano ya Brexit.
EU na Japan kuzidisha mbinyo dhidi ya Urusi
Japan na Umoja wa Ulaya zimekubaliana hii leo kuzidisha mbinyo dhidi ya Urusi
Ujerumani Kupeleka wanajeshi wake Niger
Serikali ya Ujerumani imeunga mkono mabadiliko ya vikosi vyake viwili vilivyopo Afrika magharibi, kuwahamisha mamia ya wanajeshi kutoka Mali na kuelekea katika taifa jirani la Niger, hatua hii imebadili msimamo wa kimajukumu wa taifa hilo kutoka Ulaya kupeleka Umoja wa Mataifa.
Viongozi wa G7 kujadili mzozo wa Ukraine
Viongozi wa kundi la mataifa yaliyostawi kiviwanda la G7 wanafanya mkutano leo Jumapili kujadili vita nchini Ukraine.
Conservatives yapoteza ngome muhimu uchaguzi wa Uingereza
Chama tawala cha kihafidhina nchini Uingereza, Conservatives, kimepoteza ngome zake muhimu mjini London.
Urusi yazikatia gesi Poland, Bulgaria, EU yasema imejipanga
Ulaya yasema imejipanga vyema baada ya Urusi kuzifungia gesi Poland na Bulgaria mapema Jumatano
Rais EU akutana na waziri mkuu India Narendra Modi
Umoja wa Ulaya unaimarisha mahusiano zaidi na India katika uga wa biashara ili kutanua soko lake.
Ten Hag ateuliwa kuwa kocha mpya wa Manchester United
Manchester United imethibitisha leo kuwa Erik ten Hag ataondoka Ajax na kuwa meneja wa klabu hiyo msimu ujao.
Uingereza yatoa amri ya Assange kushtakiwa Marekani
Mahakama ya Uingereza yatoa amri Assange ashtakiwe Marekani
Rwanda na Uingereza watia mkataba kuhusu uhamiaji
Nchi za Rwanda na Uingereza zimetia saini mkataba ambapo Uingereza itagharamia mpango wa kuwapokea na kuwahifadhi wahamiaji nchini Rwanda. Nchi mbili hizo zimesema, mpango huo ni kwa ajili ya kukabiliana na tishio la wimbi la wahamiaji haramu kutoka mataifa mbalimbali ambalo ni chanzo cha biashara kuwasafirisha watu kinyume cha sheria na pia madawa ya kulevya. Msikilize Sylvanus Karemera.
Uingereza kuwapeleka Rwanda wanaotafuta hifadhi
Makundi yanayowakilisha wakimbizi nchini Uingereza yanasema mpango huo hauwezi kufanya kazi na unadunisha utu.
Marine Le Pen amesema hana ajenda yoyote ya siri kuhusu EU
Awali,Le Pen kutoka chama cha mrengo mkali wa kulia alisema akishinda atafanya marekebisho katika Umoja wa Ulaya.
Marekani, Uingereza na Australia kutengeza kombora la kisasa
Uingereza, Australia na Marekani zimekubaliana kushirikiana kuhusu utengenezaji wa makombora ya kisasa. Ikulu ya Marekan
Je! Mkutano wa EU-China utaivuta China upande wa Magharibi?
China haikosoi uvamizi wa Urusi nchini Ukraine hali hiyo inaashiria kuwepo mivutano zaidi na nchi za Umoja wa Ulaya.
NATO, EU na G7 zasimama pamoja kupinga uvamizi wa Urusi
Mikutano mitatu imeandaliwa ya NATO,Jumuiya ya Umoja wa Ulaya na kundi la nchi za G7 kutathmini majibu kwa Urusi.
Viongozi wa NATO, G7 na EU kujadili uvamizi wa Urusi
Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg asema nchi za NATO zakabiliwa na wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wake.
Boris Johnson ahangaikia mafuta Ghuba
Boris Johnson asema ulimwengu unapaswa kuacha kutegemea mafuta na gesi kutoka Urusi
Raila afanya ziara nchini Uingereza
Naibu wa Rais William Ruto amesema amemsamehe Rais Uhuru Kenyatta.
Mazungumzo ya nyuklia huenda yakasimama kwa muda
Mazungumzo ya nuklia yaenda mapunziko ya muda
EU yakataa kutoa uanachama wa haraka kwa Ukraine
Viongozi wamegawika kuhusu kuharakisha mchakato wa Ukraine kujiunga na umoja huo, na namna ya kuachana na gesi ya Urusi.
Urusi inahujumu makubaliano ya Nyuklia ya Iran?
Baada ya kushuhudiwa kwa jitihada za mazungumzo kwa takriban miezi 11 sasa, wachambuzi wanaonya huenda Urusi akayatumia.
Marekani, washirika waiwekea vikwazo zaidi Urusi
Ukraine imetangaza hali ya hatari ya siku 30 kufuatia hatua ya Urusi ya kutambua uhuru wa majimbo ya Luhansk na Donetsk.
Tunaunga mkono mazungumzo zaidi kuhusu Urusi-Borrell
Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wafanyika mjini Brussels ukijadili pia mvutano wa Bosnia
Viongozi wa Ulaya na Afrika wakusanyika Brussels
Uwekezaji wa Umoja wa Ulaya barani Afrika ukabiliwa na ushindani kutoka China na Urusi
Korti kuu yasema EU inaweza kuzinyima pesa Hungary na Poland
Poland na Hungary zilikubali mahakama ya Ulaya kutoa uamuzi juu ya iwapo EU inaweza kufungamanisha ufadhili na maadili.
Macron atarajiwa kuwaondoa wanajeshi wake Mali
Macron anatarajiwa kutangaza kuondolewa kwa wanajeshi wake walioko Mali kupelekwa kwingineko katika kanda hiyo ya Sahel.
EU kumimina mabilioni ya Yuro Afrika
Mradi wa Umoja wa Ulaya unaelekea kulenga kuukabili ule wa China duniani
Urusi lazima ichague suluhu katika mzozo na Ukraine
NATO yasema Urusi lazima ifanye chaguo kuhusu suluhu katika mzozo na Ukraine
Mauritius yataka mamlaka ya juu ya visiwa vyake vya Chagos
Mauritius imetuma ujumbe wake kwenye visiwa vya Chagos kushinikiza madai ya umiliki wa visiwa hivyo.
EU yaishutumu Urusi kwa kufunga ofisi ya DW nchini mwake
Umoja wa Ulaya umeulaani uamuzi wa Urusi kufunga ofisi za shirika la utangazaji la Ujerumani, Deutsche Welle.
EU kupitisha sheria ya nishati rafiki kwa mazingira
Halmashauri ya Umoja wa Ulaya inaazimia kutangaza nyuklia na gesi kuwa vyanzo vya nishati endelevu
Blinken, Lavrov kujadiliana kuhusu Ukraine
Antony Blinken na Sergei Lavrov wanazungumza wakati ambapo mzozo kati ya Urusi na mataifa ya magharibi unazidi makali.
Stoltenberg: Hakuna mpango kuwapeleka wanajeshi Ukraine
Stoltenberg: Hakuna mpango kuwapeleka wanajeshi Ukraine
Matangazo ya Mchana Januari 30, 2022
Korea ya Kaskazini yarusha kombora baharini, ikiwa ni majaribio ya saba ndani ya mwezi mmoja. // Uingereza yapanga kuwatuma wanajeshi wake zaidi kujiunga na NATO, mnamo wakati mzozo wa Ukraine ukiendelea kuzusha wasiwasi.// Na Watu 51 wahukumiwa kifo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mauaji ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa.
Maambukizi ya Covid yapindukia laki 2 kwa siku Ujerumani
Janga la virusi vya corona bado linautikisa ulimwengu huku Ujerumani ikisajili zaidi ya maambukizi laki mbili kwa siku k
Julia Assange aruhusiwa kukata rufaa Uingereza
Julia Assange aruhusiwa kukata rufaa Uingereza
Hatma ya Assange kuamuliwa Uingereza
Hatma ya Assange kuamuliwa Uingereza
Familia za wafanyakazi wa ubalozi wa Marekani kuondola Kiev
Marekani imeziamuru familia za wafanyakazi wa ubalozi wake mjini Kiev kuondoka nchini humo mara moja.
Boris Johnson: Shujaa wa Brexit anaezongwa na 'partygate'
Kwa wakosoaji wake, ukweli umeanza kumtia kitanzi mwanasiasa alietaja na David Cameron kama nguruwe aliepakwa mafuta.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 19 wa 50
Ukurasa unaofuatia