You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kifo cha Malkia Elizabeth chatawala magazeti ya Ujerumani
Chanjo dhidi ya ugonjwa malaria yakaribia kupatikana. Pikipiki za kutumia beti zapelekwa Afrika Mashariki.
Urusi yalaani kutoalikwa mazishi ya Malkia Elizabeth
Wabunge wa Uingereza wamekasirishwa na kualikuwa kwa serikali ya China kwenye mazishi hayo.
Mwili wa Malkia Elizabeth II wawasili ukumbi wa Westminster
Malkia Elizabeth II atazikwa katika kanisa maarufu la King George VI
14.09.2022 - Matangazo ya Asubuhi
14.09.2022 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mfalme Charles lll kuendeleza amani ya Ireland Kaskazni
Wakati huo huo polisi wa Uingereza wamekosolewa jinsi wanavyowatendea waandamanaji wanaopinga utawala wa kifalme.
13.09.2022 - Matangazo ya Asubuhi
13.09.2022 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mwili wa Malkia Elizabeth kupelekwa London
Mwili wa Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza utasafirishwa leo (13.09.2022) kwenda mjini London ukitokea Scotland.
Mfalme Charles III aahidi kufuata nyayo za mamake
Mfalme Charles wa tatu ameliambia bunge la Uingereza leo kwamba yuko tayari kufuata mifano iliyowekwa na mama yake.
Waingereza wauaga mwili wa Malkia Elisabeth II
Mwili wa Malkia Elizabeth II, utasafirishwa kutoka mojawapo ya makasri yake yaliyoko Scotland hadi kanisa la kihistoria la Giles mjini Edinburgh. Maelfu ya waombolezaji watoa heshima zao za mwisho.
Mfalme Charles ahutubia bunge baada ya kupokea rambirambi
Mfalme Charles III: Bunge ni chombo hai cha demokrasia ya Uingezera.
12.09.2022 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Jeneza la Malkia Elizabeth laanza safari ya mwisho Scotland
Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza atazikwa tarehe 19 London
11.09.2022 Taarifa ya Habari Asubuhi
Mazishi ya aliekuwa Malikia wa Uingereza Elizabeth II kufanyika Septemba 19// Urusi yatangaza kurudi nyuma kwa majeshi yake huko Kharkav Ukraine//Guterres atoa wito kwa msaada wa kifedha Pakistan kufuatia mafuriko mabaya zaidi kushuhudiwa
Charles III atangazwa rasmi kuwa mfalme wa Uingereza
Mfalme Charles III ametangazwa rasmi kuwa mfalme wa Uingereza katika hafla iliyofanyika kwenye kasri la Mtakatifu James.
Charles III atangazwa rasmi kuwa Mfalme wa Uingereza
Mfalme Charles III ametangazwa rasmi kuwa mfalme wa Uingereza katika hafla iliyofanyika kwenye kasri la Mtakatifu James.
Mfalme Charles III wa Uingereza atoa hotuba ya kwanza
Mfalme Charles III wa Uingereza amehutubia taifa kwa mara ya kwanza
Mbunifu aliyemtengezea Malkia Elizabeth II vazi
Malkia Elizabeth atakumbukwa kwa mengi watu wa rika mbali mbali. Nchini Tanzania mbunifu wa mavazi Farouk Abdela aliewahi kushona nguo aina ya Khanga iliyonunuliwa na malkia nchini uingereza amekua miongoni mwa Watanzania walioweka historia katika familia ya malkia Elizabeth wa pili..
Truss amwelezea Malkia Elizabeth kuwa mwanadiplomasia mahiri
Truss amemtaja Elisabeth II kuwa mwanadiplomasia mkubwa na kujitolea kwake katika utumishi ni mfano kwa kila mmoja.
Uhusiano wa Malkia Elizabeth II na Afrika
Malkia Elizabeth II alikuwa na uhusiano maalum na Afrika. Alifikisha umri wa miaka 21 katika ziara ya Afrika Kusini na alikuwa nchini Kenya wakati babake alipofariki alichukua kiti cha ufalme. Kama mfalme wa Uingereza, alifanya ziara nyingi Afrika.
Mfahamu Malkia Elizabeth II
Malikia Elizabeth amekuwa kiongozi wa kifalme alieka kwenye mamalaka kwa muda mrefu zaidi Britania.
Viongozi wa Afrika waomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II
Wengi wakimtaja kuwa kiongozi wa mfano na anayeacha urathi utakaokumbukwa daima.
Ulimwengu unaomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II
Kifo cha Malkia Elizabeth II
Malkia Elizabeth II afariki dunia
Katika siku za karibuni Malkia Elzabeth amekuwa akipunguza majukumu kutoka na hali dhaifu ya afya yake.
Mfahamu Liz Truss na safari yake kisiasa
Truss anajiona kama mrithi wa Margaret Thatcher aliyeurudisha uchumi wa Uingereza katika hali nzuri ya ukuaji.
Liz Truss ateuliwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza
Malkia Elizabeth II wa Uingereza amemteua rasmi Liz Truss kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza baada ya Boris Johnson kujiuzulu
Boris Johnson aaga, Truss kuwa waziri mkuu rasmi
Boris Johnson alitangaza kujiuzulu mapema mwezi Julai baada ya kuandamwa na msururu wa kashfa za kukiuka maadili.
Liz Truss waziri mkuu mpya Uingereza
Rishi Sunak amesema sasa ni wakati wa kumuunga mkono Liz Truss.
Uingereza kufahamu jina la waziri mkuu mpya
Waziri wa mambo ya kigeni Liz Truss na mpinzani wake, waziri wa zamani wa fedha Rishi Sunak, wanawania nafasi hiyo
Vikosi vya Ukraine vyakabiliana na vikosi vya Urusi Donetsk
Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imesema kuna uwezekano Urusi imezidisha mashambulizi katika eneo la Donetsk na Donbas.
Myanmar yamkamata balozi wa zamani wa Uingereza
Myanmar yamkamata balozi wa zamani wa Uingereza
Taliban wakosolewa na EU
Wanawake na wasichana Afghanistan wanyanyaswa na kudhulumiwa haki zao za msingi katika elimu,ajira na uhuru
Nani atakua mrithi wa Johnson Uingereza?
Wagombea wawili wanaowania nafasi ya waziri mkuu wa Uingereza wameanza harakati za kusaka kura.
EU yaweka mpango wa kupunguza matumizi ya gesi
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imepanga kuchapisha mpango wa dharura wa kulinda usambazaji wa gesi na kuepuka mgogoro
Ulaya yakumbwa na joto kali huku Uingereza ikivunja rekodi
Idara za huduma za dharura zinaendelea kulemewa na kazi.
Nani atakuwa kiongozi mpya nchini Uingereza?
Nani atakuwa kiongozi mpya nchini Uingereza?Harakati za mchujo zimeshaanza
Mo Farah afichua alivyosafirishwa UK kimagendo akiwa mtoto
Bingwa wa Olimpiki mara nne wa Uingereza Mo Farah afichua kwamba alisafirishwa Uingereza kimagendo akiwa mtoto.
Mbio za kumsaka waziri mkuu mpya wa Uingereza
Mbio za kumsaka waziri mkuu mpya wa Uingereza
Kutoka Brexit hadi Partygate, hatimaye Johnson ajiuzulu
Waziri Mkuu Johnson abwaga manyanga baada ya kuandamwa
Boris Johnson akataa kujiuzulu
Bori amekataa kujiuzulu na kusema kwa sasa hakuna yeyote kwenye taifa hilo ambae anatamani kuingia kwenye uchaguzi
Johnson kitanzini baada ya mawaziri zaidi kuachia ngazi
Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameendelea kukabiliwa na shinikizo la serikali yake
Mawaziri wawili muhimu wajiuzulu Uingereza
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson atakabiliwa na maswali bungeni Jumatano na baada ya hapo adadisiwe na wakuu wa ka
EU yazipa Ukraine na Moldova hadhi ya wagombea kujiunga
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamezipa Ukraine na Moldova 'hadhi ya kuwa wagombea' kujiunga na umoja huo.
EU ipanue wigo wake kuelekea Moldova na Ukraine kujiunga
Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz amesema Umoja wa Ulaya unapaswa kujiweka tayari katika upanuzi wa wigo wake katika kip
Mgomo mkubwa wafanyakazi wa reli umeanza Uingereza
Mgomo wa reli Uingereza
Uingereza yalaani uamuzi wa kuzuia wahamiaji kwenda Rwanda
Uingereza yakosoa uamuzi wa Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binaadamu kuzuia waomba hifadhi kupelekwa Rwanda.
Uingereza: Tutafuata sera yetu kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Uingereza imeapa kuifuata sera yake kuwaondoa wahamiaji waliokusudia kuwasafirisha hadi Kigali Rwanda.
Uingereza imesitisha safari ya waomba hifadhi kwenda Rwanda
Uingereza imesitisha safari ya wakimbizi kwenda Rwanda
Uingereza kuwapeleka Rwanda waomba hifadhi wa kwanza
Juhudi za mwisho mwisho za wapinzani wa mpango huo kujaribu kuizuia hatua hiyo mahakamani ziligonga mwamba
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 18 wa 50
Ukurasa unaofuatia