You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
NATO na EU kushirikiana zaidi kufuatia uvamizi wa Ukraine
NATO na EU kushirikiana zaidi kufuatia uvamizi wa Ukraine
Ukraine yakataa ombi la Putin la kusitisha mapigano kwa muda
Kyiv imetupilia mbali tangazo hilo na kusema hatua hiyo ni hila tu za Urusi, Ujerumani imepanga kuipa Ukraine silaha.
EU yachukua hatua kufuatia mlipuko wa UVIKO-19, China
China imelaani hatua hiyo na kuapa kulipiza kisasi na kuitaka WHO kuchukua hatua "ya haki".
Ukraine na EU kukutana kujadili msaada zaidi wa kifedha
Lakini Umoja wa Ulaya haukuweza kuthibitisha eneo utakaofanyika mkutano huo.
NATO kujadili matumizi katika sekta ya ulinzi
Huku baadhi ya nchi zikipendekeza asilimia 2 kuwa kiwango cha chini.
EU itakuwa na ushiriki gani kiusalama nchini Mali, 2023?
Ufaransa, Ujerumani, Uingereza na EU zimejiondoa au zinapanga kujiondoa nchini Mali.
EU yapongeza mafanikio makubwa ya Croatia
Croatia ilianza kutumia sarafu ya euro na kujiunga na eneo kubwa ulimwenguni la kusafiri bila pasipoti la Schengen
Ulimwengu waukaribisha mwaka 2023 kwa sherehe na fashifashi
Mamilioni ya watu duniani wameukaribisha mwaka mpya wa 2023 kwa matamasha na ufyetuaji fashifashi.
Ufaransa na Uingereza zatangaza ulazima wa kupima Corona
Kuongezeka kwa maambukizo nchini China kumezua wasiwasi duniani kote na maswali kuhusu takwimu halisi za wagonjwa.
Kipindi cha Maoni: Yaliyoisibu dunia mwaka 2022
Kwenye kipindi cha Maoni tunaangazia baadhi ya matukio yaliyogonga vichwa vya habari ulimwenguni, ikiwa ni Pamoja na vita vya Ukraine, kombe la Dunia, vifo vya watu mashuhuri akiwemo Malkia Elizabeth na vilevile serikali mpya nchini Kenya. Nahodha wa kipindi kwa leo ni Mohamed Khelef.
Uingereza yahalalisha mpango wa kupelekwa wahamiaji Rwanda
Uamuzi huo wa Mahakama Kuu ya Uingereza wakosolewa.
Hungary: Je Orban ana tatizo gani na Ukraine?
Hungary imekuwa ikizuia msaada wa Umoja wa Ulaya kuelekea Ukraine.
EU kujadili suala tete la kikomo cha bei ya nishati
Ubelgiji, Poland na Italia zimesema kikomo hicho kinahitajika kukinga chumi zao dhidi ya bei za juu za gesi
Japan, Uingereza na Italia kuunda ndege ya kisasa ya kivita
Maafisa wa Tokyo wamesema Japan haitaupa kisogo muungano wake wa karibu wa kijeshi na Marekani.
Viongozi wa EU na mataifa ya Balkan wakutana nchini Albania
Viongozi wa Umoja wa Ulaya na wenzao wa nchi za Balkan Magharibi wamekutana mjini Tirana nchini Albania.
Uingereza: Lawama zaongezeka kutokana na athari za Brexit
Hali ya vipato vya Umma wa Uingereza inazidi kuwa mbaya kutokana na kupanda gharama za nishati na mfumuko wa bei
Rais Ramaphosa afanya ziara rasmi kasri la Buckingham
Ramaphosa atazungumza pia na waziri mkuu Rishi Sunak kuhusu ushirikiano zaidi baina ya nchi zao
Kombe la Dunia: Senegal yasalimu amri kwa Uholanzi
Timu ya Marekani imetoka sare ya bao 1-1 ilipochuana na timu ya Wales katika mechi za Kundi B.
COP27: Mataifa makubwa yaunda muungano wa nishati ya upepo
Yanasema lengo ni kupunguza utegemezi wa gesi na mafuta na kukabiliana na ongezeko la joto ulimwenguni.
Matangazo ya Jioni: 29.10.2022
Urusi yaishutumu Uingereza kwa kuhusika katika milipuko ya mabomba ya kusafirisha gesi ya Nord Stream. Mashambulizi ya mabomu katika wizara ya elimu nchini Somalia yasababisha maafa makubwa. India imesema itachangia dola laki tano kwa Umoja wa Mataifa ili kukabiliana na ugaidi duniani.
Uingereza yakanusha madai ya kuhujumu mabomba ya gesi
Uingereza imekanusha vikali madai yaliyotolewa na Urusi kuwa ilihusika na mashambulizi ya mabomba ya kusafirisha gesi.
Mvutano wa Ujerumani na Ufaransa wahujumu hatua za EU
Uhusiano wa Ujerumani na Ufaransa upo matatani tena, wakati huu ukionekana kuwa mbaya kuliko awali.
Rishi Sunak kutawazwa rasmi waziri mkuu Uingereza
Uingereza yapata waziri mkuu mpya wa kwanza wa asili ya Asia
Rishi Sunak kuwa waziri mkuu mpya wa Uingereza
Rishi Sunak anachukuwa nafasi ya Liz Truss aliejiuzulu wiki iliyopita, kufuatia kushindwa kwa mpango wake wa kiuchumi.
Rishi Sunak kuwa waziri mkuu mpya nchini Uingereza
Graham Brady mwenyekiti wa wabunge wa chama cha Conservative alimthibitisha Sunak kuchukua nafasi hiyo.
Taarifa ya Habari za Asubuhi Oktoba 24, 2022
Boris Johnson ajiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania uwaziri mkuu wa Uingereza.// Ukraine yakanusha onyo la Urusi kwamba inapanga kutumia 'bomu chafu'. // Moto uliokuwa ukiteketeza mlima Kilimanjaro tangu Ijumaa wadhibitiwa.
Johnson ajiondoa kinyang'anyiro cha uwaziri mkuu Uingereza
Johnson amejiondoa kwenye kinyang'anyiro hivyo kumuacha Rishi Sunak akipigiwa upatu kuchaguliwa kwenye wadhifa huo.
EU yafikia makubaliano kuhusu bei ya nishati
EU yaafikia makubaliano kuhusu bei ya nishati
Truss ajiuzulu baada ya wiki sita kama waziri mkuu Uingereza
Maji yamefika shingoni baada ya kujiuzulu kwa waziri wa mambo ya ndani na wabunge kadhaa wa chama chake kumgeuka.
Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ajiuzulu
Liz Truss ambaye amekuwa ofisini kwa wiki sita pekee, ametangaza kujiuzulu kwake kama Waziri Mkuu wa Uingereza.
Uingereza: Maji yaufika shingoni uongozi wa Liz Truss
Maji yameufika shingoni uongozi wa waziri mkuu wa Uingereza Liz Truss baada ya siku ya vurugu na ukosoaji
Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss katika njia panda
Makala ya Mwangaza wa Ulaya, inaangazia mtafaruku nchini Uingereza, kufuatia mpango wa waziri mkuu Liz Truss kuhusu ukuaji wa uchumi, uliojumuisha punguzo la kodi linalowapendelea matajiri. Mpango huo uliitumbukiza nchi katika mzozo wa kiuchumi na kisiasa na Truss akaachana nao. Wachambuzi lakini wanasema tayari madhara yamekwishatokea, na Liz Truss atahangaika kuujengea imani utawala wake.
Waziri Mkuu Truss asisitiza hang'oki
Waziri Mkuu Truss amekiri makosa na kuliomba bunge msamaha, lakini amesisitiza kuwa amerekebisha na kufuatia njia sahihi
Waziri Mkuu Truss: Samahamani kwa mokosa lakini siondoki
Truss ameomba radhi kwa mpango wake ambao umefutwa kwa sehemu kubwa na waziri mpya wa fedha Jeremy Hunt.
Matangazo Ya Asubuhi: 18.10.2022
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 18.10.2022
Ndege ya kivita ya Urusi yaanguka eneo la makazi na kuua watu 6. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aonya kuwa vita nchini Ethiopia vyaelekea kutodhibitiwa. Zaidi ya Mashirika 40 ya kutetea haki za binaadamu yalaani ukandamizaji wa Iran dhidi ya waandamanaji
Jeremy hunt afuta mipango ya kupunguzwa kodi
Mipango ya Jeremy Hunt yaonesha kurudisha imani kwenye masoko ya fedha lakini yamvunja nguvu waziri mkuu Truss
Truss aahidi kuiongoza Uingereza kutoka kipindi kigumu
Truss aahidi kuiongoza Uingereza kutoka kipindi kigumu
Waziri Mkuu Truss ahaha kurejesha imani ya chama chake
Wazíri Mkuu Truss alitarajia kuvishwa taji kwenye mkutano mkuu wa chama, lakini sasa anahaha kurejesha imani.
Sarafu ya Uingereza yaanguka dhidi ya dola
Benki Kuu ya England imelazimika kuingilia kati kununua amana za serikali ili kuzuwia wawakezaji kupoteza imani
''Kura ya maoni" kukamilika kwenye maeneo ya Ukraine
Kile kinachoitwa kura za maoni na Urusi kwenye majimbo ya Ukraine yanayodhibitiwa na Urusi kumalizika Jumanne.
Kipi kinachochea ushindi wa vyama vya kihafidhina Ulaya?
Viongozi wa mataifa kadhaa barani Ulaya hii leo wameirai Italia kuendeleza mshikamano wa Ulaya hata baada ya vyama vya siasa za mrengo wa kulia kunyakua ushindi katika uchaguzi uliofanyika. Matokeo hayo yamepokelewa kwa tahadhari kubwa kote barani Ulaya. Kwanini? Sikiliza mahojiano kati ya Rashid Chilumba na Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa mjini London.
EU yapendekeza muswada wa sheria kulinda sekta ya habari
Makala ya mwangaza wa Ulaya siku ya leo inamulika halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya kupitisha muswada wa sheria itakayolinda sekta ya habari kutoingiliwa kisiasa, sheria hiyo pia itasimamia ulinzi wa waandishi wa habari. Sikiliza makala na Daniel Gakuba.
Malkia Elizabeth II ashushwa eneo maalum tayari kwa mazishi
Uingereza na ulimwengu kwa jumla umemuaga Malkia Elizabeth II wa Uingereza amezikwa Jumatatu mjini London.
Ufalme wa Uingereza wailinda nchi dhidi ya kusambaratika
Sauti za kuunga mkono jamhuri Uingereza zinazidi kuhanikiza, lakini nchi hiyo bado inahitaji ufalme.
Malkia wa Uingereza anazikwa leo
Malkia wa Uingereza anazikwa leo
Ulimwengu wamuaga Malkia Elizabeth II
Waombolezaji mjini London walipata fursa ya takriban siku 4 kutoa heshia zao za mwisho kwenye jeneza la Malkia
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 19.09.2022
Mwili wa marehemu Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza kuzikwa leo jijini London. Marekani yaitaka Azerbaijan iheshimu makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyoafikiwa pamoja na Armenia. Na rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton atetea utanuzi wa jumuiya ya kujihami ya NATO Ulaya Mashariki.
Viongozi wa ulimwengu waanza kuwasili London kumuaga Malkia
Viongozi wa nchi zinazozozana na Uingereza hawakualikwa kwenye shughuli za mazishi ya Malkia Elizabeth wa pili.
Kifo cha Malkia Elizabeth chatawala magazeti ya Ujerumani
Chanjo dhidi ya ugonjwa malaria yakaribia kupatikana. Pikipiki za kutumia beti zapelekwa Afrika Mashariki.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 17 wa 50
Ukurasa unaofuatia