You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mfalme Charles III wa Uingereza kufanya ziara Ujerumani
Uamuzi wa kuwatembelea kwanza majirani wa karibu unachukuliwa kama jaribio la kufufua uhusiano baada ya Brexit.
Mfalme Charles kuanza ziara Ujerumani
Mfalme Charles wa Uingereza ataanza ziara yake ya kwanza rasmi nchini Ujerumani siku ya Jumatano.
Viongozi wa EU kujadili hali ya kiuchumi wa kikanda
Mazungumzo hayo yanakuja baada ya kupandishwa kwa mara nyingine viwango vya riba na benki hiyo.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wakutana na wamualika Guterres
Viongozi hao wa Umoja wa Ulaya walitarajiwa pia kuidhinisha mpango wa kuipatia Ukraine silaha na makombora zaidi.
Bunge la Uingereza launga mkono mkataba wa baada ya Brexit
Boris Johnson amekanusha kuwa alilidanganya bunge kuhusu kashfa inayofahamika kama Partygate.
Rais wa China Xi Jinping aanza ziara ya siku tatu Urusi
Rais wa China Xi Jinping aanza ziara ya siku tatu Urusi
Uingereza ipo njiani kuwapeleka wakimbizi Rwanda
Hayo yamebainika baada ya ziara ya waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza, Suella Braverman, nchini Rwanda.
Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza ziarani nchini Rwanda
Mpango huo wa Uingereza na Rwanda haujaanza kutekelezwa hadi sasa.
Ulaya yakubali kuisaidia Athens kuwafukuza wahamiaji zaidi
Rais Biden amualika Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak
Madaktari "wadogo" Uingereza waanza mgomo
Maelfu ya madaktari wadogo nchini Uingereza wameanza mgomo wa siku tatu unaotishia kuvuruga huduma kwa wagonjwa, wakishinikiza kuongezewa malipo. Mgomo huo ndiyo wa karibuni zaidi unaohusisha wafanyakazi wa shirika la taifa la huduma za afya la Uingereza, NHS. Ahmed Rajab ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Uingereza, alizungumza na Amina Abubakar kuhusu hili.
Maelfu ya madaktari wa Uingereza waanza mgomo
Kumekuwepo na migomo ya kila mara nchini Uingereza kushinikiza kuongezewa malipo kutokana na gharama za maisha kupanda.
Sunak akutana na Macron mjini Paris
Huo ni mkutano wa kwanza kati ya Uingereza na Ufaransa kufanyika katika kipindi cha miaka mitano.
Rishi Sunak kukutana na Rais Emmanuel Macron mjini Paris leo
Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine kwa kiasi fulani umeonekana kuimarisha mahusino baina ya nchi hizo mbili
UN yakosoa mswada unaowazuia wakimbizi kuingia Uingereza
UNHCR pia linasema mswada huo utawanyima ulinzi wanaotafuta hifadhi na ambao wanahitaji usalama
Kagame na Sunak wazungumzia mkataba juu ya wahamiaji
Sunak na Kagame walikubaliana kuendelea kufanya kazi pamoja kuhakikisha ushirikiano baina yao unatekelezwa.
Uingereza yatangaza sheria ya kuzuiwa maelfu ya wahamiaji
Serikali ya kihafidhina ya Sunak inashika mkia katika uchunguzi wa maoni ya wananchi na mada ya wahamiaji haramu.
Rishi Sunak azuru Ireland Kaskazini
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amezuru Ireland Kaskazini kuvishawishi vyama vya wafanyakazi
Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak yuko mjini Belfast
Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak yuko Belfast kuipigia debe mipango mipya ya biashara baada ya mkataba wa Brexit
Brussels, London wasifu mfumo mpya kuhusu Ireland Kaskazini
Uingereza na Umoja wa Ulaya wasifu mfumo mpya wa biashara kati ya Ireland na Ireland ya Kaskazini
Uingereza na EU zafikia mkataba wa baada ya Brexit
Uingereza na Umoja wa Ulaya zimefikia makubaliano juu ya kanuni za biashara zitakazotumika huko Ireland Kaskazini.
UK na EU zapiga hatua katika biashara na Ireland Kaskazini
Uingereza na Umoja wa Ulaya wakaribia kupata makubaliano kuhusu biashara na Ireland Kaskazini
Umoja wa Ulaya wakubali kuiwekea Urusi vikwazo zaidi
EU yakubali kuiwekea Urusi vikwazo zaidi
Kongamano la biashara Tanzania na EU lafikia tamati
Serikali ya Tanzania imesema uhusiano wake wa kibiashara na Umoja wa Ulaya umepevuka.
Tanzania, EU kutanua wigo wa biashara
Pande hizo mbili zimefungua mkutano wa kibiashara wa wawekezaji na wafanyabiashara 700 kwa siku mbili Dar es Salaam
Mwanamke wa Uingereza aliejiunga na IS apoteza kesi ya uraia
Uingereza ilimpokonya uraia Shamima Begum kwa misingi ya usalama wa taifa mwaka 2019 baada ya kupatikana Syria
Takriban watu milioni moja waliomba hifadhi EU mwaka 2022
Shirika hilo limesema lilipokea maombi ya hifadhi 966,000, hiyo ikiwa ongezeko la zaidi ya asilimia 50
Aliyeokolewa kutoka pangoni 2018 afariki Uingereza
Mvulana wa Thailand aliyeokolewa kutoka pango lililofurika 2018 afariki Uingereza
Sturgeon awashangaza wafuatiliaji wa siasa za Uingereza
Waziri kiongozi wa Scotland Nicola Sturgeon ametangaza nia yake ya kujiuzulu wadhifa huo baada ya miaka minane uongozini. Je nini kilichomsukuma kuachia ngazi? Rashid Chilumba amezungumza na Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa mjini London.
Mlinzi ubalozi Uingereza alituma taarifa 'nyeti' kwa Urusi
Uingereza imemkamata afisa wake wa zamani wa ubalozi mjini Berlin kwa kuvujisha taarifa za "siri".
Rais Zelenskiy akutana na Macron, Scholz mjini Paris
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Zelensky atumia ziara yake Uingereza kuomba silaha
Rais wa Ukraine Volodymy Zelensky ameitembelea Uingereza leo na kuomba msaada zaidi.
Rais Zelensky awarai washirika kuipa Ukraine ndege za kivita
Rais Zelensky azihimiza nchi washirika kuipa Ukraine ndege zinazohitajika za kivita ili kuzima uvamizi wa Urusi.
Zelenskyy kufanya ziara nchini Uingereza
Rais wa Ukraine Volodmyr Zelensky anaitembelea Uingereza leokwa mara ya kwanza tangu uvamizi wa Urusi.
Viongozi wa EU wakutana na rais Volodymyr Zelenskiy
Viongozi wa EU wakutana na rais Volodymyr Zelenskiy mjini Kyiv wakiwa na ahadi ya vikwazo vipya dhidi ya Urusi.
Kamisheni ya EU yaahidi msaada mpya kwa Ukraine
Mafisa wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya wametoa ahadi kadhaa za kuipatia Ukraine msaada wa kijeshi na kifedha
Wakazi wa Uingereza wajutia uamuzi wa Brexit
Lilian Mtono
Uingereza imekuwa ikipitia changamoto nyingi zinazowafanya wengine kuhusisha chanzo cha yote na hatua hiyo ya kujitoa.
Wafanyakazi nusu milioni moja wafanya mgomo mkubwa Uingereza
Mgomo huo mkubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa kwa zaidi ya muongo mmoja umesababisha shule kufungwa.
Uingereza yakabilliwa na mgomo mkubwa wa sekta ya umma
Uingereza inatarajiwa kuathiriwa na mgomo mkubwa leo wa hadi wafanyakazi nusu milioni wakiwemo walimu.
Uingereza yasema Urusi imeanza mashambulizi mapya Vuhledar
Uingereza imesema Urusi imeanza mashambulizi mapya makubwa kwenye ngome ya Vuhledar inayoishikilia nchini Ukraine
Uingereza kuwarudisha makwao wahalifu raia wakigeni
Uingereza kuwarudisha makwao wahalifu raia wakigeni
Denmark yatafuta muafaka EU kupeleka waomba hifadhi nje
Waziri Dybvad amesitisha kwa muda mazungumzo na Rwanda juu ya kufungua kituo cha waomba hifadhi nchini humo.
Iran yalaani vikwazo vya umoja ulaya na Uingereza
Iran imelaani vikali vikwazo vipya ilivyowekewa na Umoja wa Ulaya na Uingereza.
Matangazo ya jioni 21.01.2023
Ujerumani yakabailiwa na upinzani kwa kushindwa kuipatia Ukraine vifaru vya kijeshi. Duru za kijeshi za Uingereza zinasema kuwa vita nchini Ukraine vipo katika mkwamo kwenye maeneo matatu. Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema chafanya mkutano wake wa kwanza wa kisiasa, baada ya miaka saba ya kuzuiliwa.
Kitabu cha Mwanamfalme Harry “Spare” chazusha taharuki
Makala ya Mwangaza wa Ulaya, inaangazia kitabu kipya cha Mwana Mfalme Harry kiitwacho 'Spare', ambacho kimeshazua taharuki kote barani Ulaya, hasa kwa wafuatiliaji wa tawala za kifalme. Mohammed Khelef ndiye aliyeandaa Makala hii.
Mshukiwa wa kashfa ya rushwa ndani ya EU kutoboa siri zote
Mtu anayechukuliwa kama kinara wa kundi linalotuhumiwa kupokea rushwa kutoka Moroko na Qatar ameahidi kutoboa siri zote.
Mpango wa Uingereza, Rwanda wa wahamiaji wakumbwa na kikwazo
Mwezi Desemba Mahakama ya Juu ya Uingereza ilitoa hukumu yake iliyohalalisha mpango huo wa wahamiaji
Wabunge Poland waidhinisha sheria ya kutolewa fedha za EU
Bunge limepiga kura 203 dhidi ya 52 huku wabunge 189 wakijiepusha na kuidhinisha sheria hiyo mpya,
Sunak na Kishida kusaini mkataba mkubwa wa ulinzi
Waziri wakuu wa Uingereza Rishi Sunak na mwenzake wa Japan Fumio Kishida watasaini mkataba mpya muhimu wa ulinzi utakaow
NATO, EU zaapa uungaji mkono zaidi kwa Ukraine
Maafisa wa ngazi ya juu wa NATO na Umoja wa Ulaya wameahidi kupanua ushirikiano kati ya taasisi hizo mbili
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 16 wa 50
Ukurasa unaofuatia