You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
09.09.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waziri mkuu wa Ufaransa Francois Bayrou kujiuzulu na serikali yake baada ya kuondolewa na bunge katika kura ya imani. Watu 2 wauwawa na wengine 16 kujeruhiwa Donetsk. Na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer akutana na rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas jijini London.
Mamilioni ya abiria kuathiriwa na mgomo London
Chama cha wafanyakazi cha RMT kimeitisha mgomo huo kudai mishahara bora na mazingira mazuri zaidi ya kufanyia kazi.
Viongozi wa EU walaani mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine
EU yazingatia nyongeza za ushuru na marufuku ya bidhaa zaidi kutoka Urusi.
Waziri Mkuu wa Uingereza abadilisha baraza lake la mawaziri
Serikali ya Uingereza imesema sasa imepata tena nguvu tena kutokana na mabadiliko katika Baraza la Mawaziri
Naibu Waziri Mkuu Uingereza ajiuzulu kwa mapungufu ya kodi
Rayner alikiri mapema wiki hii kwamba hakulipa kodi ya kutosha wakati aliponunua eneo la makazi
Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Angela Rayner ajiuzulu
Rayner alikuwa moja kati ya nguzo muhimu ndani ya chama cha Labour.
Putin: Ukraine yaweza kujiunga na EU lakini si NATO
Putin ameitoa kauli hiyo Jumanne akiwa ziarani nchini China.
Putin: Ukraine inaweza kujiunga na Umoja wa Ulaya
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesisitiza msimamo wa nchi yake wa kukataa Ukraine kujiunga na Jumuiya Kujihami ya NATO.
Uingereza yafadhili waathiriwa wa tetemeko Afghanistan
Changamoto za kijiografia na hali mbaya ya hewa zimeathiri juhudi za kufikisha msaada.
Mfumo wa GPS wa ndege ya mkuu wa EU wavurugwa
Mfumo wa GPS wa ndege ya Ursula von der Leyen umeshambuliwa, huku Urusi ikiwa mshukiwa mkuu.
Iran: Tuko tayari kwa mazungumzo ya haki kuhusu nyuklia
Iran imearifu kwamba iko tayari kuanza tena mazungumzo ya haki kuhusu mpango wake wa nyuklia unazozaniwa.
Iran yajadili masuala ya nyuklia na mataifa matatu ya Ulaya
Hatua hii inafuatia madai kwamba Tehran imekiuka kwa makusudi makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015.
Ufaransa yasema Iran ifikie suluhu ya nyuklia haraka
Ulaya na Marekani wanadai kuwa Iran inautumia mpango huo kutengeneza silaha za nyuklia
Uingereza, Umoja wa Mataifa wailaumu Israel kwa njaa Gaza
Uingereza imeliita janga la njaa kwenye Ukanda wa Gaza kuwa ni uovu wa kimaadili uliotengenezwa kwa makusudi.
Iran kujadili mpango wake wa nyuklia na Ulaya
Mataifa hayo pamoja na Marekani wanadai kwamba Iran inatumia mpango huo kutengeneza silaha za nyklia
Ujerumani yaukemea mpango wa Israel wa kuidhibiti Gaza
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron azipinga lawama za Waziri Mkuu wa Israel kwamba anasababisha chuki kwa Wayahudi
Trump atangaza mazungmzo ya pamoja kati ya putin na Zelensky
Urusi ipo tayari kushiriki, lakini makubaliano yoyote lazima yahakikishe usalama wa raia wenye asili ya Kirusi, Ukraine.
Mpango wa Umoja wa Ulaya kuiadhibu Israel wakwama
Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Ulaya ameonya kuwa mateso ya kibinaadamu huko Gaza yamefikia viwango visivyofikirika.
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya waiunga mkono Ukraine
Viongozi wa Ulaya wanaendelea kushinikiza kushirikishwa kwa Ukraine katika mazungumzo hayo.
Zelensky apata uungwaji mkono wa EU na NATO
Hata hivyo Ukraine imesisitiza kuwa hakuna makubaliano yoyote yatakayofanikiwa bila wao kushirikishwa.
EU yapongeza makubaliano kati ya Armenia na Azerbaijan
Mpango huo wa amani umesimamiwa na Rais wa Marekani Donald Trump.
Israel yatakiwa kusitisha mpango wake wa kuidhibiti Gaza
Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameihimiza Israel kuacha kuikalia kimabavu ardhi ya Palestina
China na Marekani zajadili kupunguza mivutano ya kibiashara
Marekani na China zimeingia kwenye siku ya pili ya mazungumzo yanayokusudia kutatua migogoro ya muda mrefu ya kiuchumi
Ujerumani, Ufaransa, Uingereza kupeleka mawaziri wake Gaza
Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zinafikiria kuwapeleka mawaziri wake wa kigeni kwenye Ukanda wa Gaza wiki ijayo.
Makubaliano Marekani-EU yaepusha mzozo mkubwa kwa sasa
Marekani na EU zatangaza makubaliano ya bishara. Lakini je, ni suluhisho la muda mrefu au mwanzo wa mgawanyiko mpya?
Uingereza kupeleka misaada kwa njia ya anga Gaza
Uingereza inashirikiana na serikali ya Jordan kupanga jinsi ya kupeleka misaada kwa njia ya anga katika Ukanda wa Gaza.
Iran: Tumekuwa na mazungumzo ya wazi na mataifa ya Ulaya
Jamhuri hiyo ya kiislamu imesisitiza kuwa haiwezi kamwe kuachana na mpango wake wa nyuklia.
EU na China watoa wito wa hatua za mabadiliko ya tabianchi
China na Umoja wa Ulaya wametoa mwito wa pamoja wa hatua kuchukuliwa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Iran kukutana na E3 kujadili mpango wake wa nyuklia
Esmaeil Baqaei: Mkutano wa Iran na E3 ni hatua nzuri ya Ulaya kujitathimini kuhusu masuala ya nyuklia ya Iran.
Ukosoaji dhidi ya Israel waongezeka kwa vitendo vyake Gaza
Mbali ya mashambulizi ya makombora na mizinga, sasa njaa inazidi kupoteza maisha ya wakaazi wa Ukanda huo.
Ugiriki yaonya kuizuia Uturuki kufikia mfuko wa ulinzi wa EU
Ugiriki imeionya Uturuki kuwa huenda ikapinga nchi hiyo kupata ufadhili kutoka kwenye mfuko wa ulinzi wa Umoja wa Ulaya.
EU yaitaka China kusawazisha mahusiano ya kibiashara
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameitaka China kusawazisha uhusiano wa kibiashara.
EU yapendekeza kusawazisha uhusiano wa kibiashara na China
Von der Leyen ameeleza kuwa EU inahitaji kuhakikisha uwiano, uwazi na ushindani wa haki katika masoko ya kimataifa.
EU yakosoa hatua ya Zelensky kuhusu kupambana na ufisadi
Hatua hiyo ya Zelensky ilizusha maandamano makubwa mjini Kiev.
Mawaziri wa mambo ya ndani wa EU wajadili uhamiaji
-
Nchi zisizofuata makubaliano ya uhamiaji kukatiwa misaada
Utengaji misaada kwa sasa unategemeana jinsi nchi husika inavyotoa ushirikiano kwenye kuwarejesha na kuwapokea wahamiaji
Iran yaonya kuhusu kurudishwa vikwazo vya UN
-
Ukosoaji waongezeka hujuma za Israel huko Gaza
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza na Ufaransa wameelezea wasiwasi wao mkubwa juu ya hali ya kiutu ya Gaza.
Uingereza na mataifa 24 ya Ulaya yataka vita kuisha Gaza
Waziri mkuu wa Palestina Mohammad Mustafa, asema Israel inaendelea kutumia njaa kama silaha ya vita .
China yatishia kuchukuwa hatua dhidi ya vikwazo vya EU
Mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Ulaya na China kufanyika siku ya Alhamisi
Iran yathibitisha kurejea kwenye meza ya mazungumzo
Ujerumani imesema Iran haitakiwi kabisa kuruhusiwa kutengeneza bomu la nyuklia
E3 yajiandaa kwa mazungumzo ya nyuklia na Iran
Iran na Marekani zilifanya duru kadhaa za mazungumzo kabla Israel kuanzisha mashambulizi yake ya siku 12 nchini Iran.
EU yapongeza hatua ya usitishwaji mapigano Syria
Idadi ya vifo kutokana na makabiliano hayo yaliyoanza mwishoni mwa wiki iliyopita sasa imefikia watu 940.
Urusi yapuuzilia mbali vikwazo vipya vya EU
Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema watahitaji kuvitathmini kwanza vikwazo hivyo kupunguza madhara yake.
Uingereza na Ujerumani wasaini mkataba wa kuimarisha ulinzi
Uingereza na Ujerumani wasaini mkataba wa hihistoria kuimarisha ushirikiano na ulinzi.
Umoja wa Ulaya waongeza vikwazo vipya Urusi
Umoja wa Ulaya umekubaliana kuanza awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi.
EU yatangaza duru mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi
Umoja wa Ulaya unalenga kuongeza shinikizo dhidi ya Moscow kwa kupunguza mapato ya Urusi ya usafirishaji mafuta.
Ujerumani, Uingereza kushirikiana zaidi kimkakati
Merz amekutana na mwenyeji wake Waziri Mkuu Keir Starmer, na kusaini makubaliano ya ushirikiano katika nyanja tofauti.
EU yatishia kuirejeshea Iran vikwazo vya kimataifa
Kumekuwa na uvumi kuhusu mpango huo wa nyuklia tangu Israel na Marekani ziliposhambulia vituo vya kijeshi vya Iran.
Ujerumani na Uingereza zasaini mkataba wa ushirikiano
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema mkataba huo ni wa kihistoria.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 50
Ukurasa unaofuatia