Idadi ya waandishi wa habari nchini Tanzania inazidi kuongezeka kwa kile kinachoelezwa ni kukua kwa sekta ya mawasiliano hususan kwa upande wa vyombo vya habari vikiwemo vile vya mitandao ya kijamii ambapo ripoti zinaonesha kuwa hadhira yake inaongezeka kila kukicha.