Rais wa Marekani Joe Biden amesema enzi za Marekani kushinikiza utawala inaoutaka katika mataifa mengine kwa kutumia njia za kijeshi imefikia mwisho. Sylvia Mwehozi amezungumza na Profesa David Monda mchambuzi wa siasa za kimataifa aliyeko Marekani kujua ameitafsiri vipi kauli hiyo.