Berlin: Baada ya kushindwa mkutano wa viongozi kuhusu katiba ya umoja ...
16 Desemba 2003Matangazo
mpana wa Ulaya,mataifa sita ya umoja huo,yamepinga kuongezwa amisaada ya fedha kwa mataifa kumi mepya ya umoja huo.Mataifa fadhili ,Ufaransa,Ujerumani,Uengereza,Uholanzi,Sweeden na Austria yamemtumia risala maalum mwenyekiti wa kamisheni kuu Romano Prodi kuelezea hoja zao.Kansela Gerhard Schröder wa Ujerumani amesema na hapa tunanukulu:"Haiwezekani,katika utaratibu wa kupanuliwa umoja wa ulaya,mtu akahoji kila kitu kisalie kama kilivyo,lakini mataifa mepya yaongezewe..Wanachama wa zamani wa Umoja wa Ulaya ambao hadi sasa wamekua wakifaidika,wanabidi sasa wawasaidie walio masikini zaidi".Mwisho wa kumnukulu.