BELFAST Uingereza kupunguza majeshi
2 Agosti 2005Matangazo
Uingereza inakusudia kupunguza nusu ya majeshi yake katika Ireland ya Kaskazini kufuatia uamuzi wa kundi la IRA la nchi hiyo wa kuweka silaha chini.
Waziri anayeshughulikia suala la Ireland ya Kaskazini bwana Peter Hain amesema lengo ni kupunguza majeshi ya Uingereza yaliyopo nchini humo hadi kufia alfu tano kutoka alfu kumi na moja.
Pamoja na hayo Uingereza inakusudia kuondoa sheria kadhaa zilizowekwa, mahususi, ili kupambana na ugaidi katika katika Ireland ya Kaskazini.
I
.