BEIJING: Kansela wa Ujerumani aendelea na ziara yake China-
2 Desemba 2003Matangazo
Kansela wa Ujerumani Gerhard Shroeder, anaendelea na ziara yake ya siku nne nchini China.
Kansela Shroeder ambae aliwasili katika mji mkuu wa china Beijing Jana, alikua na mazungumzo na Rais wa China Hu Jintao, pamoja na Waziri wake mkuu Wen Jiabao.
Kansela Gerhard Shroeder ambae anaongoza ujumbe mkubwa wa wanasiasa na wafanyabiashara zaidi ya arbaine, amesema atakua akiitembelea China kila mwaka.
Leo, Kansela Shroeder anatazamiwa kuutembelea mji wa bandari Canton.
Kansela Gerhard Shroeder, jana alisaini mikataba kumi na mmoja ya ushirikiano baina ya Ujerumani na China.