Athari za kutumia dawa kuondosha uchovu baada ya kulewa sana
Mkama, Anuary29 Desemba 2015
Afya yako inakuletea kipindi kinachoeleza athari za kutumiwa dawa za kutuliza maumivu ili kuondokana na uchovu baada ya kulewa sana ama kwa lugha ya kigeni "Hangover".