VIDOKEZO: Rishi Sunak atarajiwa kukabidhiwa rasmi jukumu la kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.//
Nchi za Magharibi zapinga madai ya Urusi kwamba Ukraine yapanga kutumia bomu la kemikali.//
Jeshi la Burkina Faso lasema wanajeshi wake 10 wameuawa kwenye shambulizi la kigaidi.