Afisa wa polisi wa majengo ya bunge nchini Marekani auawa kwenye shambulizi la kuvurumishiwa gari.//
Wakristo Ulimwenguni waadhimisha Ijumaa Kuu ya Pasaka chini ya vizuizi kukabili Corona. //
Rais wa Ujerumani Frank Walter Steinmeier kutoa wito wa kitaifa kuhimiza mshikamano katika vita dhidi ya COVID-19.