You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
05.06.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Kwenye taarifa ya habari ya asubuhi ya leo utasikia pamoja na mengine Rais Donald Trump wa Marekani atangaza kuwazuia raia kutoka nchi 12 kuingia nchini humo | Hatua ya Marekani ya kuzuia azimio la usitishwaji wa mapigano Gaza yaibua ghadhabu | Waziri Mkuu wa zamani wa Sudan asema amani ya Sudan haitapatikana kama mizizi ya mzozo haitashughulikiwa kwanza. Sikiliza zaidi
04.06.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amesema leo kuwa kuendelea na mazungumzo ya amani huko Istanbul kati ya nchi yake na Urusi kwa ushiriki wa wajumbe wa ngazi ya sasa, hakuna maana yoyote / Michuano ya nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Ulaya - UEFA NATIONS LEAGUE
04.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Aliyekuwa naibu wa rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amelazimika kuahirisha uzinduzi rasmi wa chama chake kipya cha Democracy for Citizens Party, DCP / Wito umetolewa kwa nchi za Afrika kuhakikisha huduma ya teknolojia ya kisasa inapatikana kwa urahisi kwa wote
04.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema nchi yake inaunga mkono juhudi za Lebanon za kuishinikiza Israel kukomesha ukaliaji wake wa kijeshi / Hali ya utulivu imerejea katika mpaka wa Kenya na Somalia baada ya visa vya mauaji na utekaji nyara kuripotiwa katika siku za hivi karibuni
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Aubuhi ya 04.06.2025
Kundi la misaada ya kiutu Gaza linaloungwa mkono na Marekani latangaza kusitisha usambazaji wa misaada kwa muda ++Mabomu matatu ya Vita Kuu vya Pili vya Dunia yagundulika mjini Cologne ++ Lee Jae-myung, achaguliwa kuwa rais mpya wa Korea Kusini
03.06.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Jumuiya ya Kimataifa imetolewa mwito kuishinikiza Tanzania kuanzisha uchunguzi dhidi ya maafisa waliotuhumiwa kuwatesa / Mgombea wa chama cha Democratic nchini Korea Kusini Lee Jae-myung anatabiriwa kushinda katika uchaguzi wa rais nchini humo
03.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Jeshi la Israel linasema liliwafyetulia risasi washukiwa kadhaa walioiacha njia iliyowekwa kuelekea katika kituo hicho / Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kukutana na marais wa Ukraine na Urusi nchini Uturuki
03.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mazungumzo ya amani ya awamu ya pili kuhusu vita vya Urusi nchini Ukraine yamefanyika huko Istanbul, Uturuki / Changamato za wastaafu Zanzibar
02.06.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Zaidi ya mahujaji milioni moja wa Kiislamu wamefurika katika mjini Makka kwa ibada ya Hijja ya kila mwaka / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa uchunguzi huru wa vifo vya Wapalestina zaidi ya 30 vilivyotokea karibu na kituo cha kugawa misaada
02.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar amelaani shambulizi lililofanywa dhidi ya waandamanaji huko Colorado, Marekani / Mhafidhina Karol Nawrocki ameshinda uchaguzi wa Poland kwa tofauti ndogo ya kura na sasa yeye ndiye rais mpya wa taifa hilo la Ulaya
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 02.June 2025
Lissu kufikishwa Mahakamani kujibu keshi ya uhaini++Mwanahistoria wa siasa za kizalendo Poland anatabiriwa kushinda uchaguzi wa urais ++Na Pyramids FC ya Misri yabeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika.
02.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za , Makala Yetu Leo, Vijana Mubashara na Jukwaa la manufaa
01.06.2025 Matangazo ya Jioni
Ukraine yaziharibu ndege za kijeshi za Urusi kabla ya kufanyika mazungumzo ya Istanbul // Waziri wa Ulinzi wa Israel aliamuru jeshi kuendelea na operesheni zake Gaza licha ya mazungumzo ya usitishaji vita // Na vilabu vya Pyramids na Mamelodi Sundowns kumenyana katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Matangazo ya Mchana 01.06.2025
Wapalestina 25 wauawa wakati wa usambazaji wa chakula cha msaada Gaza // Urusi yasema kuporomoka kwa madaraja yake mawili yalisababishwa na 'vitendo vya kigaidi' // Na watu wawili wauawa Ufaransa na mamia kukamatwa wakati wa sherehe za ushindi wa PSG za Ligi ya Mabingwa Ulaya
-
Wapalestina 25 wauawa wakati wa usambazaji wa chakula cha msaada Ukanda wa Gaza. Urusi yasema kuporomoka kwa madaraja yake mawili kulisababishwa na 'vitendo vya kigaidi'. Na watu wawili wauawa Ufaransa na mamia wakamatwa wakati wa sherehe za ushindi wa PSG za Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Matangazo ya Jioni: 31.05.2025
Mawaziri wa nchi 6 za kiarabu wafuta ziara ya Ukingo wa Magharibi. Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Nigeria yapindukia 151. IAEA yasema kiwango cha urani iliyorutubishwa Iran kimepanda
IAEA yasema Iran imeongeza urutubishaji madini ya urani
Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nguvu za Atomiki, IAEA limesema urutubishaji madini ya urani umeongezeka nchini Iran.
Matangazo ya Mchana: 31.05.05.2025
Nigeria yawatafuta watu waliosombwa kwa mafuriko yalioua watu wapatao 150. Israel yaitaka Hamas ikubali mkataba wa kuwaachia mateka.Waziri wa Ulinzi wa Marekani aonya kuhusu kitisho cha China. Mawakili wa Lissu wawasilisha malalamiko Umoja wa Mataifa
30.05.2025 - Matangazo ya Jioni
Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov, amesema nchi yake itawapeleka wajumbe katika mazungumzo ya kuvimaliza vita vya nchini Ukraine+++Kongamano la Kimataifa la Kiswahili linalofanyika kwenye mji wa Bayreuth.
30.05.2025 - Matangazo ya Mchana
Waziri wa usalama wa taifa Itamar Ben Gvir, amesema ni wakati sasa nchi yake itumie ''nguvu zote'' katika Ukanda wa Gaza baada ya Hamas kulikataa pendekezo jipya la kusimamisha vita+++Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila, alionekana hadharani mjini Goma.
Maoni: Kabila arejea nchini Kongo hatua hiyo ina maana gani
Rais wa zamani wa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila, anayetuhumiwa kuwaunga mkono waasi wa M23 wanaodhibiti eneo la Mashariki mwa Kongo amerejea nchini humo na kwenda kwenye eneo hilo. Je! maana yake ni nini? na hasa baada ya bunge kumvua Kabila, hadhi ya kisheria ya kumkinga dhidi ya mashtaka. Mwenyekiti ni Zainab Aziz
30.05.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Mamilioni ya Wakorea Kusini wanatarajia kupiga kura wiki ijayo, kumchangua rais mpya+++Wakaazi wanaoishi kwenye fukwe za ziwa tanganyika upande wa Burundi katika mji wa Gatumba wamo katika mashaka makubwa kutokana na kufurika kwa ziwa hilo.
30.05.2025 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Marekani imeliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa pendekezo lake la kusitisha vita kati ya Ukraine na Urusi kwa siku 30 ndilo fursa bora kabisa kwa Rais Vladimir Putin+++Mlipuko wa kipindupindu unaotikisa mji mkuu wa Sudan, Khartoum, umesababisha vifo 70 ndani ya siku mbili
29.05.2025 - Matangazo ya Jioni
Urusi imesema leo kuwa bado inasubiri Ukraine ithibitishe kama itahudhuria mazungumzo mapya ya amani mjini Istanbul+++Chama tawala nchini Tanzania CCM kimeridhia marekebisho madogo ya katiba yake huku kikiwa shabaha mpya kuelekea katika uchaguzi mkuu
29.05.2025 - Matangazo ya Mchana
Urusi imesema inataka mazungumzo mapya na Ukraine mjini Istanbul Jumatatu ijayo+++Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimefanya uzinduzi wa kampeni yake ya hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania
29.05.2025 - Matangazo ya Asubuhi
28.05.2025 Matangazo ya Jioni
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kiongozi wa wanamgambo wa Hamas mjini Gaza Mohammed Sinwar ameuwawa+++Ujerumani imeiahidi Ukraine uungaji mkono mkubwa Ukraine katika vita vyake dhidi ya Urusi+++Wakuu wa majeshi na wataalamu wa usalama kutoka nchi za kiafrika wanakutana kwa mara ya kwanza nchini Kenya
28.05.2025 Matangazo ya Mchana
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema ndege zake za kivita zimeyashambulia maeneo ya waasi wa Houthi+++Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anakutana mchana huu na Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz mjini Berlin+++Kenya imeiomba radhi Tanzania na Uganda kufuatia siku kadhaa za kurushiana maneno makali baada ya wanaharati wake na wa Uganda kujikuta pabaya kwa jirani
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 28 Mei 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 28 Mei 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 28 Mei 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 28 Mei 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Erdogan ateuwa timu ya wataalamu kuandika katiba mpya
Rais Tayyip Erdogan wa Uturuki ameteuwa timu ya wataalamu wa sheria kuanza mchakato wa kuandika katiba mpya.
Ukraine yatuma zaidi ya droni 100 kuelekea Urusi
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi inaripotiwa kuzidunguwa zaidi ya droni 100 za Ukraine usiku wa kuamkia leo.
Brazil yaishitaki kampuni ya magari ya Kichina kwa utumwa
Waendesha mashitaka nchini Brazil wameifungulia kesi kampuni kubwa kabisa ya magari yanayotumia umeme ya China, BYD,
Trump aendelea kukisakama Chuo Kikuu cha Harvard
Trump ameamuru kufutwa kwa mikataba na Chuo Kikuu cha Havard yenye thamani ya kiasi cha dola milioni 100
Wadephul ataka ushirikiano na Marekani dhidi ya Urusi
Wadephul ametowa wito wa Ulaya na Marekani kushirikiana dhidi ya Urusi
Wanamgambo wanane wanaoiunga mkono serikali wauawa Nigeria
Wanagambo wanane wanaopambana dhidi ya makundi ya siasa kali Nigeria wameuawa baada ya gari yao kukanyaga bomu.
Ujerumani, Finland zashinikiza misaada kuingia Gaza
Kansela Friderich Merz na Wazir Mkuu Petteri Orpo wameyasema hayo walipokutana pembezoni mwa mkutano wa Nordic.
Urusi: Mashambulizi ndani ya Ukraine ni ya "kulipa kisasi"
Urusi imesema mashambulizi yake makali nchini Ukraine mnamo siku tatu zilizopita yalikuwa ni ya "kulipa kisasi".
27.05.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Urusi imesema kuwa mashambulizi yake makali nchini Ukraine siku tatu zilizopita yalikuwa ni "jibu" kwa mashambulizi ya droni yaliyofanywa na Ukraine na kuwalenga raia wa Urusi / Rais wa Marekani Donald Trump ameipongeza hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuandaa mazungumzo ya kibiashara na nchi yake
27.05.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Umoja wa Mataifa na Mashirika ya misaada yamepinga mfumo mpya wa ugavi wa misaada Gaza / Amnesty International ilfanya mahojiano na baadhi ya raia waliozuiliwa katika miji miwili ya Goma na Bukavu
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 27 Mei 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 27 Mei 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Shirika la Kimarekani laanza kusambaza misaada Gaza
Shirika tata la kibinaadamu kwa ajili ya Ukanda wa Gaza limeanza kusambaza misaada kwenye Ukanda huo.
AI yasema M23 wanahusika na uhalifu wa kivita
Amnesty International imewatuhumu waasi la M23 kwa uhalifu wa kivita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mataifa masikini yakabiliwa na wimbi madeni ya China
Ripoti iliyochapishwa nchini Australia imebaini mzigo wa madeni ya China kwa mataifa masikini zaidi duniani.
Ususiaji kura wa upinzani wampa ushindi mkubwa Maduro
Chama tawala nchini Venezuela kimetangaza kujizolea takribani viti vyote vya ubunge na ugavana.
Watu 30 wauawa Nigeria
Zaidi ya watu 30 wameuawa katikati mwa Nigeria kwenye maeneo ambako kawaida jamii za wakulima na wafugaji hushambuliana.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 27 Mei 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 27 Mei 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Wagombea urais wa zamani Algeria wafungwa jela
Mahakama nchini Algeria imewahukumu kifungo cha miaka kumi gerezani wagombea watatu wa urais.
Mashambulizi ya Israel yaendelea Gaza
Mashambulizi ya Israel yaliuwa watu 45 kwenye Ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa mamlaka za afya kwenye Ukanda huo.
26.05.2025 Matangazo ya Jioni
Ujerumani yaikosoa Israel kwa vita vyake huko Gaza+++Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema Rais wa Urusi, Vladmir Putin anaona mapendekezo ya mazungumzo ya amani na Ukraine kama ''ishara dhaifu'' +++Rais wa zamani wa Kongo Joseph Kabila awasili Goma
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 152
Ukurasa unaofuatia