You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
17.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kwamba kampeni yake dhidi ya Iran "itabadili sura ya Mashariki ya Kati", wakati nchi hizo mbili zikiendelea kushambuliana vikali / Tanzania inajikwamua kukabiliana na tatizo la upungufu wa damu
16.06.2025 Matangazo ya Jioni
Israel yaendelea kushambulia maeneo ya misaada Gaza+++Ukraine yapokea miili zaidi ya 6,000 ya wanajeshi wake+++Viongozi wa G7 wakutana Canada+++Tanzania- Tundu Lissu kujitetea mwenyewe mahakamani
Kenya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia kidijitali
Kenya yazindua kampeni ya kidijitali kupambana na ongezeko la unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana.
16.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
13.06.2025 -Matangazo ya Jioni
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema mashambulizi ya Israel nchini mwake ni tangazo la vita+++Hali nchini Sudan, inazidi kuzorota ambapo vita vya wenyewe kwa wenyewe vimeingia mwaka wke wa tatu
13.06.2025 - Matangazo ya Mchana
Israel imeshambulia vinu vya nyuklia vya Iran usiku wa kuamkia leo+++Uchunguzi kuhusu mauaji ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang umechukua mkondo mpya baada ya afisa wa polisi kukamatwa. Pia mtu aliyeivuruga kamera ya CCTV kwenye kituo cha polisi cha Central amekamatwa.
Mlima Meru na faida zake kitamaduni
Mlima Meru ulipo Arusha, Tanzania, una umuhimu mkubwa wa kitamaduni, na ni sehemu ya historia kwa jamii ya Wameru.
13.06.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 13 Juni 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
13.06.2025 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 13 Juni 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Mahakama yamzuwia Trump kutuma wanajeshi Los Angeles
Jaji wa mahakama kuu ya Marekani ameamuru kusitishwa kwa muda kwa amri ya Trump kutuma wanajeshi Los Angeles.
Zelensky: Wanajeshi wa Urusi warejeshwa nyuma Sumy
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amesema vikosi vyake vinawarejesha nyuma wanajeshi wa Urusi kwenye mkoa wa Sumy.
Umoja wa Mataifa wapiga kura kutaka usitishaji mapigano Gaza
Mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa wamepiga kura kutaka usitishwaji haraka wa mapigano kwenye Ukanda wa Gaza.
Marekani yashinikiza makubaliano ya amani Rwanda, Kongo
Marekani inazishinikiza Rwanda na Kongo kupiga hatua za haraka kuelekea kwenye makubaliano ya amani.
Pistorius akataa Ujerumani kubadili sera kuelekea Urusi
Pistorius amekataa wito kutoka wenzake wa SPD wanaoitaka serikali ya Ujerumani kurekebisha sera yake kuelekea Urusi.
Israel yaishambulia Iran
Israel imeyashambulia maeneo mbalimbali ya Iran, ikivilenga vinu vya nyuklia, wanasayansi na viongozi wa kijeshi.
Maoni: Rwanda yajiondoa kutoka kwenye Jumuiya ya ECCAS
Wiki hii kwenye Maoni Meza ya Duara watalaamu wanaujadili uamuzi wa Rwanda wa kujiondoa kutoka kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Afrika ya Kati, ECCAS, baada ya viongozi wa nchi za jumuiya hiyo kuamua kuurefusha urais wa zamu wa Guinea ya Ikweta na kuinyima Rwanda kuchukua nafasi ya uenyekiti wa zamu. Mwenyekiti ni Zainab Aziz
12.06.2025 - Matangazo ya Jioni
Kasi ya ukuaji wa uchumi wa Kenya imepungua kwa asilimia 4.7. kwa mujibu wa bajeti ya mwaka 2025/2026+++Jumla ya shilingi trilioni 56.49 zinatarajiwa kukusanywa nchini Tanzania na kutumika katika mwaka wa fedha 2025/2026+++ Bajeti ya shilingi trilioni 72.3 za Uganda zinatarajiwa kuelekezwa katika kubuni fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana.
12.06.2025 - Matangazo ya Mchana
Shirika la misaada ya kibinadamu la Gaza GHF, limesema basi lililokuwa likiwasafirisha wafanyakazi wake wa Kipalestina limeshambuliwa+++Leo dunia inaadhimisha siku ya kupinga ajira kwa watoto+++Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji, wa Tanzania Profesa Kitila Mkumbo amesema Tanzania imeonesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake.
12.06.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 12 Juni 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Msafara wa wanaharakati 1,700 waelekea Gaza
Misri imewataka wanaharakati wanaodhamiria kuingia Ukanda wa Gaza wahakikishe wamepata vibali kwanza.
Polisi wawili Bolivia wauawa
Maafisa wawili wa polisi wameuawa kufuatia makabiliano na wafuasi wa rais wa zamani wa Bolivia, Evo Morales.
Mali kumuongezea kiongozi wa kijeshi miaka mitano madarakani
Mali imeidhinisha mswada tata wa sheria unaompa kiongozi wa kijeshi miaka mingine mitano ya kukaa madarakani.
12.06.2025 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 12 Juni 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Wapalestina 60 wauawa karibu na kituo cha misaada
Wanajeshi wa Israel wamewauwa Wapalestina 60 kwenye Ukanda wa Gaza wengi wao karibu na eneo la kutolea misaada.
Urusi yaifunika Ukraine kwa usiku mwengine wa droni
Mashambulizi makali ya droni za Urusi yamewauwa watu sita na kuwajeruhi wengine 60 kwenye mji wa Kharkiv.
Marekani yawaamuru maafisa wake kuondoka Mashariki ya Kati
Trump ameamuru kuhamishwa kwa maafisa wa nchi yake kutoka Mashariki ya Kati kutokana na "uwezekano wa kuwa hatarini".
Mameya wa Los Angeles wamtaka Trump kuondowa wanajeshi
Mameya wa Los Angeles wameungana kuutaka utawala wa Trump kusimamisha uvamizi dhidi ya wahamiaji kwenye eneo lao.
11.06.2025 Matangazo ya Jioni
Uchunguzi wa kifo cha mwanablogu Albert Ojwang umechukua mkondo mpya// Chama cha Cndd Fdd tawala Burundi kimeibuka na ushindi mkubwa katika uchaguzi wa bunge na madiwani ulofanyika tarehe 05 mwezi huu// Maafa makubwa yameripotiwa nchini Afrika Kusini kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyozikumba sehemu mbalimbali za nchi hiyo.
11.06.2025 Matangazo ya Mchana
Wakenya sita akiwemo mwanasiasa wa upinzani Martha Karua, Jaji mkuu wa zamani Willy Mutunga wameishitaki serikali ya Tanzania katika mahakama ya haki ya Afrika Mashariki EACJ kwa kuwashikilia kinyume cha sheria na kuwarejesha nchini mwao// Mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu ulinzi wa Bahari unaendelea mjini Nice, kusini mwa Ufaransa.
11.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Urusi yapanua ushawishi wake wa kijeshi barani Afrika// Mvutano unazidi kupamba moto nchini Marekani kati ya maafisa wa jimbo la California na utawala wa Trump// Wakaazi wa mtaa wa Kibera jijini Nairobi watumia teknologia ya Bitcoin kama njia mbadala ya kupata huduma za kifedha.
11.06.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Marekani yaikosoa Uingereza na washirika kwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel // Amri ya kutotoka nje yatangazwa Los Angeles huku Rais Trump wa Marekani akiapa 'kulikomboa' jiji hilo // Na Austria yaomboleza baada ya watu 11 kuuawa kwa kupigwa risasi shuleni
10.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mwaka mmoja tangu maandamano makubwa ya kupinga kodi na ufisadi nchini Kenya, maarufu kama maandamano ya Gen Z, vijana wa taifa hilo bado hawajakata tamaa licha ya matukio ya ukandamizaji wa polisi / Mwanaharakati maarufu raia wa Sweden, Greta Thunberg amefurushwa kutoka nchini Israel
10.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waandamanaji wanaopinga kukamatwa kwa wahamiaji wamekusanyika Los Angeles kwa siku ya nne mfululizo / Rais wa Kenya, William Ruto, ametangaza mpango wa kitaifa maarufu kama National Youth Opportunities Towards Advancement (NYOTA), ukiwa na lengo la kutoa ajira kwa vijana 800,000.
10.06.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Rais Trump wa Marekani apeleka wanajeshi zaidi Los Angeles huku maandamano yakiingia siku ya nne // Israel inawarudisha makwao wanaharakati waliokamatwa kwenye boti ya misaada iliyokuwa ikielekea Gaza // Na viongozi wa dunia waonya dhidi ya mbio za uchimbaji wa madíni ya baharini
09.06.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Urusi na Ukraine zimebadilishana wafungwa wa kivita ikiwa ni pamoja na walio chini ya miaka 25 pamoja na waliopata majeraha makubwa vitani / Kiongozi wa upinzani wa mrengo wa kushoto wa Israel Yair Golan ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa vita vya Gaza
09.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mgogoro kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda umechukua sura mpya kufuatia uamuzi wa Rwanda kujitoa katika Jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika ya Kati (ECCAS) / Wawakilishi wa nchi 130 wanakusanyika leo katika mji wa Nice nchini Ufaransa kwa Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC).
09.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
Matangazo ya Mchana : 08.06.2025
Wapalestina wanne wameuawa kwa kushambuliwa na Israel karibu na kituo cha msaada++Urusi na Ukraine zashambuliana kwa makombora usiku kucha++Uhispania kuivaa Ureno katika mchezo wa fainali ya Kombe la mataifa Ulaya.
09.06.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Wanajeshi wa Israel waizuia boti ya wanaharakati iliyobeba misaada kufika Ukanda wa Gaza // Machafuko yazuka Los Angeles Marekani huku wanajeshi waliotumwa na Rais Trump wakisambazwa mitaani // Na Ureno yaichapa Uhispania na kubeba taji la pili la UEFA Nations League
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni 8 Juni 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni 8 Juni 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Jeshi la Urusi laingia mkoa wa Dnipropetrovsk
Urusi inasema imesonga mbele ndani ya mkoa wa viwanda wa mashariki mwa Ukraine, Dnipropetrovsk.
Matangazo ya Jioni: 07.06.2025
Urusi na Ukraine zalaumiana kwa kuahirisha zoezi la kubadilishana wafungwa. Kundi la mamluki wa Urusi la Wagner limesema linaondoka Mali baada ya kusaidia kurejesha udhibiti wa serikali kwenye majimbo yote ya nchi hiyo. China yapendekeza kuanzishwa utaratibu maalum wa forodha ili kurahisisha uingizaji wa madini yake adimu katika nchi za Umoja wa Ulaya
Matangazo ya Mchana: 07.06.2025
Watu watano wameuawa katika mashambulizi makubwa ya Urusi nchini Ukraine. Jeshi la Israel limesema wanajeshi wake wanne wameuawa katika operesheni ya Gaza. Iran yasema marufuku ya kusafiri ya Marekani ni ishara ya 'mtazamo wa kibaguzi'
06.06.2025 - Matangazo ya Jioni
Kremlin imesema vita vya Ukraine ni suala kuhusu uwepo wa taifa la Urusi, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusema kwamba Urusi na Ukraine zinafanana na watoto wadogo+++Zoezi la ukusanyaji na uhesabiaji kura baada ya uchaguzi wa bunge na madiwani ulofanyika hapo jana Alhamisi nchini Burundi bado linaendelea.
06.06.2025 - Matangazo ya Mchana
Katika mji mtakatifu wa Makka, zaidi ya mahujaji milioni 1.6 leo wamekuwa wakitekeleza ibada ya mwisho katika Hijja ya mwaka huu+++Uhusiano wa karibu kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na bilionea Elon Musk sasa umeyumba vibaya.
06.06.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Wadau katika suala zima la kudhibiti kifua kikuu katika mataifa mbalimbali duniani wamo katika mashaka makubwa, kufuatia hatua ya ghafla ya Rais Donald Trump wa Marekani kusitisha ufadhili kwa shughuli za afya kupitia shirika la USAID+++Baraza linaloshughulikia masuala ya wakimbizi la Norway NRC limetoa ripoti inayosema, Cameroon iko katika mgogoro mkubwa wa kibinadamu uliopuuzwa
05.06.2025 - Matangazo ya Jioni
Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Shuraa ya Maimamu Tanzania na Mwanaharakati mashuhuri wa kutetea haki za binadamu ajiunga na ACT Wazalendo+++Raia wa Burundi zaidi ya milioni 6 wameshiriki uchaguzi wa wabunge na madiwani leo.
05.06.2025 - Matangazo ya Mchana
Taasisi ya GHF inayoendesha utoaji wa misaada katika Ukanda wa Gaza imefunga vituo vyake+++Zaidi ya mahujaji milioni moja na nusu wamekusanyika hivi leo kwenye Milima na viwanja vya Arafa nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kukamilisha ibada ya Hijja+++Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini marufuku mpya ya usafiri inayolenga mataifa 12
Mahujaji wasimama Mlima Arafa
Zaidi ya mahujaji milioni 1.5 wamekusanyika hivi leo kwenye Milima na viwanja vya Arafa nchini Saudi Arabia.
05.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mawaziri wa ulinzi kutoka kundi wanachama washirika wa kuisadia kiulinzi Ukraine wameahidi kwenye mkutano wao mjini Brussels kuendelea kuiunga mkono nchi hiyo licha ya Marekani kutoshiriki kwenye mkutano huo / Mamlaka ya mji mkuu wa Rwanda, Kigali, imesema itaanza kutumia satalatiti kugundua watu wanaojenga makaazi holela kinyume cha sheria
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 152
Ukurasa unaofuatia