You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
30.06.2025 Matangazo ya Mchana
Israel yaendelea kuishambulia Gaza licha ya miito ya usitishwaji mapigano+++Urusi yafanya mashambulizi makubwa dhidi ya Ukraine+++Kongamano la kimataifa juu ya ufadhili kwa ajili ya maendeleo linaanza hivi leo nchini Uhispania+++DR Congo: Miaka 65 ya Uhuru
30.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
30.06.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Karibu usikilize taarifa ya habari ya asubuhi ya leo, ambapo pamoja na nyinginezo utasikia Ukraine yajiandaa kujiondoa kwenye mkataba wa Ottawa unaozuia matumizi ya mabomu ya ardhini ++++ Iran yaonyesha 'mashaka makubwa' juu ya uamuzi wa Israel wa kusitisha mapigano ++++ Watu 11 wafa baada ya kuporomokewa na mgodi wa dhahabu huko Sudan. Utasikia pia Makala tulizokuandalia.
29.06.2025: Matangazo ya Jioni
Watu 17 wakiwemo watoto watatu wameuawa huko Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel. Ajali ya barabarani huko Tanzania yasababisha vifo vya watu 38. Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani asema kuwa Urusi inahatarisha amani na uhuru wa nchi hiyo.
UM, AU zasifu mkataba wa amani Kongo na Rwanda
Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika zimeusifu mkataba wa amani uliofikiwa kati Kongo na Rwanda.
Matangazo ya Jioni: 28.06.2025
Scholz aisisitizia Ujerumani kuwa makini katika maswala ya usalama. Marekani yasusia mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Ufadhili wa Maendeleo. Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba ateuliwe tena kugombea muhula wa saba
Matangazo ya Mchana: 28.06.2025
Iran yafanya mazishi ya kitaifa kwa maafisa waliouawa wakati Israel iliposhambulia Tehran. Qatar yazisihi Israel na Hamas kutumia “fursa iliyopo” kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza.Gutteres apongeza makubaliano ya amani kati ya DRC na Rwanda
27.06.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ahutubia Bunge la nchi hiyo ikiwa ni hotuba yake ya mwisho bungeni kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu / Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema, uwezekano wa mazungumzo mapya na Marekani kuhusu mpango wa nyuklia wa nchi yake umeathiriwa kwa kiasi kikubwa.
Leicester yaachana na van Nistelrooy
Ruud van Nistelrooy alihudumu kama kocha wa muda Old Trafford baada ya Ten Hag kutimuliwa
27.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Makubaliano ya amani yanatarajiwa kutiwa saini leo Ijumaa huko Washington kati ya mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda / Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limesema mamlaka nchini Kenya zinapaswa kuwajibikia dhuluma zote zilizofanywa wakati wa maandamano ya nchi nzima ya tarehe 25 Juni, 2025
Mchana daktari, usiku mwanamuziki...
Nchini Rwanda, jina la Dkt. Thomas Muyombo linavuma hata nje ya kuta za hospitali. Anajulikana na wengi kwa jina lake la kisanii Tom Close, na ni mwanamuziki maarufu! Mchana ni daktari, usiku ni mwanamuziki. Hii imekaaje? Tizama video. Juni 27, 2025 #Kurunzi #DwKiswahili
27.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanataka Ukraine isaidiwe kijeshi. Vikwazo vipya dhidi ya Urusi vimekwama / Wakazi wa Mji wa Kabimba, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanikiwa na huduma ya umeme baada ya miaka tisa ya giza
26.06.2025 Matangazo ya Jioni
China yawa mwenyeji wa mkutano wa SCO, ikiwaalika Iran, India na Urusi+++Mashambulizi ya Israel yaua 56 Gaza+++ Ayatollah Ali Khamenei asema Iran itajibu mashambulizi kama itashambuliwa
26.06.2025 Matangazo ya Mchana
Watu kumi na sita wameuawa wakati wa maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali nchini Kenya siku ya Jumatanowengi wao wakiripotiwa kuuawa na polisi// Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimetangaza kuwa kampuni ya kisheria Amsterdam and partners, LLP ya Marekani kwa sasa itakuwa na wajibu wa ushauri wa kisheria na uwakilishi katika kesi zinazokikabili chama hicho nchini Tanzania
26.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya kijeshi ya NATO wameidhinisha rasmi ongezeko la asilimia tano ya Pato la Taifa kwa ajili ya matumizi ya ulinzi / Maandamano nchini Kenya
25.06.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchini Kenya, watu wawili wameripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya 350 wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu tukio la Juni 25 ambapo / Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya kijeshi ya NATO wameidhinisha rasmi ongezeko la asilimia 5 ya Pato la Taifa kwa ajili ya matumizi ya ulinzi
25.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika miji mikuu nchini Kenya kukumbuka tukio la Juni 25 mwaka uliopita ambapo wenzao 60 waliuawa na polisi wakati wa maandamano / Rais Donald Trump ametetea mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya maeneo ya nyuklia ya Iran yaliyofanyika wiki hii
25.06.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mkutano wa kilele wa NATO waingia siku ya pili na ya mwisho. Ripoti yabainisha kuwa mashambulizi ya Marekani hayakuharibu mpango wa nyuklia wa Iran. Serikali ya Sudan yaishtumu Kenya kusambaza silaha kwa wapiganaji wa RSF.
24.06.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: NATO inahimizwa kuchukua hatua zaidi kuimarisha bajeti yake ya ulinzi na kutokukubali kushindwa na Urusi / Wataalamu zaidi ya 400 kutoka nchi 53, wamekutana jijini Dar es Salaam kwa Mkutano wa 10 wa Kimataifa wa Kilimo
24.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Iran yameanza kutekelezwa mapema hii leo Jumanne / Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Kujahami ya nchi za magharibi, NATO, unafungua pazia nchini Uholanzi
Mkutano wa NATO kufungua pazia The Hague, Uholanzi
NATO inafanya mkutano wake wa kilele nchini Uholanzi huku ajenda kuu ikiwa ni nyongeza ya matumizi ya bajeti za ulinzi.
Zaidi ya Wapalestina 20 wauwawa wakisubiri misaada Gaza
Watu zaidi ya 20 wameuwawa na jeshi la Israel wakisubiri malori ya msaada wa chakula Ukanda wa Gaza.
24.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump amesema Israel na Iran wamekubaliana kusitisha mapigano / hali ya kiakili inayowakumba baadhi ya wanawake baada ya kujifungua, ama Postpartum Psychosis kama unavyojulikana kwa jina la kitaalamu
24.06.2025: Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi
Rais wa Marekani Donald Trump atangaza kuwa Israel na Iran zimeafikiana kusitisha kabisa mapigano. Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zaahidi kuongeza matumizi yao ya kijeshi ili kuiimarisha ulinzi wa Ulaya. Kiongozi wa Kijeshi wa Mali Assimi Goita afanya ziara Moscow na kukutana na rais Putin.
23.06.2025 Matangazo ya Mchana
Mzozo kati ya Iran na Israel unazidi kutanuka, baada ya Marekani kuvishambulia vinu vya nyuklia vya Iran mwishoni mwa juma+++Israel yaendeleza mashambulizi Gaza+++Tanzania, jana Jumapili kwa mara ya kwanza Kanisa Katoliki limeanza kutekeleza muongozo wake mpya wa uendeshaji wa shughuli za kanisa hilo (Liturujia)+++habari za michezo
23.06.2025 Matangazo ya Jioni
Marekani yashambulia vinu vitatu vya nyuklia nchini Iran+++Wiki hii Umoja wa Mataifa utaadhimisha miaka 80 tangu uliposainiwa mkataba wa kuanzishwa kwake mjini San Fransisco, tarehe 26 Juni 1945+++Maafisa wawili wa polisi Tanzania wahukumiwa kifo kwa kosa la mauaji+++Viongozi wa ECOWAS wakiri kuwepo ukosefu wa usalama wa kikanda
23.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
23.06.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Iran imesema Marekani imevuka "mstari mwekundu" kwa kushambulia vinu vyake vya nyuklia. Wanajeshi 7 wa Uganda kutoka kikosi cha Umoja wa Mataifa wauawa nchini Somalia. Mamia ya watu waandamana kupinga azma ya wanachama wa NATO kuongeza matumizi yao ya ulinzi.
Matangazo ya Jioni 22.06.2025
Umoja Ulaya wahimiza suluhu ya kidiplomasia kati ya Iran na Israel baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran. Jeshi la Israel limesema limeipata miili ya mateka watatu huko Gaza zaidi ya miezi 20 baada ya kutekwa na wanamgambo wa Hamas.India yawakamata wanaume wawili wanaotuhumiwa kuwasaidia watu waliohusika na mashambulizi ya Aprili 22
21.06.2025: Matangazo ya Jioni
Matangazo ya Jioni ya Idhaa ya Kiswahili ya DW
21.06.2025: Matangazo ya Mchana
Jeshi la Israel lasema limemuuwa mratibu wa Iran na Hamas. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi awasili Istanbul kushiriki mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano wa mataifa ya Kiislamu OIC. Kansela wa zamani wa Ujerumani Angela Merkel aunga mkono haki ya Israel kujilinda.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Kipindi cha Afrika Wiki hii hukujuza yaliyoripotiwa kuhusu na kutoka Afrika ndani ya wiki nzima.
20.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Israel na Iran zimeshambuliana tena Ijumaa (20.06.2025) wiki moja baada ya vita kati ya maadui hao wa muda mrefu / Jaji Mkuu mstaafu nchini Kenya, David Maraga, ametangaza rasmi nia kuwania urais nchini humo
19.06.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa China Xi Jinping wamezungumza kwa njia ya simu na kulaani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran / Wakazi wa mkoa wa Mwanza na mikoa ya Jirani nchini Tanzania, wameshuhudia tukio la kihistoria la uzinduzi wa darala la JP Magufuli Kigongo-Busisi
19.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya Iran, mbali na kuwauwa makamanda wa juu wa jeshi la Iran yamewauwa mamia ya watu wakati kwa upande wa Tel Aviv kukiripotiwa kuwa zaidi ya raia 20 wameuwawa / Afrika inakabiliwa na idadi kubwa zaidi ya vitendo vya utumikishwaji wa watoto duniani
Je, Marekani itaishambulia kijeshi Iran?
Israel na Iran ambazo zimeendelea kukabiliana vikali huku kukiwa na hofu ya mzozo huo kuenea kote Mashariki ya Kati.
18.06.2025 Matangazo ya Jioni
Kiongozi mkuu wa Iran, Ali Khamenei ameukataa wito wa rais wa Marekani Donald Trump wa kujisalimisha huku akionya uingiliaji wa Marekani katika mzozo huo utasababisha madhara// Mchuuzi wa barakoa aliyepigwa risasi kwenye maandamano anashusha pumzi baada ya kufanyiwa upasuaji na kutolewa risasi kichwani // Rais Evariste Ndayishimiye leo anaadhimisha miaka 5 tangu kuiongoza Burundi.
18.06.2025 Matangazo ya Mchana
Kwa siku ya sita mfululizo Israel na Iran zimeendelea kushambuliana//Afisa mmoja wa polisi nchini Kenya amekamatwa mara moja baada ya kumpiga risasi raia asiye na silaha Jumanne katika maandamano ya kupinga ukatili wa polisi yaliyofanyika jijini Nairobi.
18.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Trump amesema Marekani inajua alikojificha kiongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei lakini hawana nia ya kumuua / Urusi imejitokeza waziwazi kusimama upande wa Iran katika vita vinavyoendelea sasa baina ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu na Israel
17.06.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Chama kikuu cha upinzani nchini Tanania, Chadema kimetoa msimamo wake kuhusu amri ya hivi karibuni ya mahakama kuu ya kuwataka viongozi wa chama hicho kutojishughulisha na siasa / Mzozo kati ya Israel na Iran unaendelea kuibua wasiwasi wa kimataifa
17.06.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Israel na Iran zimeendelea kushambuliana kwa zamu kwa makombora katika siku ya tano mfululizo / Polisi nchini Kenya wamelipua mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji Katikati ya jiji la Nairobi.
17.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kwamba kampeni yake dhidi ya Iran "itabadili sura ya Mashariki ya Kati", wakati nchi hizo mbili zikiendelea kushambuliana vikali / Tanzania inajikwamua kukabiliana na tatizo la upungufu wa damu
16.06.2025 Matangazo ya Jioni
Israel yaendelea kushambulia maeneo ya misaada Gaza+++Ukraine yapokea miili zaidi ya 6,000 ya wanajeshi wake+++Viongozi wa G7 wakutana Canada+++Tanzania- Tundu Lissu kujitetea mwenyewe mahakamani
Kenya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia kidijitali
Kenya yazindua kampeni ya kidijitali kupambana na ongezeko la unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana.
16.06.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
13.06.2025 -Matangazo ya Jioni
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema mashambulizi ya Israel nchini mwake ni tangazo la vita+++Hali nchini Sudan, inazidi kuzorota ambapo vita vya wenyewe kwa wenyewe vimeingia mwaka wke wa tatu
13.06.2025 - Matangazo ya Mchana
Israel imeshambulia vinu vya nyuklia vya Iran usiku wa kuamkia leo+++Uchunguzi kuhusu mauaji ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang umechukua mkondo mpya baada ya afisa wa polisi kukamatwa. Pia mtu aliyeivuruga kamera ya CCTV kwenye kituo cha polisi cha Central amekamatwa.
Mlima Meru na faida zake kitamaduni
Mlima Meru ulipo Arusha, Tanzania, una umuhimu mkubwa wa kitamaduni, na ni sehemu ya historia kwa jamii ya Wameru.
13.06.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 13 Juni 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
13.06.2025 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 13 Juni 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 152
Ukurasa unaofuatia