You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani kuipatia Ukraine mifumo ya ulinzi ya Patriot
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa Washington itaipatia Ukraine mifumo ya kisasa ya ulinzi aina ya Patriot.
13.07.2025: Matangazo ya Mchana
Zaidi ya Wapalestina 59 wameuawa kwa mashambulizi ya Israel. Raia 66 wameuawa kwa mashambulizi ya waasi wa ADF. Korea Kaskazini yasisitiza kuendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine.
12.07.2025 Matangazo ya Jioni
Wapalestina 28 wauawa kwenye shambulizi la anga la Israel katika Ukanda wa Gaza // Rais wa Marekani Donald Trump asema Mexico, na Umoja wa Ulaya kukabiliwa na ushuru wa asilimia 30 kuanzia Agosti mosi // Rais wa Uturuki asema kupokonywa silaha kwa PKK kunafungua ukurasa mpya kwa Uturuki
12.07.2025 Matangazo ya Mchana
Mazungumzo ya amani Gaza yatatizwa na misimamo ya jeshi la Israel // Mawaziri wa mambo ya nje wa Urusi na Korea Kaskazini wakutana huku Pyongyang ikiunga mkono vita nchini Ukraine // Ripoti ya awali kuhusu ajali ya ndege ya Air India yatolewa
11.07.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema imeorodhesha vifo vya watu takriban 798 katika kipindi cha wiki sita zilizopita kwenye maeneo ya misaada Gaza / Shirika lisilo la kiserikali la Oxfam limetahadharisha juu ya kuendelea kuongezeka pengo kati wenye nacho na wasio nacho barani Afrika
Kwa nini Trump ana hofu kubwa juu ya BRICS?
Trump atishia ushuru kwa mataifa ya BRICS akihofia kuporomoka kwa dola ya Marekani huku umoja huo ukizidi kupanuka.
11.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mazungumzo ya kusaka suluhu katika mzozo wa Gaza yamepiga hatua ikiwemo Hamas kukubali kuwaachia mateka wa Israel / Mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 yanaendelea katika mwelekeo sahihi
11.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mgogoro wa Ukraine unaendelea kuingia katika hatua ngumu, huku mashambulizi ya kijeshi yakiendelea kuathiri maisha ya raia / Miaka 30 tangu mauaji ya halaiki ya kimbari ya Srebrenica
11.07.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waziri Mkuu wa Israel aelezea matarajio ya kufikiwa mpango wa kuachiwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas. Mahakama ya ICC yatahadharisha kuhusu kufanyika kwa vitendo vya uhalifu dhidi ya binadamu huko Darfur. Viongozi wa Ulaya wazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine baada ya vita licha ya mashambulizi makubwa ya Urusi.
10.07.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Umoja wa Ulaya na Israel zakubaliana kuboresha misaada kwa Wapalestina / Wapalestina 52 wauliwa Gaza/ Rais Zelensky ahimiza misaada zaidi kwa ajili ya kuilinda Ukraine na afisa wa polisi kukabiliwa na mashtaka ya mauaji nchini Kenya
10.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Hamas imesema iko tayari kuwaachia mateka kumi wa Israel ikiwa ni sehemu ya maafanikio ya mazungumzo ya Qatar / Kocha mpya wa Real Madrid, Xabi Alonso, amesisitiza kuwa kibarua chake cha kuiongoza Madrid kinaanza sasa rasmi, kufuatia kichapo cha 4-0 dhidi ya Paris Saint-Germain kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu
10.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani amewakaribisha kwa mazungumzo katika Ikulu ya WhiteHouse viongozi wakuu wa nchi tano za Afrika Magharibi / Mzozo wa kibinadamu unazidi kushika kasi nchini Malawi kufuatia ishara kwamba huenda kambi kubwa zaidi ya wakimbizi ya Dzaleka ikafungwa hivi karibuni
10.07.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Kundi la Hamas laridhia kuwaachia mateka 10 wa Israel. Urusi yaendesha wimbi jipya la mashambulizi nchini Ukraine. Rais wa Marekani awapokea kwa mazungumzo marais watano wa nchi za Afrika.
09.07.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Takriban Wapalestina 40 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel katika Ukanda wa Gaza / Rais wa Kenya William Ruto ametoa kauli kali dhidi ya maandamano yanayoendelea nchini humo, akisema hatokubali vurugu katika taifa analoliita la kidemokrasia
09.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na rais Donald Trump wa Marekani wamekutana tena mjini Washington / Rais wa Kenya William Ruto ameonya dhidi ya jaribio la "kuipindua" serikali kupitia "njia zisizo za kikatiba"
09.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron yuko nchini Uingereza kwa ziara ya siku tatu / Rais wa Marekani Donald Trump, amewaalika viongozi wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal mjini Washington
08.07.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kunashuhudiwa kitisho cha kuenea kwa imani za itikadi kali magerezani, hasa yale yanayopatikana katika maeneo yenye migogoro / Rais wa Marekani Donald Trump amesema kundi la wanamgambo wa Hamas la Palestina linatafuta kusitisha vita na Israel katika mzozo unaoendelea Ukanda wa Gaza
08.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Donald Trump amesema kuwa Marekani itapeleka silaha za ziada nchini Ukraine. Hii ni baada ya Urusi kuyakamata maeneo mapya katika vita vyake vya muda mrefu dhidi ya Jirani yake / Watu 11 wameuwawa katika maandamano ya kuipinga serikali yaliyofanyika Kenya 07.07.2025
08.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Washington / Wataalamu wa akiolojia, antropolojia, masuala ya utamaduni, sanaa na makumbusho kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika wamekutana jijini Berlin, Ujerumani, kujadili historia ya bara hilo
07.07.2025 Matangazo ya Jioni
Watu wanne wameuawa nchini Kenya na wengine kadhaa wamejeruhiwa huku shughuli katika Jiji la Nairobi na miji mingine mikuu nchini humo zikisitishwa Jumatatu hii+++Mashambulizi kati ya Urusi na Ukraine yasababisha kusitishwa safari za ndege+++Waasi wa Houthi wadai kuishambulia meli ya Kigiriki+++Wadau wa Kiswahili wataka kuanzisha mabaraza ya Kiswahili Afrika Mashariki
Wito wa kuanzishwa mabaraza ya Kiswahili Afrika Mashariki
Wanaharakati na wadau wa Kiswahili wamezitaka nchi za jumuiya ya Afrika mashariki kuanzisha mabaraza ya Kiswahili.
07.07.2025 Matangazo ya Mchana
Kenya - Hali ni tete mjini Nairobi huku vijana wakiendelea kushiriki maandamano ya kuipinga serikali+++BRICS yasema haiko kuihujumu Marekani+++Urusi yasema imedungua droni tatu zolizorishwa nchini mwake kutokea Ukraine+++Kongamano la Kimataifa la Vyombo vya Habari linaloandaliwa na Deutsche Welle (GMF) laanza mjini Bonn
07.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
05.07.2025 Matangazo ya Mchana
Wachezaji wa Liverpool wahudhuria mazishi ya Diogo Jota na kaka yake André Silva // Takribani watu 24 wamefariki katika mafuriko Texas // Mameya watatu wa vyama vya upinzani Uturuki wakamatwa
04.07.2025 Matangazo ya Jioni
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni 04 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
04.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Serikali ya Afghanistan imetangaza kuwa Urusi imekuwa nchi ya kwanza kuutambua utawala wa Taliban unaoiongoza nchi hiyo / Waasi wa M23 wamesema wanataka mazungumzo zaidi na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Tanzania yakodolea macho soko la nyama kimataifa
Tanzania imedhamiria kulifikia soko la kimataifa la nyama kwa kuzindua kampeni kabamve ya utambuzi na chanjo kwa mifugo.
Hamas yajadili hatua za usitishaji vita Gaza
Hamas wanashauriana na makundi mengine ya Kipalestina kuhusiana na mapendekezo mapya ya kusitisha vita vya Gaza.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 4 Julai 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 4 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 4 Julai 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 4 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Kiev yashambuliwa tena kwa droni za Urusi
Mji mkuu wa Ukraine, Kiev, umeshambuliwa kwa droni kadhaa za Urusi usiku wa kuamkia leo.
Ethiopia yakamilisha ujenzi wa bwana la umeme Mto Nile
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abby Ahmed, ametangaza kwamba bwawa la umeme lenye utata kwenye Mto Nile sasa limekamilika.
Mashirika ya misaada yaonya mashambulizi ya hospitali Sudan
Mashirika ya kibinaadamu yamesema vituo vya afya nchini Sudan vinashambuliwa, yakituhumu ukatili dhidi ya raia.
Moto wa nyika waendelea kurindima mashariki ya Ujerumani
Wafanyakazi wa uokozi wanakabiliana na hali ngumu kuudhibiti moto unaoendelea kurindima mashariki mwa Ujerumani.
Amnesty International: GHF yatumika kuwauwa Wapalestina
Wapalestina wanaendelea kuuawa na Israel katika Ukanda wa Gaza, huku Amnesty International ikilikosoa shirika la GHF.
03.07.2025 Matangazo ya Jioni
Idadi ya Wapalestina waliouwawa katika mashambulizi kadhaa yaliyofanywa na jeshi la Israel kwenye maeneo mbalimbali katika Ukanda wa Gaza imefikia zaidi ya watu tisini// Wizara ya Ulinzi ya Urusi imethibitisha leo kuuawa kwa Naibu Mkuu wa Jeshi la Wanamaji, Meja Jenerali Mikhail Gudkov, katika eneo la mpaka wa Kursk linalopakana na Ukraine.
03.07.2025 Matangazo ya Mchana
Sura mpya inajitokeza katika siasa za vijana wa Kenya maarufu kama Gen Z. Chama cha kisiasa kinachoongozwa na vijana kilichopewa jina ‘47 Voices of Kenya Congress’, kimeingia rasmi kwenye uwanja wa siasa// Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewaambia wananchi wa jimbo lake la Ruanga hapo jana kwamba hatagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao.
03.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Wakati rais wa Marekani Donald Trump akisema kuwa mpango wa usitishwaji mapigano kwa siku 60 huko Gaza unakaribia kufikiwa, kundi la Hamas limeeleza kuwa bado mazungumzo yanaendelea// Wakati mapambano kati ya waasi wa M23 na majeshi ya serikali ya Kongo yakiendelea mashariki mwa nchi hiyo, wanawake na wasichana wameendelea kuwa wahanga wakuu wa ukatili wa kingono.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 03 Julai 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 03 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 03 Julai 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 03 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
02.07.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Iran imetangaza kusitisha rasmi ushirikiano wake na shirika la kimataifa la kudhibiti nishati ya nyuklia (IAEA) / Visa vya ukatili wa kingono vinaongezeka kwa kasi DRC
02.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Baada ya zaidi ya miongo sita ya mchango mkubwa duniani, Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani USAID limefungwa rasmi na utawala wa Rais Donald Trump / Joto la Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani limeanza kupanda nchini Tanzania
Israel, Hamas watofautiana usitishaji wa vita Gaza
Israel na kundi la Hamas zimechukua msimamo tofauti kuhusiana na pendekezo la Rais Donald Trump la usitishaji vita Gaza.
02.07.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Kwenye taarifa ya habari asubuhi ya leo utasikia Marais wa Ufaransa na Urusi wamezungumza kwa simu kujadili masuala ya Ukraine na Iran +++ Israel yatanua kampeni ya kijeshi kwenye Ukanda wa Gaza kabla ya ziara ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu nchini Marekani +++ Bunge la Venezuela lamzuia Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN kuingia nchini humo. Kaa nasi kusikia zaidi
01.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchi mbali mbali barani Ulaya zakabiliwa na joto na jua kali na kuathiri shughuli mbali mbali ikiwemo shule kufungwa / Mgahawa washambuliwa kwa bomu, waliokuwa wakitafuta msaada wauawa kwa risasi - zaidi ya watu 70 wauawa Gaza katika saa 24 za mashambulizi ya Israel
01.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Viongozi wa dunia na wafanyabiashara wako katika mji wa Seville, Uhispani kwenye mkutano huo wa kusaka msukumo mpya wa ufadhili wa maendeleo / Dawa za saratani barani Afrika, zimegundulika kuwa duni au bandia
01.07.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Ungana nasi hapa kusikiliza Taarifa ya habari ya asubuhi ya leo. Miongoni mwa nyinginezo utasikia +++Iran yaondoa uwezekano wa kurejea kwenye mazungumzo na Marekani hivi karibuni +++ Zaidi ya watu milioni 14 huenda wakapoteza maisha baada ya Marekani kupunguza ufadhili +++ Marekani yaiondolea rasmi Syria vikwazo. Kaa nasi
30.06.2025 Matangazo ya Jioni
Iran yatetea uamuzi wake wa kusimamisha ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Nguvu za Atomiki,IAEA+++Guterres ataka dunia iukabili ufukara wa kutisha+++Israel yataja kuwa tayari kurejesha mahusiano ya kidiplomasia na majirani zake+++DRC: Miaka 65 uhuru katikati mwa mwa matumaini na mashaka
Yanga SC yashinda mataji yote ya soka Tanzania
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania imefagia mataji yote msimu huu katika ligi za Tanzania
30.06.2025 Matangazo ya Mchana
Israel yaendelea kuishambulia Gaza licha ya miito ya usitishwaji mapigano+++Urusi yafanya mashambulizi makubwa dhidi ya Ukraine+++Kongamano la kimataifa juu ya ufadhili kwa ajili ya maendeleo linaanza hivi leo nchini Uhispania+++DR Congo: Miaka 65 ya Uhuru
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 152
Ukurasa unaofuatia