You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mzozo wa mpakani Thailand na Cambodia wazidi makali
Thailand na Cambodia zimelaumiana kwa kuzuka makabiliano mapya katika wakati mzozo wao wa mpakani umeingia siku ya tatu.
Netanyahu, Trump 'wayakacha' mazungumzo ya Doha
Waandamanaji nchini Israel wanaitaka serikali ya Netanyahu kufikia makubaliano na Hamas na kukomesha vita haraka.
25.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Iran inapinga fikra ya kurefushwa muda wa azimio la Umoja wa Mataifa la mkataba wa Nyuklia wa 2015 / Joseph Kabila amefunguliwa mashitaka kwenye Mahakama ya Kijeshi huko Kinshasa, bila yeye kuwepo akikabiliwa na mashitaka makubwa ikiwemo uhaini, mauaji ya makusudi na mateso.
Ukosoaji dhidi ya Israel waongezeka kwa vitendo vyake Gaza
Mbali ya mashambulizi ya makombora na mizinga, sasa njaa inazidi kupoteza maisha ya wakaazi wa Ukanda huo.
24.07.2025 Matangazo ya Jioni
Ripoti mpya iliyotolewa na Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendaji kazi wa Polisi (IPOA) imebainisha kuwa watu 65 walikufa wakati wa maandamano ya hivi karibuni nchini Kenya, kutokana na matumizi ya nguvu ya maafisa wa polisi// Rais wa Marekani Donald Trump anakabiliwa na changamoto kubwa na ukosoaji kutokana na kesi ya ngono iliyomkabili Jeffrey Epstein aliyejiua jela.
24.07.2025 Matangazo ya Mchana
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari Tanzania(JAB), imeanza kutimiza sheria ya kuwatoa kwenye mfumo wa habari, wale wote waliokosa sifa ama vigezo vya kufanya kazi za uanahabari nchini Tanzania// Meli ya mizigo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo – DRC imeungua kwa moto ikiwa kwenye maegesho katika bandari ya Kigoma nchini Tanzania.
23.07.2025 Matangazo ya Jioni
Wajumbe wa Urusi na kutoka Ukraine wanakutana mjini Istanbul kwa mazungumzo// Burundi imefanya uchaguzi wa maseneta leo Jumatano kujaza nafasi za chombo hicho cha maamuzi kinachowakilisha mikoa 5 ya nchi hiyo// Mfumo wa elimu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo umetumbukia kwenye msukosuko baada ya mwaka wa masomo kufikia mwisho mwezi Juni bila ya wanafunzi kupatiwa nakala rasmi za matokeo yao.
23.07.2025 Matangazo ya Mchana
Zaidi ya mashirika 100 ya misaada ya haki za binaadamu yameonya dhidi ya kile wanachosema ni mauaji ya halaiki yanayotokana na njaa yanayosambaa kwenye Ukanda wa Gaza// Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, imeanza kuwaondoa kutoka kwenye vyombo vya habari wale waliokosa sifa ikiwamo kiwango cha elimu kilichowekwa kisheria.
Mashirika zaidi ya 100 ya kimataifa yalaani hali ya Gaza
Mjumbe maalum wa Marekani anaelekea Ulaya kuzungumzia usitishaji mapigano na ufikishwaji wa misaada Gaza.
23.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Denmark imeandaa mkutano muhimu kuhusu uhamiaji unaolenga kushughulikia changamoto za wakimbizi na wahamiaji barani Ulaya// Marekani inazidi kushikilia msimamo wake wa kujilinda dhidi ya washindani wake wa kibiashara// Serikali ya Tanzania, imeanza kutumia teknolojia ya droni na vyombo maalum vya ufuatiliaji wa shughuli za uvuvi na wavuvi katika kudhibiti uvuvi haramu.
22.07.2025 Matanagazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Ujerumani imejitenga na tamko kali la nchi za Magharibi kuhusu "mauaji ya kinyama" ya Wapalestina katika ukanda wa Gaza / Habari mpya zinazidi kuibuka kuhusu hatma ya maziko ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, huku bado kukiwa na sintofahamu juu ya lini atazikwa rasmi
Kifaa maalumu kinachotumia App kuonesha Makka ilipo
Hivi karibuni yalifanyika maonesho maalum ya wajasiriamali wa teknolojia wa Kiislamu jijini London nchini Uingereza. Moja ya vitu vilivyowavutia washiriki wengi katika maonesho hayo ni kifaa kinachosaidia kutambua Makka ilipo na mswala wa kidijitali maalum kwa kufanyia sala.
22.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza na Ufaransa wameelezea wasiwasi wao mkubwa juu ya hali ya kiutu ya Gaza / Iran yasema ikiwa itawekewa tena vikwazo vya UN hali itakuwa ngumu kwa mazungumzo ya Nyuklia
Ukosoaji waongezeka hujuma za Israel huko Gaza
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza na Ufaransa wameelezea wasiwasi wao mkubwa juu ya hali ya kiutu ya Gaza.
DW Michezo: Kenya yajiondoa michuano ya CECAFA
Kenya yajiondoa mashindano ya CECAFA yaliyotarajiwa kuzishirikisha nchi nne huko Karatu Tanzania.
21.07.2025 Matangazo ya Jioni
Mataifa zaidi ya 20 ulimwenguni yametowa wito hivi leo wa kusitishwa mara moja kwa vita katika Ukanda wa Gaza+++Urusi imesema inashughulikia suala la tarehe ya kufanyika mazungumzo ya duru ya tatu na Ukraine+++Kenya imefutilia mbali mashtaka ya ugaidi dhidi ya mwanaharakati mashuhuri nchini humo Boniface Mwangi
Mataifa 25 yataka vita vya Gaza vikomeshwe
Yanasema mfumo huo unachochea machafuko na unawanyang'anya wakaazi wa Gaza heshima yao ya kibinaadamu.
21.07.2025 Matangazo ya Mchana
Israel yauwa 80 wakisaka chakula Gaza+++China yatishia kuchukuwa hatua dhidi ya vikwazo vya EU+++Tanzania: CCM iliakhirisha mkutano wake huo hadi Julai 28+++Uhusiano wa majirani wa pembe ya Afrika umeingia katika awamu tofauti baada ya Rais Afwerki wa Eritrea kuitahadharisha Ethiopia dhidi ya kuanzisha vita vipya
Israel yauwa 80 wakisaka chakula Gaza
Israel imefanya mashambulizi dhidi ya bandari ya Hodeida nchini Yemen ikidai kulenga maeneo ya Wahouthi.
21.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW
Kremlin: Putin yuko tayari makubaliano ya amani Ukraine
Urusi imesema rais wa nchi hiyo Vladimir Putin yuko tayari kufikia makubaliano ya amani na Ukraine.
19.07.2025 Matangazo ya Jioni
Umoja wa Ulaya wapongeza hatua ya usitishwaji mapigano nchini Syria // Umoja wa Afrika wausifu mkataba wa amani kati ya DRC na M23 na kuutaja kuwa "hatua muhimu". // Wanaharakati wa Kenya na Uganda waishtaki Tanzania kwenye Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki.
Naibu mkuu wa zamani wa DW Kiswahili azikwa mjini Cologne
Mohammed aliaga dunia Jumanne wiki hii nyumbani kwake Cologne.
19.07.2025: Matangazo ya Mchana
Syria yatangaza usitishwaji mapigano katika jimbo la Sweida. Watu 26 wauawa Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel. DRC na M23 zatia saini mpango wa kusitisha mapigano mashariki mwa Kongo.
Humphrey azungumzia utekaji Tanzania
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari.
Makala ya Afrika wiki hii
Taarifa ya kujiuzulu kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole, kesi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani Chadema Tundu Lissu na kuzinduliwa kwa dira ya maendeleo kwa miaka 25 ijayo ndizo taarifa kuu zilizovuma Tanzania. Mbabe wa siku nyingi wa vita nchini DRC Thomas Lubanga alikosoa mchakato wa mazungumzo kati ya serikali na M23 huku akitishia kuanzisha tena mapambano ya kijeshi.
18.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Humphrey Polepole aliachia wadhifa huo akisema haridhishwi na mwenendo wa serikali ya sasa ya chama chake cha CCM / Idara ya polisi ya Kenya imeongoza kwa ufisadi nchini humo kwa kupata alama ya kutisha ya wastani wa 84 kati ya 100 kulingana na ripoti mpya ya shirika la kupambana na ufisadi ulimwenguni, Transparency International
18.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, amefanya ziara ya siku moja nchini Uingereza ikiwa ni ziara ya kwanza nchini humo tangu alipoingia madarakani mnamo mwezi Mei / Miaka mia moja tangu Adolf Hitler achapishe andiko lake la chuki la "Mein Kampf" au "Mapambano Yangu" Julai 18 1925
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 18.07.2025
Muhtasari: Uingereza na Ujerumani zanuwia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali+++Waliokufa katika mapigano ya mji wa kusini mwa Syria wapindukia 500 +++Watu watatu wauawa katika shambulizi la Israel dhidi ya kanisa katoliki pekee huko Gaza.
17.07.2025 Matangazo ya Jioni
Zaidi ya watu 500 wameuawa katika mapigano makali kusini mwa Syria+++Tanzania leo imezundua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 hadi 2050+++Watu milioni mbili na zaidi ya laki 9 watakuwa wamefariki dunia kutokana na UKIWMI ifikapo mwaka 2030+++(Ufaransa inakabidhisha rasmi hivi leo vituo vyake vya mwisho vya kijeshi nchini Senegal kwa serikali ya taifa hilo la Afrika Magharibi
Jeshi la Ufaransa lakunja virago Senegal
Ufaransa inavikabidhisha rasmi vituo vyake vya mwisho vya jeshi kwa serikali Senegal baada ya miaka 65 ya kuwapo kwake.
17.07.2025 Matangazo ya Mchana
Rais wa mpito Syria Ahmed al-Sharaa ameahidi kuzilinda haki za jamii ya Druze / Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana kwa droni na zaidi ya watu 60 wameuwawa baada ya moto mkubwa kuzuka kwenye jengo lenye maduka mengi Iraq
Tanzia: Mohammed Abdulrahman, safari iliyowacha alama
Idhaa ya Kiswahili ya DW imepoteza mojawapo ya nguzo muhimu zilizoisimamisha Idhaa hii kwa miongo kadhaa.
Xi airai Jumuiya ya Shanghai kuimarisha ushirikiano
Rais Xi Jinping ameirai Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, kuimarisha mifumo ya kushughulikia vitisho vya kiusalama.
17.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Syria imetangaza kuwa jeshi lake limeanza kuondoka katika eneo lililokumbwa na machafuko la Sweida jana Jumatano / Serikali ya Tanzania na Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) zimesaini mikataba mitatu ya misaada yenye thamani ya Euro milioni 25.68 (sawa na shilingi za Tanzania bilioni 78.58)
Buriani gwiji la habari Mohammed Abdulrahman
Naibu Mkuu wa zamani wa idhaa ya Kiswahili ya DW Mohammed Abdulrahman amefariki dunia na kuacha alama isiyofutika.
16.07.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mbabe wa siku nyingi wa vita nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Thomas Lubanga amekosoa mchakato wa mazungumzo kati ya serikali ya Kinshasa na waasi wa M23 akisema yametanguliza maslahi ya kigeni / Israel imeongeza operesheni zake za kijeshi Syria, ikishambulia lango la makao makuu ya Wizara ya ulinzi Damascus
DW Kiswahili yamuomboleza Mohammed Abdulrahman
Mohammed Abdulrahman akumbukwa kwa kuwa mwandishi mahiri, mlezi, na mjenzi wa Kiswahili fasaha na sanifu ndani ya DW.
Kesi ya Lissu yaahirishwa tena Tanzania
Huko nchini Tanzania, mvutano wa kisheria umeibuka Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kupinga kesi yake kuahirishwa kwa mara nyingine akisema amekaa kwa siku 97 mahabusu.
16.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kifo cha Mohamed Abdulrahman, ambaye kabla ya kustaafu kwake mwaka 2019 alikuwa mhariri na naibu msaidizi wa mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya DW / Wajumbe wa Bunge la Ulaya wameutaka Umoja wa Ulaya kusitisha misaada ya kifedha kwa nchi za Afrika zinazowaminya wapinzani na kuwazuia kushiriki chaguzi za kisiasa
15.07.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa, UNESCO limesifu marekebisho ya sheria za makosa ya mtandao na sheria ya huduma za habari yaliyofanyika hivi karibuni nchini Tanzania / Waziri wa Ulinzi wa Syria, Murhaf Abu Qasra, ametangaza kufikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano
15.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Serikali ya waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu iko mashakani, baada ya chama kimoja ambacho ni sehemu ya serikali yake ya mseto kutangaza kinajitoa kuhusiana na mipango ya mafunzo ya lazima ya kijeshi / Jamii za madhehebu ya Wadruze na Wasunni kutoka jamii ya Mabedui wapambana katika mji wa Sweida
15.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amefanya ziara nchini Marekani kujadili msaada zaidi kwa Ukraine na ushirikiano wa kijeshi ndani ya NATO / Hali ya wasiwasi kuhusu uwezekano wa vita kamili kuzuka upya katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia inazidi kuongezeka
Washirika ´kuimwagia´ Ukraine zana zaidi za kijeshi
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amefanya ziara nchini Marekani kujadili msaada zaidi kwa Ukraine.
14.07.2025 Matangazo ya Jioni
Ukraine - Rais Volodymyr Zelenskyy ameipongeza Marekani kwa kuonyesha azma ya kuisaidia+++Israel inaendeleza mashambulizi yake Ukanda wa Gaza+++Kila upande wavutia kwake katika mazungumzo ya DRC+++Ramaphosa akosolewa kwa kutomfuta kazi waziri Mchunu+++
Chelsea wawaduwaza PSG na kubeba Kombe la Dunia
Karibu katika kipindi cha michezo, ambapo kuna mambo babu kubwa ya kuangazia kuanzia Kombe la Dunia la Vilabu, Kombe la Mataifa ya Ulaya la Wanawake, hadi Kombe la Mataifa ya Afrika kwa ligi za ndani.
Tigray ukingoni mwa vita vyengine nchini Ethiopia
Hayo ni licha ya mkataba wa kusitisha vita vya miaka miwili vilivyoangamiza maisha ya watu takribani nusu milioni.
14.07.2025 Matangazo ya Mchana
Tanzania - CCM yasema kujiuzulu kwa Polepole ni utashi wake+++Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari aombolezwa+++Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa Washington itaipatia Ukraine mifumo ya kisasa ya ulinzi aina ya Patriot+++Tigray ukingoni mwa vita vyengine
Marekani kuipatia Ukraine mifumo ya ulinzi ya Patriot
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa Washington itaipatia Ukraine mifumo ya kisasa ya ulinzi aina ya Patriot.
13.07.2025: Matangazo ya Mchana
Zaidi ya Wapalestina 59 wameuawa kwa mashambulizi ya Israel. Raia 66 wameuawa kwa mashambulizi ya waasi wa ADF. Korea Kaskazini yasisitiza kuendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 152
Ukurasa unaofuatia