You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
04.08.2025 Matangazo ya Mchana
Bunge la Tanzania limekamilisha rasmi muda wake wa miaka mitano Jana tarehe 3 Agosti 2025, ikiwa ni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kulivunja kwa mujibu wa katiba ya taifa hilo// Machafuko mapya yaliyozuka katika jimbo la Sweida kusini mwa Syria.
Kukosa ajira hadi kuanzisha kituo cha redio
Baada ya kumaliza masomo yake nje ya nchi mwaka 2012, Jacqueline Lawrence Mwakyambiki aliamua kuanzisha kituo cha redio.
Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 4 Agosti 2025
Sikiliza matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 4 Agosti 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 4 Agosti 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 4 Agosti 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Wahamiaji 68 wa Kiafrika wafa maji Yemen
Mashua ya wahamiaji imegonga mwamba na kuzama kwenye pwani ya Yemen, huku taarifa zikisema 68 kati yao wamefariki dunia.
Australia kuongeza msaada Gaza baada ya maandamano Sydney
Hayo ni siku moja baada ya maandamano makubwa kwenye Daraja la Bandari ya Sydney kushinikiza sululisho la haraka.
Netanyahu aapa kuwakombowa mateka na kuwaangamiza Hamas
Netanyahu amedai Hamas haitaki makubaliano ya kusitisha mapigano wala kuwaachia mateka wanaoshikiliwa Ukanda wa Gaza.
Trump amtuma tena Witkoff kwenda Moscow
Trump alimtaka Putin awe ameshakomesha vita vyake dhidi ya Ukraine ifikapo Agosti 8.
Watu tisa watekwa nyara kwenye kituo cha mayatima Haiti
Watu tisa wametekwa nyara kutoka kituo cha kulelea mayatima karibu na mji mkuu wa Haiti akiwamo mtoto wa miaka mitatu.
Matangazo ya Mchana: 03.08.2025
Malori ya mafuta yaliyobeba jumla ya tani 107 za dizeli yanatarajiwa kuingia Gaza, miezi kadhaa baada ya Israel kuweka vizuizi vya kuingiza bidhaa na misaada mengine katika ukanda huo wa Gaza +++ Kamanda Mkuu wa jeshi la Iran Amir Hatami amesema vitisho kutoka Israel bado vinaendelea +++ Watu saba wauawa kwenye mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine
02.08.2025 : Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa tulizonazo ni pamoja na : Rwanda na Kongo kuanzisha ushirikiano wa kiuchumi+++++Ufunguzi wa michuano ya Afrika (CHAN) wafanyika leo Jumamosi+++++Mjumbe wa Marekani akutana na familia za mateka wanaoshikiliwa Gaza++++India yasema itaendelea kununua mafuta ya Urusi++++Trump amfukuza kazi mkuu wa idara ya takwimu za ajira.
02.08.2025 : Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zetu mchana huu : Ujerumani yasema hali ya Gaza haivumiliki ++++Trump aamrisha kupelekwa nyambizi za nyuklia baada ya malumbano na rais wa zamani wa Urusi+++++Ukraine yailenga miundombinu ya Urusi katika wimbi jipya la mashambulizi ya droni++++Wachimba migodi haramu 1000 wakamatwa nchini Afrika Kusini.
01.08.2025: Matangazo ya Jioni
Mjumbe Maalum wa Rais wa Marekani anayesimamia maswala ya Mashariki ya Kati, Steve Witkoff, ametembelea kusini mwa Gaza+++Juhudi za kusaka amani ya kudumu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimepata msukumo mpya
01.08.2025: Matangazo ya Mchana
Moshi mwingi umeonekana karibu na Hospitali ya Nasser inayofanya kazi katika Ukanda wa Gaza+++Sekreterieti ya taifa ya CCM, imeamrisha wagombea wote wa udiwani waliopitishwa warejeshwe ili wakapigiwe kura za maoni+++Mjini Kigali, Rwanda, umeanza Mkutano Mkuu wa 20 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki Barani Afrika.
01.08.2025: Matangazo ya Asubuhi
Shinikizo la kimataifa dhidi ya Israel kwa jinsi inavyoendesha vita vyake katika Ukanda wa Gaza linazidi kuongezeka+++Jaribio la serikali ya Marekani kumaliza mzozo wa muda mrefu nchini Sudan limegonga mwamba.
31.07.2025: Matangazo ya Jioni
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Johann Wadephul, amesema Israel inazidi kutengwa kidiplomasia kutokana na mzozo wa kiutu unaoendelea Gaza+++Umoja wa Mataifa limefichua kuwa takriban raia 169 waliuawa mapema mwezi huu katika shambulio la kundi la M23.
31.07.2025: Matangazo ya Mchana
Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney ametangaza kuwa nchi yake inapanga kulitambua rasmi Taifa la Palestina+++Iran imevielezea vikwazo vipya vya Marekani vinavyoilenga sekta ya usafirishaji wa baharini kuwa "vyenye nia ovu"+++Serikali ya Kenya imepinga rasmi sheria mpya za utoaji wa leseni za biashara na hatua za kodi zilizowekwa na Tanzania
Iran yalaani vikwazo vipya ya Marekani
Iran imevilezea vikwazo vipya vya Marekani vinavyoilenga sekta ya usafirishaji wa baharini kuwa "vyenye nia ovu."
31.07.2025: Matangazo ya Asubuhi
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi Ssntenamu, almaarufu kama Bobi Wine amesema mazingira ya kisiasa nchini humo yamekuwa mabaya zaidi+++Rais wa Cameroon Paul Biya tayari ni kiongozi wa serikali mwenye umri mkubwa zaidi ulimwenguni
30.07.2025 Matangazo ya Jioni
Misaada ya kibinadamu inaendelea kuingia Ukanda wa Gaza kwa kasi zaidi ya wiki zilizopita// Makombora ya Urusi yameshambulia kambi ya mafunzo ya kijeshi ya Ukraine katika eneo la Chernihiv// Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 18, ada ya kuingia kwenye hifadhi na mbuga za wanyama nchini Kenya inaongezwa kwa watalii wa kigeni, raia na majirani wa kikanda.
30.07.2025 Matangazo ya Mchana
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito wa kuongezwa kwa msaada wa chakula Gaza, akionya kuwa watoto wanakumbwa na njaa kali//Mawimbi ya tsunami yamepiga Hawaii kufuatia tetemeko kubwa la ardhi katika pwani ya mashariki ya Urusi//Upinzani nchini Ivory Coast umekasirishwa na hatua ya Rais Alassane Outtara ya kutangaza rasmi jana kugombea muhula wa nne katika uchaguzi wa rais mwezi Oktoba.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 30 Julai 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 30 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Tsunami yapiga visiwa vinavyomilikiwa na Urusi, Japan
Tetemeko la ardhi la ukubwa wa 8.7 limeripotiwa nchini Urusi na kuchochea tsunami nchini Japan, Alaska na Hawaii.
Ouattara autaka tena urais kwa awamu ya nne
Ouattara ametangaza nia ya kuwania tena muhula wa nne katika uchaguzi unaofanyika Oktoba.
Urusi yasema iko tayari kwa amani na Ukraine
Ikulu ya Urusi imesema Rais Vladimir Putin ana dhamira ya kweli ya kupatikana amani kati ya nchi yake na Ukraine.
Israel yaripotiwa kuendeleza mashambulizi kusini mwa Syria
Israel imeyashambulia maeneo kadhaa kwenye jimbo la Sweida linalokaliwa na raia wengi wa jamii ya Druze nchini Syria.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 30 Julai 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 30 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Nchi za Kiarabu zaitaka Hamas kuachia madaraka Gaza
Azimio la New York linaitaka Israel kutambua haki ya Wapalestina kuwa na taifa lao kama yalivyo maazimio mengine.
29.07.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mashirika makuu ya misaada ya Umoja wa Mataifa yametoa wito misaada ya kiutu kupelekwa kwa wingi Gaza, huku yakionya kuwa muda umekwisha na kwamba eneo la Palestina liko katika ukingo wa kukumbwa na baa la njaa / Chama tawala CCM kimetangaza majina ya wagombea walioteuliwa kwenye uteuzi wa awali kwa ajili ya kuwania nafasi za ubunge na uwakilishi
Marekani, Umoja wa Ulaya zafikia makubaliano ya ushuru
Marekani na Umoja wa Ulaya zimefikia makubaliano ya kibiashara yanayoshusha ushuru kwa bidhaa za Ulaya hadi asilimia 15.
29.07.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anakutana na Mfalme Abdullah II wa Jordan mjini Berlin / Wafungwa 17 wameuawa baada ya Urusi kufanya shambulio lililolilenga gereza la Bilenkivska katika mkoa wa Zaporizhzhya nchini Ukraine
UN yajadili suluhisho la mataifa mawili huru
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linajadili suluhisho la mataifa mawili ya Israel na Palestina.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 29 Julai 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 29 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 29 Julai 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 29 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Israel yaendesha mauaji ya kimbari Gaza -mashirika ya haki
Mashirika mawili ya haki za binaadamu nchini Israel, yamesema nchi hiyo inaendeleza mauaji ya kimbari huko Gaza.
Rais wa zamani wa Colombia atiwa hatiani kwa ufisadi
Uribe ametiwa hatiani kwa kuwarubuni mashahidi kwenye kesi ya aina yake ya ufisadi dhidi yake.
Mafuriko yauwa watu 34 China
Mvua kubwa na mafuriko yameuwa watu zaidi ya 30 jijini Beijing, na kuifanya idadi ya watu waliopoteza maisha kufikia 34.
Mtu mwenye silaha auwa wanne New York
Watu watano wanaripotiwa kuuawa, akiwemo afisa mmoja wa polisi na mshukiwa wa mauaji aliyekuwa na silaha New York.
Ufaransa yautaka Umoja wa Ulaya kuishinikiza Israel
Paris inasaka kukomeshwa kwa vita katika Ukanda wa Gaza, baada ya kuahidi kulitambua dola la Palestina.
28.07.2025 Matangazo ya Jioni
Licha ya Israel kutangaza usitishwaji kwa muda wa mapigano, makumi ya watu wameripotiwa kuuawa huko Gaza //Wadau kutoka mataifa mbalimbali duniani leo wameshiriki jukwaa la Akili Unde, linalofanyika jijini Dar es Salaam// Baraza la habari Tanzania MCT limesema kwamba linaunda timu ya maalumu ya kidijitali itakayokuwa na jukumu la kuhakiki ukweli wa taarifa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.
Jeshi la Israel lauwa 12 Gaza
Israel imewauwa Wapalestina 12 na kuwajeruhi wengine 20 baada ya kulishambulia jengo lenye makaazi ya watu.
28.07.2025 Matangazo ya Mchana
Hatua ya Israel ya kusitisha mapigano kwa muda wa saa kadhaa huko Gaza imewezesha malori ya misaada zaidi ya 100 kuingia katika Ukanda huo//Mwishoni mwa Juma Chama cha Mapinduzi (CCM) kilifanya Mkutano Mkuu na kufanya mabadiliko ya kuongeza idadi ya majina ya wana CCM wasiozidi watatu kwa kila jimbo la uchaguzi walioomba nafasi za ubunge.
Waasi wa ADF wauwa zaidi ya watu 40 DR Kongo
Zaidi ya watu 40 wameuawa kufuatia mashambulizi yaliyofanya na waasi wa ADF kaskazini mashariki mwa Kongo.
28.07.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 28 Julai 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 28 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Korea Kaskazini yakataa kuendelea na mazungumzo na Kusini
Korea Kaskazini imetangaza kulikataa pendekezo la Korea Kusini la kuendeleza mazungumzo ya amani na ushirikiano.
Viongozi wa Thailand, Cambodia kukutana Malaysia
Viongozi wa Thailand na Cambodia wamepangiwa kuhudhuria mazungumzo ya upatanishi nchini Malaysia.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 28 Julai 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 28 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Urusi yaimiminia tena Ukraine 'mvua ya droni'
Ving'ora vya tahadhari viliwashwa kwenye maeneo mengi ya Ukraine kufuatia mashambulizi mengine makubwa ya droni za Urusi
Matangazo ya Mchana: 27.07.2025
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 152
Ukurasa unaofuatia