You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Shambulio la Israel kwenye shule ya Gaza lalaaniwa kimataifa
Umoja wa Ulaya, Misri na Qatar zalaani shambulio hilo la Jumamosi lililoua watu 100 kwa mujibu wa watawala wa Gaza.
Matangazo ya Mchana: 10.08.2024
Hamas: Shambulizi la Israel kwenye shule liliua watu zaidi ya 100. Muhammad Yunus atoa wito wa kuungana kuijenga upya Bangladesh. Urusi yajibu mashambulizi ya Ukraine kwa kuanzisha operesheni ya kijeshi katika maeneo matatu ya Kiev
Vladimir Putin aitawala Urusi kwa miaka 25
Putin amekuwa akisema kuwa Urusi ilikuwa na ingesalia kuwa nguvu kubwa huku akijaribu kuijenga upya Urusi.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 10 Agosti 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 10 Agosti 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 10 Agosti 2024
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 10 Agosti 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Wanajeshi wa Marekani washambuliwa Syria
Vikosi vya Marekani nchini Syria vimeshambuliwa kwa ndege isiyo rubani, ingawa hadi sasa hakuna taarifa za majeruhi.
Mahakama yaruhusu udukuzi wa simu Munich
Mahakama imetupilia mbali malalamiko dhidi ya udukuzi wa mazungumzo ya simu za wanaharakati wa mazingira.
Mali yamfukuza balozi wa Sweden
Mali imemtaka balozi wa Sweden kuondoka mara moja baada ya matamshi mabaya dhidi ya Bamako.
Maduro akataa kukimbia Venezuela
Rais Nicolas Maduro amelikataa pendekezo la Rais Jose Raul Mulino wa Panama la kukimbilia nchi salama.
Urusi yatuma vifaru kusini kukabiliana na Ukraine
Urusi imetuma vifaru zaidi, makombora na mifumo ya ulinzi kwenye mkoa wake wa kusini wa Kursk.
09.08.2024 - Matangazo ya Jioni
Umoja wa Ulaya umesema kuna haja ya kuwepo makubaliano ya kusitisha mara moja mapigano huko Gaza+++Serikali ya Tanzania imeendelea kuingia katika mizozo na kampuni za kigeni, baada ya kampuni moja ya uwekezaji wa gesi ya Orca Energy Group kutaka ilipwe Dola za Marekani bilioni 1.2
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yaliyoandikwa na magazeti ya Ujerumani kuhusu bara la Afrika mnamo wiki hii ni pamoja na hatua iliyochukuliwa na Mali ya kuvunja uhusiano wa kibalozi na Ukraine. Gazeti la Neue Zürcher limezunguzia juu ya hali ya nchini Sudan. Gazeti la Die Welt limearifu juu ya uamuzi wa Waziri Mkuu wa Uingereza wa kulisimamisha zoezi la kupelekwa wakimbizi nchini Rwanda.
09.08.2024 - Matangazo ya Mchana
Mhakama ya Kijeshi Jamuhuru ya Kidemokrasia ya Kongo imewashtaki Nangaa na washtakiwa wengine 15 kwa makosa ya uhalifu wa kivita, kushiriki katika vuguvugu la uasi na uhaini+++Nchini Tanzania Tundu Lissu ametoa matamshi yanayoashiria kuwa mambo siyo shwari ndani ya CHADEMA
09.08.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Rais Vladimir Putin ameiongoza Urusi kwa robo karne, hii ikimaanisha amekuwa madarakani kwa miaka 25, na hadi leo hii hakuna dalili zozote kwamba utawala wake unakaribia mwisho+++Watu wasiopungua 100 wakiwemo wanafunzi walitekwa nyara kwa ajili ya kulipwa fidia ya kikomboleo katika mikoa tete nchini Ethiopia
09.08.2024 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakipambana na vikosi vya Ukraine kwenye mkoa wa mpakani wa Kursk+++Wapiganaji wa Kihouthi wamefanya mashambulizi mawili tafauti dhidi ya meli moja kwenye Mlango Bahari wa Bab-el-Mandeb+++Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesaini azimio la kuufungia mtandao wa kijamii wa X kwa siku 10 wakiutuhumu kuchochea machafuko
Moroko yaibwaga Misri soka la Olimpiki
Wamoroko waliwabwaga mahasimu wao, Misri, mabao 6 bila. Mabao mawili kati ya hayo yaliwekwa kimiani na Soufiane Rahimi.
Polisi ya Kenya yapambana kuwadhibiti waandamanaji
Polisi nchini Kenya walilazimika kutumia mabomu ya machozi kukabiliana na waandamanaji mjini Nairobi.
08.08.2024 - Matangazo ya Jioni
Kiongozi wa serikali ya mpito ya Bangladesh Muhammad Yunus amewasili nchini humo leo akitokea Ufaransa+++Mataifa ya Magharibi yamelaani matamshi ya Waziri wa fedha wa Israel aliyosema kuwa ni "haki" kusababisha njaa kwa Wapalestina milioni mbili huko Gaza hadi watakaporejeshwa nyumbani mateka ambao bado wanashikiliwa na kundi la Hamas
Changamoto za uzazi wa mpango nchini Sudan Kusini
Makala ya afya yako inatizama changamoto za upangaji uzazi kwa kundi kubwa la wanawake na wasichana wa Sudan Kusini.
Ukatili wa kingono katika vita vya Sudan
Mbiu ya Mnyonge hivi leo inalia na wanawake wa Sudan wanaoandamwa na ukatili wa kingono katikati mwa balaa la vita.
Matamshi ya Waziri wa Israel yakosolewa na nchi za Magharibi
Mataifa ya Magharibi yamebainisha kuwa kusababisha njaa ya makusudi kwa raia ni uhalifu wa kivita.
HRW: Jeshi la Chad lilihusika na vifo vya waandamanaji
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema Chad lilihusika na vifo vya watu Oktoba 2022.
Uagizaji gesi ya Urusi nchini Ufaransa waongezeka maradufu
Usafirishaji wa gesi asilia kutoka Urusi kwenda Ufaransa umeongezeka zaidi ya maradufu nusu ya kwanza ya mwaka huu.
Hofu yatanda kufuatia mlipuko mpya wa homa ya nyani
Miaka miwili tangu mlipuko wa mpox, sasa hofu imetandaugonjwa huo naweza kuenea zaidi nchi jirani na Kongo.
Israel yaapa kumwangamiza kiongozi mpya wa Hamas
Kiongozi mpya wa Hamas anayelengwa ni Yahya Sinwar aliyechaguliwa hivi majuzi kuchukua nafasi ya Ismail Haniyeh.
08.08.2024 - Matangazo ya Mchana
Israel imeapa kumuangamiza Kiongozi mpya wa Hamas na kusema imejiandaa kikamilifu kukabiliana na mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran+++Nchini Kenya maandamano mapya ya nchi nzima ya nanenane yaliyoitishwa na vijana maarufu kama Gen-Z yanaendelea kwenye maeneo mbalimbali nchini humo
Rais wa Tunisia amfuta kazi waziri mkuu
Saied amemfuta kazi waziri mkuu wake, Ahmed Hachani, na kumteuwa Kamel Madouri bila kutoa maelezo yoyote.
Maandamano ya vurugu Uingereza
Uingereza inakabiliwa na maandamano ya vurugu kufuatia mauaji ya wasichana watatu mnamo Julai 29 huko Southport. Washiwishi wa mitandaoni wenye mafungamano na itikadi za siasa kali za mrengo wa kulia walizagaza uvumi kuhusu mhusika wa mauaji hayo na kusema ni muislamu mwenye itikadi kali aliyewasili Uingereza hivi karibuni, na hivyo kuchochea chuki dhidi ya wahamiaji na waislamu nchini humo.
08.08.2024 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 8 Agosti 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
08.08.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo za Dunia Yetu Leo Asubuhi 8 Agosti 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Bangladesh kuunda serikali mpya ya mpito
Serikali hiyo inaundwa kufuatia maandamano ya wanafunzi yaliyomng'owa madarakani Waziri Mkuu Sheikh Hasina.
Vikosi vya Ukraine vyajipenyeza ndani ya Urusi
Urusi inakabiliana na vikosi vya Ukraine baada ya vikosi hivyo kufanikiwa kujipenyeza ndani ya mpaka wa kusini.
Gonzalez atiwa hatiani Venezuela
Mahakama ya Juu ya Venezuela imemtia hatiani Gonzalez kwa kukiuka amri halali ya mahakama hiyo.
Puigdemont atangaza kurudi Catalonia
Catalonia ndilo tajiri kabisa kaskazini mwa Uhispania.
Bulgaria yapiga marufuku uhamasishaji LGBTQ+ skuli
Serikali ya Bulgaria imetangaza marufuku ya ujumbe wowote wenye maudhui ya mapenzi ya jinsia moja kwenye skuli.
07.08.2024 Matangazo ya Jioni
Mshindi wa tuzo ya amani ya Nobeli Muhammad Yunus, ambaye anatazamiwa kuongoza serikali ya mpito ya Bangladesh anatarajiwa kuapishwa kesho mjini Dhaka+++Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Antony Blinken amesema kiongozi mkuu mpya wa Hamas aliyechaguliwa na kundi hilo ana mamlaka ya kuhakikisha makubaliano ya kusitisha mapigano yanapatikana
Wimbi la joto kali lazusha kizaazaa kila kona ya dunia
Wafanyakazi bilioni 2.41 duniani ambao ni asilimia 70 ya nguvu kazi ya ulimwengu, wanakabiliwa na joto kali.
Wanasiasa wajadili dhima Ujerumani kwa Mashariki ya Kati
Wanasiasa nchini Ujerumani wanajadili juu ya jeshi la Ujerumani kuhusika moja kwa moja kwenye eneo la Mashariki ya Kati.
07.08.2024 - Matangazo ya Mchana
Viongozi wa maandamano ya Bangladesh wamesema wanatarajia kuwa mchakato wa baraza la serikali ya mpito+++Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi amemshutumu rais wa zamani Joseph Kabila kwa kuunga mkono muungano wa makundi ya waasi
07.08.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Wanasiasa nchini Ujerumani wanajadili juu ya jeshi la Ujerumani kuhusika moja kwa moja kwenye eneo la Mashariki ya Kati+++Wanawake wa Afghanistan wanakabiliwa na adhabu ya kifungo wanapokiuka maadili ya utawala wa Taliban. Ripoti zinaashiria kuwa wanawake hao wanapokuwa magerezani hunyanyaswa na kudhalilishwa kingono.
Taarifa ya habari ya asubuhi 07.08.2024
Kundi la wanamgambo la Hamas lamtangaza kiongozi mpya // Rais wa Kongo Felix Tshisekedi amshutumu rais wa zamani Joseph Kabila kwa kuunga mkono muungano wa makundi ya waasi // Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ajitokeza kwa mara ya kwanza jukwaani akiwa na mgombea mwenza Tim Walz.
06.08.2024 - Matangazo ya Jioni
Baada ya rais wa Bangladesh Mohammed Shahabuddin kulivunja bunge, Ofisi yake imetangaza kuwa imemuachia huru aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na kiongozi wa chama cha upinzani cha BNP, Begum Khaleda Zia+++Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris, amemtangaza gavana wa Minnesota Tim Walz kama mgombea mwenza wake katika mbio za kuwania kiti cha urais
06.08.2024 Matangazo ya Mchana
Wapalestina watano wameuawa na wengine saba wamejeruhiwa kwa mashambulizi ya jeshi la Israel yaliyofanyika katika Ukingo wa Magharibi, wakati ambapo viongozi mbalimbali ulimwenguni wakijaribu kuzuia mvutano usiongezeke+++Maafisa mjini Hiroshima nchini Japan leo wamewataka viongozi wa dunia kuacha kutumia silaha za nyuklia kama kigezo cha kuzua hofu
06.08.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Kamala Harris anajiandaa kwa vita vya maisha yake, kama yatazingatiwa yanayoendelea ndani ya kambi yake ya kampeni+++Waathiriwa wa machafuko ya kikabila katika jimbo la Marsabit nchini Kenya, wanaoishi kama wakimbizi wa ndani, wanaitaka serikali kuanza kuwapa ushauri wa kisaikolojia kwani wengi wao wanapitia matatizo kadhaa ikiwemo kukumbwa na kiwewe
Taarifa ya habari ya asubuhi 06.08.2024
Rais Joe Biden na Mfalme wa Jordan wafanya mazungumzo kwa njia ya simu kuhusu mzozo Mashariki ya Kati. +++Mataifa ya Magharibi yatoa wito wa utulivu nchini Bangladesh baada ya kiongozi wake kukimbia nchi.++Jeshi la Marekani lakamilisha zoezi la kuwaondoa wanajeshi wake Niger.
05.08.2024 - Matangazo ya Jioni
Muda mfupi baada ya waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina kujiuzulu, Mkuu wa majeshi Jenerali Waker-uz-Zaman ametangaza "kuchukua majukumu kamili"+++Takriban maafisa 100 wa polisi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia katika nchi jirani ya Uganda mwishoni mwa wiki iliyopita huku mapigano kati ya waasi wa M23 na jeshi mashariki mwa Kongo yakiongezeka.
Iran: "Tunayo haki kisheria" ya kuiadhibu Israel
Iran imesema kuiadhibu Israel itasaidia kuimarisha hali ya utulivu huko Mashariki ya Kati.
Asasi za kiraia zapambana na ugaidi licha ya kushutumiwa
Asasi za kiraia za kusini mwa jangwa la Sahara zinachangia kupambana na ufadhili wa ugaidi licha ya zenyewe kutuhumiwa.
Uturuki kuzungumza na Instagram baada ya kuifungia
Uturuki imesema itazungumza na maafisa wa mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya mtandao huo kufungwa wiki iliyopita.
Jeshi kuunda serikali ya mpito Bangladesh
Mkuu wa majeshi amesema jeshi litaunda serikali ya mpito baada ya Waziri Mkuu Sheikh Hasina kujiuzulu na kuikimbia nchi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 36 wa 153
Ukurasa unaofuatia