You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kamala kutoa hotuba ya aina yake kukubali uteuzi
Hotuba hiyo inatazamiwa kutoa muelekeo wa uongozi wake endapo wapigakura watampa idhini ya kuiongoza Marekani.
22.08.2024 - Matangazo ya Mchana
Gavana wa Minnesota Tim Walz amekubali uteuzi wa kuwania umakamu wa rais wa Marekani kupitia chama cha Democrat+++Wizara ya Afya Tanzania, imeanza ufuatiliaji wa kina wa kuzuia maambukizi ya Mpox kwa kuwachunguza wasafiri wanaongia na kutoka nchini.
22.08.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Wakati mazungumzo yanayolenga kusitisha mapigano Gaza yakiendelea, wapatanishi kutoka Qatar wako katika harakati nyengine kujaribu kutatua mizozo mingine inayoendelea ulimwenguni+++Kampuni za kutengeneza chanjo ya Mpox zinautazama ugonjwa huo kama fursa ya kupata faida.
22.08.2024 Taarifa ya Habari Asubuhi
Mgombea mwenza wa urais nchini Marekani Tim Walz kuuhutubia mkutano mkuu wa chama cha Democratic // Rais Putin wa Urusi akutana na waziri mkuu wa China Li Qiang huku Moscow na Beijing zikiimarisha mahusiano yao // Na Jeshi la Israel lathibitisha kumuua kamanda wa kundi la kijeshi la Fatah
21.08.2024 Matangazo ya Jioni
Mkutano wa 59 wa bodi ya baraza la nyaraka, unaozihusisha nchi za mashariki na kusini mwa Afrika unaofanyika Arusha Tanzania+ Serikali ya Ujerumani imetangaza kupeleka maabara ya kuhamishika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+Mataifa ya Jumuiya ya Maendeleo Pembe ya Afrika (IGAD) yameanzisha mpango mahsusi wa pamoja kupitia upya sera zaozinazohusu upatikanaji wa chakula cha kutosha.
Israel yamuua afisa mwandamizi wa Fatah
Hayo yanajiri wakati mazungumzo ya kusitisha mapigano huko Gaza yakionekana kukwama.
Obama na mkewe wampigia upatu Kamala Harris kuwa rais
Barack Obama na mkewe Michelle wamempigia debe Kamala Harris kuwa anatosha kuiongoza nchi hiyo.
21.08.2024 Matangazo ya Mchana
Mpox:Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inakabiliwa na dharura kubwa ya kiafya+Maafisa watano wa polisi wa Kenya wamefikishwa mahakamani leo+Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle wamehutubia mkutano mkuu wa chama cha Democratic usiku wa kuamkia leo
20.08.2024 - Matangazo ya Jioni
Mkutano mkuu wa chama cha Democratic unaofanyika mjini Chicago Marekani unaingia siku ya pili hii leo. Rais mstaafu Barack Obama, ambaye ni mmoja kati ya viongozi wenye ushawishi ndani ya chama hicho anatarajiwa pia kuhutubia mkutano huo+++Shirika la Afya Duniani, WHO limesema kuwa homa ya nyani, mpox sio janga jingine jipya kama ilivyokuwa COVID-19
20.08.2024 - Matangazo ya Mchana
Maambukizi ya ugonjwa wa homa ya nyani, Mpox yanaongezeka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika wakati taifa hilo linasubiri chanjo za msaada kutoka Marekani na Japan+++Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amesema Israel imekubali pendekezo la kupunguza tofauti zinazokwamisha usitishaji vita na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa Gaza
19.08.2024 Matangazo ya Jioni
Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Jerusalem+Zaidi ya visa 200 vya homa ya Monkeypox vimeripotiwa katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasis ya Kongo+Polisi ya Tanzania leo imewafikisha mahakamani wanaume wanne wanaotuhumiwa kumbaka na kumlawiti msichana mmoja
Mkutano mkuu wa Democratic kuanza
Makamu wa Rais Kamala Harris alitarajiwa kukubali rasmi uteuzi wa kuwania urais kwenye uchaguzi wa Novemba.
Wanawake na Maendeleo: Jeniffer Shigoli mtetezi wa haki za wanawake na mabinti
Jeniffer Richard Shigoli ni mwanaharakati anaesimamia masuala ya usawa wa kijinsia kupitia kampeni yake ya 'Binti Huru' anawasaidia watoto wa kike walio shuleni waweze kuepukana na vikwazo vitokanavyo na hedhi sabamba na kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wanawake walio katika mazingira duni ili waweze kuepukana na umasikini.
19.08.2024 Matangazo ya Mchana
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken leo ametoa mwito kwa Israel na Hamas kutovuruga mazungumzo yanaweza kuwa ni fursa ya mwisho ya kupatikana mwafaka wa vita vya Gaza+Dunia inaadhimisha hivi leo Siku ya Huduma za Kibinaadamu huku Umoja wa Mataifa ukisema kuwa wafanyakazi waliouawa kwenye maeneo yenye migogoro duniani mwaka uliopita ilivunja rikodi
Wafanyakazi 280 wa huduma za kiutu waliuawa 2023 - OCHA
Umoja wa Mataifa unasema wafanyakazi waliouawa kwenye maeneo yenye migogoro duniani mwaka 2023 ilivunja rikodi.
Matangazo ya Jioni: 17.08.2024
Ukraine yasema inaimarisha nafasi ya vikosi vyake nchini Urusi. Israel yasema kamanda wa kitengo cha kundi la Hezbollah auawa katika shambulizi la anga kusini mwa Lebanon. Wanakijiji 16 wauawa na wengine 20 kutekwa nyara kaskazini mashariki mwa Kongo
Ulaya kuzalisha chanjo zaidi za virusi vya Mpox
Ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) sasa umetangazwa na WHO kuwa dharura ya kimataifa ya afya ya umma.
Matangazo ya Mchana: 17.08.2024
Takriban watu 10 wauawa katika shambulizi la bomu la Israel kusini mwa Lebanon. Zaidi ya maambukizi 18,700 ya mpox yagunduliwa barani Afrika tangu Januari. Madaktari nchini India wafanya mgomo wa kitaifa kulalamika dhidi ya mauaji ya mwenzao
17.08.2024: Taarifa ya habari ya Asubuhi
Miongoni mwa tuliyonayo kwenye taarifa ya habari ni Shirika la Afya Ulimwenguni lasema kufungwa mipaka pekee hakutavizuia virusi vya mpox kusambaa, Balozi wa Ujerumani nchini Urusi asema Moscow haina mpango wa mazungumzo ya amani na Ukraine Na Wanafunzi 20 wa vyuo vikuu nchini Nigeria watekwa na watu wenye silaha.
16.08.2024 - Matangazo ya Jioni
Umoja wa Mataifa umeomba mapigano yasitishwe kwa muda katika kipindi cha siku saba kwenye Ukanda wa Gaza+++Jeshi la Ukraine limesema vikosi vya Urusi vinaendelea kuushambulia mkoa wa Donbas
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
16.08.2024 - Matangazo ya Mchana
Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimejipanga kwenda mahakama kuishitaki serikali kwa kuruhusu uchaguzi huo kusimamiwa na wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa badala ya tume ya uchaguzi+++Juhudi za kimataifa za kuzuia vita vya Gaza zinaendelea wakati wasuluhishi wa kimataifa wakiingia katika siku ya pili ya mazungumzo mjini Doha nchini Qatar.
16.08.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Tathmini mpya iliyochapishwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia watoto UNICEF, inaonesha mamilioni ya watoto duniani wanaishi kwenye maeneo yanayoshuhudia viwango vya juu vya joto+++Shirika la kimataifa la kutetea Haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuna matumaini mapya ya kupatikana haki ya waathiriwa wa mashambulio kwenye kambi ya wakimbizi ya Gatumba nchini Burundi
16.08.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa tuliyonayo ni Sweden yatangaza kisa cha kwanza cha homa ya nyani kilichogundulika nje ya Afrika, Ukraine na Urusi zaendelea kushambuliana katika eneo la Kursk na Marekani yaidhinisha kuiuzia Ujerumani makombora zaidi ya 600 ya Patriot
15.08.2024 - Matangazo ya Jioni
Mkuu wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa barani Afrika, CDC, Jean Kaseya, ameelezea kuwa kirusi cha Mpox ama homa ya nyani kwa sasa kimevuka mipaka na kimewaathiri maelfu ya watu katika bara la Afrika+++Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema leo vikosi vya nchi yake vimechukua udhibiti kamili wa mji mdogo wa Sudzha uliopo kwenye mkoa wa mpakani wa Urusi wa Kursk
Zelenskyy asema vikosi vya Ukraine vimeukamata mji wa Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema vikosi vya nchi yake vimechukua udhibiti kamili wa mji wa Urusi wa Sudzha.
Vifo vyapindukia 40,000 Gaza
UN: " Hali hii isiyoweza kufikirika imetokea kutokana na kushindwa kwa Jeshi la Israel kutekeleza kanuni za vita."
Ukraine yakanusha kuhusika kulipua bomba la Nord Stream 2
Ukraine imekanusha kuhusika na mashambulizi yaliyoharibu bomba kubwa la kusafirisha gesi la Nord Stream 2.
15.08.2024 - Matangazo ya Mchana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, jana amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri+++Wapatanishi wa kimataifa wanatarajiwa kuanzisha duru mpya ya mazungumzo hivi leo kwa lengo la kusitisha vita kati ya Israel na kundi la Hamas.
Vita vya Gaza: Duru mpya ya mazungumzo kuanza mjini Doha
Mazungumzo hayo yanafanyika katika wakati ambapo vita vinaendelea katika Ukanda wa Gaza na vifo vikikaribia 40,000.
15.08.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Wakati utawala wa Taliban ukitimiza miaka mitatu madarakani, serikali ya kundi hilo imepata mafanikio kiasi ya kidiplomasia+++Visa vya dhulma kwa watoto vimeongezeka maradufu katika eneo la Moyale mpakani mwa Kenya na Ethiopia tangu shughuli za uchimbaji katika mgodi wa Dabel kuanza mapema mwaka huu
14.08.2024 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Salva Kiir wa Sudan anaongoza mazungumzo ya uchaguzi wa Sudan Kusini/ Ukraine imesema inadhibiti maeneo 74 ya makaazi katika mkoa huo wa Kursk wa Urusi.
Urusi na Ukraine zaendelea kupambana vikali huko Kursk
Ukraine imesema inadhibiti maeneo 74 ya makaazi katika mkoa huo wa Kursk wa Urusi.
Vijana Mchaka Mchaka - Shauku ya kupokea mshahara wa kwanza
Makala ya Vijana Mchaka Mchaka inamulika shauku ya vijana ya kupokea mshahara wa kwanza na umuhimu wa kuuwekea malengo.
14.08.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wapalestina watano wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel na kwenye msako uliofanyika Ukingo wa Magharibi/ Watu wanane wameuawa kwa kupigwa risasi kabla ya miili yao kuteketezwa kwa moto eneo la Forolle mpakani mwa Kenya na Ethiopia katika jimbo la Marsabit
Urusi, Ukraine mambo yazidi kuwa mabaya
Urusi imeishambulia miundombinu ya nishani ya Ukraine wakati mashambulizi ya Ukraine yakiendelea mkoa wa Kursk.
13.08.2024 - Matangazo ya Jioni
Wakati Urusi ikiwahamisha maelfu ya raia wake kutoka eneo la Kursk lililovamiwa na wanajeshi wa Ukraine hivi karibuni, Kyiv imesema haina nia ya kulitwaa eneo+++Mashtaka ya mauaji yamefunguliwa dhidi ya aliyekuwa waziri mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina na maafisa wengine wa serikali yake iliyoangushwa juu ya mauaji ya mmiliki mmoja wa duka la mboga, Abu Saeedc
13.08.2024 - Matangazo ya Mchana
Tofauti iliyojitokeza kati ya Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na iliyopelekea Zambia kufunga mipaka yake, sasa imetatuliwa+++Iran imeukataa wito uliotolewa na mataifa ya Magharibi wa kuacha vitisho vyake vya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh
Urusi na Ukraine zaendelea kushambuliana
Ukraine imefanya mashambulizi mapya ya droni siku ya Jumanne katika eneo la Kursk la Urusi, linalopakana na Ukraine.
13.08.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Umoja wa Mataifa, Mashirika ya kutetea haki za binaadamu ndani ya Palestina na Israel na vyombo vya habari vimekuwa vikitoa tahadhari ya madai kuhusu unyanyasaji kijinsia, mateso makali kwa Wapalestina wanaozuiliwa katika magereza ya Israel+++Wakaazi wa Sudan wanasema wanamgambo wa kikosi maalum cha RSF wanapora vijiji na kusababisha machafuko kwenye maeneo ya kilimo
12.08.2024 - Matangazo ya Jioni
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimelaani vikali hatua ya kukamatwa na polisi viongozi wake wa ngazi ya juu huku kikilitaka jeshi hilo kuwaachia mara moja+++Ulimwengu unaadhimisha Siku ya Vijana kila Agosti 12. Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vijana wamekutana mjini Bukavu katika hafla kubwa ya fikra kuhusu mchango wa vijana katika ujenzi wa amani na maendeleo ya kudumu
12.08.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema amani ya kikanda ni "kipaumbele chake" wakati anapoanza muhula mwingine wa uongozi/ Tanzania yawakamata viongozi wakuu wa upinzani
12.08.2024 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
Matangazo ya Jioni: 11.08.2024
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameapishwa Jumapili 11/08/24 kuhudumu muhula wa nne madarakani. Mamia ya Wapalestina wakimbia makaazi yao baada ya jeshi la Israel kuwaamuru waondoke Khan Younis. Urusi yakiri kuwa vikosi vya Ukraine vimefanya mashambulio ndani ya ardhi ya Urusi. Zaidi ya watu 10 wafariki baada ya mrundo wa taka kuporomoka mjini Kampala.
11.08.2024 Matangazo ya mchana
Sikiliza matangazo ya Dunia Yetu Leo Mchana 11 Agosti 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Paul Kagame kuapishwa leo baada ya ushindi wa kishindo
Viongozi kadhaa barani Afrika wanatarajiwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Kagame.
Waandamanaji wanaopinga ubaguzi wajitokeza barabarani London
Maandamano kama hayo ya kupinga ubaguzi wa rangi na uislamu pia yalifanyika siku ya Jumatano.
Uchunguzi unafanyika kutambua wahanga wa ajali ya ndege
Miili ya rubani mkuu na msaidizi wake ilikuwa ya kwanza kutambuliwa na wataalamu hao wa vinasaba.
Matangazo ya Jioni: 10.08.2024
Ifahamu Dunia Yetu leo Jioni
Shambulio la Israel kwenye shule ya Gaza lalaaniwa kimataifa
Umoja wa Ulaya, Misri na Qatar zalaani shambulio hilo la Jumamosi lililoua watu 100 kwa mujibu wa watawala wa Gaza.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 35 wa 153
Ukurasa unaofuatia