You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Bunge la Kenya lapokea hoja ya kumuondosha makamu wa rais
Uhusiano kati ya Rais William Ruto na makamu wake huyo umeonekana kuvurugika kwa muda na sasa bunge limeingilia kati.
Kongo yaishitaki Rwanda kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki
Kongo inasema ina imani kwamba Mahakama ya Afrika Mashariki itatenda haki kwenye shauri lake dhidi ya Rwanda.
Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuuzuliwa makamu wa rais
Bunge la Kenya limepokea hoja ya kumuondowa madarakani Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kwa madai ya kukiuka katiba.
Mwanamke wa Kichina akamatwa Ujerumani kwa ujasusi
Mwanamke mmoja raia wa China amekamatwa Ujerumani akishukiwa kufanya ujasusi juu ya usafirishaji wa silaha.
Amenya asema maisha yako hatarini
Nelson Amenya amesema anakhofia uhai wake na kwamba maisha yake yako hatarini.
Mashambulizi ya Urusi yaua sita Ukraine
Urusi umelishambulia soko moja la mji wa kusini mwa Ukraine wa Kherson na kuuwa watu sita na kuwajeruhi wengine watatu.
Mgombea urais Tunisia ahukumiwa miaka 12 jela
Mgombea uraisi nchini Tunisia amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela baada ya kutiwa hatiani kwenye mashitaka manne
Gabon, Guinea ya Ikweta zachuana mbele ya ICJ
Gabon inaitaka ICJ kuitaka Guinea ya Ikweza kuachana na madai ya umiliki wa visiwa vyenye utajiri wa mafuta.
Bima ya afya ya umma yaanza Kenya
Wakenya wanafungua ukurasa mpya baada ya bima mpya ya afya kuanza kutumika leo.
01.10.2024 - Matangazo ya Mchana
Jeshi la Israel limeanza leo kile ilichokitaja kuwa "oparesheni ndogo ya ardhini" nchini Lebanon saa kadhaa baada ya wanajeshi wake kuvuka mpaka na kuingia taifa hilo jirani la upande wa kaskazini+++Wakenya wanafungua ukurasa mpya baada ya bima mpya ya afya kuanza kutumika leo.
Israel yaingia kijeshi Lebanon "kuisambaratisha Hezbollah"
Jeshi la Israel limeanza leo kile ilichokitaja kuwa "oparesheni ndogo ya ardhini" nchini Lebanon.
Daktari wa zamani wa Rwanda apandishwa mahakamani Paris
Daktari wa zamani nchini Rwanda anafikishwa mahakamani nchini Ufaransa kwa tuhuma za mauaji ya kimbari ya Rwanda.
Wabunge wa upinzani wavuruga kikao Albania
Wabunge wa kambi ya upinzani nchini Albania wamekivuruga kikao cha bunge kupinga mwenzao kufungwa jela.
Watu 600 hawajulikani walipo North Carolina
Jimbo la North Carolina nchini Marekani ni miongoni mwa maeneo yaliyoharibiwa vibaya na Kimbunga Helena.
Umoja wa Mataifa waongeza muda wa kikosi cha polisi Haiti
Umoja wa Mataifa umekiidhinisha kikosi cha polisi wa kimataifa kusalia nchini Haiti kwa mwaka mmoja zaidi.
Israel yapeleka wanajeshi wa ardhini Lebanon
Wanajeshi wa Israel wameanzisha kile wanachosema ni operesheni maalum ya ardhini nchini Lebanon.
Nilikuwa mfungwa wa kisiasa - Assange
Julian Assange ameaiambia Kamati ya Haki za Binaadamu ya Baraza la Ulaya kwamba muda wote alikuwa mfungwa wa kisiasa.
Rutte aanza kazi ya ukatibu mkuu wa NATO
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uholanzi, Mark Rutte, ameanza rasmi kazi yake mpya ya ukatibu mkuu wa Jumuiya ya NATO.
Msumbiji kupiga kura Oktoba 9
Wapigakura nchini Msumbiji watashiriki zoezi la uchaguzi wa rais na bunge mnamo tarehe 9 Oktoba.
MSF yawatibu wahanga wengi wa ubakaji Kongo
MSF imesema imewatibu idadi kubwa ya wahanga wa ubakaji mwaka jana katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Conservative wasaka uongozi mpya
Uhamiaji ndilo suala kuu kwenye mjadala wa kumsaka kiongozi mpya wa chama cha Conservative.
Huyu ndiye mkuu mpya wa NATO
Rutte anachukuwa nafasi ya Mnorway, Jens Stoltenberg, ambaye alihudumu kwenye nafasi hiyo kwa muongo mmoja.
01.10.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Jumuiya ya kujihami ya NATO itakuwa na kiongozi mpya kuanzia leo Oktoba mosi. Mark Rutte, Waziri Mkuu wa zamani wa Uholanzi anachukua nafasi ya Jens Stoltenberg+++Uamuzi wa Rais Joe Biden wa kuizuru Angola katika safari yake ya kwanza Barani Afrika, unaonesha ushawishi
01.10.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Korea Kaskazini yaikosoa Marekani na washirika wake kwa uchochezi katika eneo la Asia Pasifiki. Ukraine yavunjwa moyo na hatua ya Uswisi kuunga mkono mpango wa amani uliopendekezwa na China na Brazil. Na nyota wa mchezo wa kikapu raia wa Congo na Marekani Dikembe Mutombo aaga dunia.
Korea Kaskazini yaikosoa Marekani kuhusu Asia Pasifiki
Marekani imekosolewa kwa kuutumia vibaya Umoja wa Mataifa kwa masilahi binafsi.
Ukraine yavunjwa moyo na Uswisi kuhusu mpango wa amani
Marekani na washirika wake wa Ulaya wameukataa mpango huo
Marekani yaridhishwa na usambazaji misaada Sudan
Sudan inakabiliwa na vita tangu Aprili 2023 na maalfu ya watu wameuwawa na wengine kulazimika kuyahama makazi yao.
Mshukiwa anayetuhumiwa kutaka kumuua Trump asema hana hatia
Trump hakujeruhiwa katika jaribio la pili la kutaka kumuua.
Biden kulitembelea jimbo la North Carolina
Kimbunga kilikuwa kikubwa kilipopiga Florida kabla kufanya uharibifu Georgia, North Carolina na South Carolina.
Nyota wa mpira wa kikapu Dikembe Mutombo aaga dunia
Tangazo la kifo cha Dikembe limetolewa jana Jumatatu na ligi ya NBA.
Safari za ndege kufutwa katika viwanja vya Brussels
Abiria walioathiriwa watapata mawasiliano kutoka kwa mashirika ya ndege wanayosafiria.
30.09.2024- Matangazo ya Jioni
Watuhumiwa wanne walioshitakiwa kwa kosa la kumbaka na kumuuingilia kinyume cha maumbile binti mmoja wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam Tanzania wamehukumiwa kifungo cha maisha jela+++Hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa kuhitimishwa baadae leo mjini New York Marekani+++Serikali ya Lebanon yasema ipo tayari kuchukua hatua ili kuvimaliza vita na Israel.
Wabakaji Bint wa Yombo wafungwa maisha, faini milioni moja
Hukumu hiyo ilitolewa siku ya Jumatatu (Septemba 30) katika mahakama ya Hakimu Mkaazi jijini Dodoma.
Thuluthi mbili ya majengo ya Gaza yameharibiwa - UM
Thuluthi mbili ya majengo yameharibiwa kwenye Ukanda wa Gaza tangu kuanza vita mnamo mwezi wa Oktoba mwaka uliopita.
Wabunge wa Ujerumani wataka kuipiga marufuku AfD
Wabunge kadhaa wa Ujerumani wanatafakari kuiunga mkono hoja ya kukipiga marufuku chama cha mrengo mkali wa kulia, AfD.
Bunge la Mashariki mwa Libya laidhinisha gavana mpya
Bunge la mashariki mwa Libya limeidhinisha uteuzi wa Najib Belqasem kuwa gavana mpya wa benki kuu ya nchi hiyo.
Watunisia 12 wafa maji wakikimbilia Ulaya
Raia 12 wa Tunisia wamekufa maji baada ya mashua yao kuzama katika pwani ya kusini mashariki leo alfajiri.
Rutte kuanza uongozi wa NATO
Waziri mkuu wa zamani wa Uholanzi, Mark Rutte, anatarajiwa kuchukua hatamu ya ukatibu mkuu wa Jumuiya ya Kijeshi ya NATO
Serikali ya Lebanon yakubali kuwaondoa Hizbullah kusini
Kaimu Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati amesema serikali yake iko tayari kuchukuwa nafasi ya kundi la Hizbullah.
Guinea ya Ikweta yaiomba ICJ kuyakataa madai ya Gabon
Guinea ya Ikweta imeitaka ICJ kuyakataa madai ya Gabon juu ya umiliki wa visiwa kadhaa kwenye eneo lao.
30.09.2024 - Matangazo ya Mchana
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya raia 100,000 wa Lebanon wamekimbilia nchini Syria wakati Israel ikiendeleza mashambulizi yake nchini humo+++Watu sita wameripotiwa kufariki dunia nchini Rwanda kufuatia mlipuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg+++Jeshi la Sudan limekanusha madai yaliyotolewa na jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu kuwa walishambulia makazi ya ubalozi mjini Khartoum.
Wafugaji wa samaki Kenya wapata hasara ya mamilioni
Wafugaji samaki kwenye Ziwa Viktoria upande wa Kenya wamepatwa na hasara kubwa baada ya samaki wao kufa ghafla.
Nini kinafuata Lebanon baada ya mauaji ya Nasrallah?
Ahmed Rajab anachambua yale yanayowezekana kujiri kufuatia mauaji dhidi ya kiongozi wa Hizbullah nchini Lebanon.
Sudan yapinga kuushambulia ubalozi wa UAE
Jeshi la Sudan limekanusha kuyashambulia kwa mabomu makaazi ya balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu mjini Khartoum.
Chama cha mrengo wa kulia chashinda Austria
Chama cha mrengo wa kulia nchini Austria chapata ushindi wa kwanza kwenye uchaguzi wa bunge.
Sita wafa kwa Marburg Rwanda
Wizara ya Afya wa Rwanda imesema watu sita wamekufa kutokana na mripuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg
Biden kuitembelea Afrika katikati ya Oktoba
Ziara ya Rais Biden itaanzia nchini Angola, taifa linalotazamwa na Marekani kama mshirika mkuu kuelekea maslahi yake.
Benki ya Dunia yaiidhinishia Nigeria dola bilioni 1.57
Benki ya Dunia imeidhinisha kitita cha dola bilioni 1.57 chini ya mpango mpya wa kuzisaidia sekta kadhaa nchini Nigeria.
Urusi yaishambulia tena Kiev kwa droni
Jeshi la anga la Ukraine linasema limezidunguwa droni kadhaa zilizorushwa na Urusi kwenye mji mkuu, Kiev.
Israel yaendelea kuishambulia Lebanon
Israel imeendelea na mashambulizi nchini Lebanon, ambapo jengo moja la makaazi limeshambuliwa katikati ya Beirut.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 30 wa 152
Ukurasa unaofuatia