You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
12.08.2025 - Matangazo ya Jioni
Israel imesema mahusiano yake na Ujerumani yameathirika kutokana na uamuzi wa Berlin kuzuia kuipelekea Tel Aviv sehemu ya silaha+++Dunia hii leo inaadhimisha Siku ya Tembo katikati ya kitisho cha wanyama hao kupotea.
Uhusiano na Ujerumani umeathirika - Balozi wa Israel
Baraza la Ulaya zikiyataka mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya kuzuia upelekaji silaha Israel ikiwa zitatumika vibaya.
12.08.2025 - Matangazo ya Mchana
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amemshtumu mwenzake wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa kuendelea kupingana na uhalisia wa hali ngumu ya kibinadamu inayowakabili raia katika Ukanda wa Gaza+++Wanamgambo wa RSF nchini Sudan, wamefanya mashambulizi katika kambi iliyoathiriwa vibaya na njaa ya wahamiaji, viungani mwa mji wa el-Fasher
Trump kukutana ana kwa ana na Putin
Trump atakutana na Putin kwa mara ya kwanza tangu uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine miaka mitatu iliyopita.
12.08.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Mawaziri wa mambo ya nje wa Ulaya wamefanya mkutano kwa njia ya video uliojadili namna ya kuiunga mkono Ukraine+++Rais Yoweri Museveni anafanya juu chini kuwavutia wafuasi wa Robert Kyagulanyi al maarufu Bobi Wine wanaojulikana kama wana Ghetto.
12.08.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Takriban watu 55 wauawa na vikosi vya Israel huko Gaza. Viongozi wa Ulaya kuzungumza na Trump kabla ya mkutano wa Alaska. Wanamgambo wa RSF wauwa watu 40 katika kambi iliyopo Darfur Kaskazini.
11.08.2025 Matangazo ya Jioni
Wapalestina wameshuhudia mashambulizi makubwa zaidi leo Jumatatu katika maeneo ya mashariki mwa mji wa Gaza//Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania, Job Yustino Ndugai, amezikwa hii leo, shambani kwake wilayani Kongwa mkoani Dodoma// Michuano ya CHAN inaendelea huko Afrika Mashariki huku leo ikiwa zamu ya kundi C ambapo mechi inayoelekea ukingoni kwa sasa ni kati ya Afrika Kusini na Guinea.
11.08.2025 Matangazo ya Mchana
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameutetea mpango wake wa kuutwaa mji wa Gaza// Mbio za urais nchini Tanzania zinaendelea kushika kasi baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa taifa hilo la Afrika Mashariki, Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu//Watu 63 wamekufa nchini Sudan kutokana na utapiamlo katika muda wa wiki moja.
Australia yatangaza kulitambua dola la Palestina
Robo tatu ya mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa tayari au yanapanga kulitambua taifa hilo la Mashariki ya Kati.
Wamassai waendeleza mila kupitia sanaa ya muziki, Kajiado
Jamii ya Wamassai nchini Kenya imekuwa ikijivunia mila zake za jadi kwa muda mrefu ila ujio wa kizazi kipya cha vijana kutoka jamii hiyo, imeonekana kama isiyozingatia desturi zao. Ndio maana viongozi wa jamii hiyo wanaendesha sasa kampeni ya kuwafunza vijana mila na desturi zao kupitia sanaa ya muziki. Makala ya Utamaduni na Sanaa inaangazia hayo.
Kenya yatoa mafunzo ya magari ya umeme kwa madereva wake
Licha ya wamiliki wa magari binafsi Kenya kuzidi kununua magari ya umeme, bado nchi hiyo haina magari ya aina hiyo katika sekta ya usafiri wa umma. Baadhi ya wadau wamezindua mpango wa mafunzo wa magari hayo, unaolwaenga madereva wa usafiri wa umma, wakihimiza matumizi yake yana faida nyingi.
Je teknolojia ya AI inaweza kukupa ushauri wa kimapenzi?
Katika makala ya vijana Mubashara tunakuuliza je, kwanini baadhi ya vijana wameamua kugeukia teknolojia ya akili mnemba ama AI kwa ajili ya kupata ushauri wa kimapenzi na hata kuanzisha mahusiano, ukizingatia kuwa AI haina hisia kama alivyo mwanadamu?
11.08.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
11.08.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Israel yakosolewa vikali katika Mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mpango wake wa kutanua operesheni za kijeshi huko Gaza. Rais wa Ukraine apata uungwaji mkono wa Umoja wa Ulaya na NATO kabla ya mkutano wa Trump na Putin. Watu 63 wafariki kwa utapiamlo ndani ya wiki moja huko El-Fasher nchini Sudan.
Ulaya yashinikiza Ukraine ihusishwe juhudi za kumaliza vita
Viongozi wa Ulaya wamesisitiza hitaji la kuishinikiza Moscow kumaliza vita na kulinda maslahi ya Ukraine na Ulaya.
09.08.2025: Matangazo ya Jioni
Sikiliza Matangazo ya Jioni kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW
08.08.2025 - Matangazo ya Jioni
Ujerumani imesema imesitisha kuipa Israel silaha kwa ajili ya matumizi katika Ukanda wa Gaza+++Mazungumzo kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 yaliyokuwa yameahirishwa kwa muda usiojulikana baada ya kuwa yalitatarajiwa kurejea leo mjini Doha, Qatar.
Makala ya Afrika wiki hii
Hatua ya matifa kadhaa ya Afrika kukubali kuwapokea wahamiaji waliofukuzwa kutoka Marekani imeibua hisia mseto na wasiwasi wa kiusalama. Nchini Tanzania, mchakato wa uteuzi wa viongozi watakaochuana katika uchaguzi mkuu ujao ulishika kasi huku vyama vya upinzani vikiwachagua wagombea wao wa kiti cha urais. Na mzozo wa mashariki mwa DRC waendelea kufukuta licha ya makubaliano ya amani.
Maoni: Miaka 80 ya mashambulizi ya Hiroshima na Nagasaki
Watu wa Japan na wa dunia nzima kwa jumla wanayakumbuka maafa makubwa yaliyotukia kwenye miji ya Japan ya Hiroshima na Nagasaki miaka 80 iliyopita. Marekani iliishambulia miji hiyo kwa mabomu ya nyuklia. Wachambuzi wanajadili matumizi hasi na chanya ya tekinolojia ya nyuklia. Mwenyekiti Zainab Aziz
08.08.2025 - Matangazo ya Mchana
Baraza la Usalama nchini Israel limeunga mkono mpango wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu wa kuuchukua na kuukalia kimabavu mji wa Gaza+++Kenya imetangaza kuwa haina nia yoyote ya kulipiza kisasi dhidi ya Tanzania kufuatia uamuzi wake wa hivi majuzi wa kuwapiga marufuku wageni kushiriki katika biashara ndogo ndogo
08.08.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Baraza la Usalama la Israel limefanya kikao kujadili uwezekano wa kutanua operesheni yake ya kijeshi dhidi ya kundi la Hamas katika Ukanda wa Gaza+++Baraza la Usalama la Israel limefanya kikao kujadili uwezekano wa kutanua operesheni yake ya kijeshi dhidi ya kundi la Hamas katika Ukanda wa Gaza
07.08.2026 - Matangazo ya Jioni
Baraza la usalama la Israel linakutana leo jioni kujadiliana kuhusu uwezekano wa kutanua operesheni zake za kijeshi kwenye Ukanda wa Gaza+++Simanzi na majonzi bado vimetawala nchini Tanzania kufuatia Kifo cha aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai aliyefariki dunia jana wakati akipatiwa matibabu katika moja ya hospitali jijini Dodoma
07.08.2025 - Matangazo ya Mchana
Umoja wa Ulaya umesema hali katika Ukanda wa Gaza inazidi kuwa mbaya na hasa kutokana na hatua zinazoendelea kudhoofisha shughuli za kibinadamu+++Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu, Volker Turk amelikosoa kwa matamshi makali kundi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda analosema limehusika na mauaji ya watu 319 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
07.08.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Mkuu wa jeshi la Israel Eyal Zamir ameelezea wasiwasi wake kwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu wakati wa mazungumzo kuhusu kuvitanua vita vya Gaza+++Ghasia za kijihadi ambazo hazijadhibitiwa zimewalazimu wakazi wa vijijini kukimbia kutoka maeneo ya kilimo ya Kaskazini mwa Nigeria.
07.08.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Baraza la mawaziri la Israeli kuamua leo kuhusu mpango wa kuudhibiti Ukanda wa Gaza. Rais wa Marekani Donald Trump asema huenda akakutana na rais wa Urusi Vladimir Putin. Na Sudan yasema jeshi lake limeiharibu ndege ya Emarati na kuwaua wapiganaji 40 mamluki.
06.08.2025 Matangazo ya Jioni
Chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT-Wazalendo leo kimefanya mkutano wake mkuu na kuwachagua aliyekuwa mbunge wa CCM, Luhaga Mpina na kada wa ACT Aaron Kalikawe, kuwa wagombea wa urais kupitia chama hicho// Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye amewaapisha mawaziri 13 wa serikali mpya inayoongozwa na Waziri Mkuu Nestor Ntahontuye baada ya kufanya mabadiliko makubwa hapo jana//
Hiroshima yakumbuka miaka 80 ya shambulio la bomu la atomiki
Hiroshima inakumbuka miaka 80 tangu Marekani ilipoushambulia mji huo wa magharibi mwa Japan kwa bomu la atomiki.
06.08.2025 Matangazo ya Mchana
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana kujadili mzozo unaondelea katika Ukanda wa Gaza//Leo tarehe 6 Agosti, Japan inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 tangu kutokea kwa mashambulizi ya bomu la atomiki katika mji wa Hiroshima// Afrika Kusini imeeleza wasiwasi wake kuhusu usalama wa kikanda, kufuatia hatua ya Marekani kuwarejesha wahalifu katika taifa jirani la Eswatini.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 6 Agosti 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 6 Agosti 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 6 Agosti 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 6 Agosti 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Baraza la Usalama lajadili mateka wa Israel
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana kujadili mzozo unaoendelea katika Ukanda wa Gaza.
Netanyahu aashiria operesheni pana zaidi ya kijeshi Gaza
Netanyahu ameashiria kwamba atachukuwa uamuzi wa hatua kubwa zaidi ya kijeshi dhidi ya Ukanda wa Gaza
NATO kuwasilisha kiwango kikubwa cha silaha kwa Ukraine
NATO imeanza kuratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kutowa euro milioni 500.
Mpinzani mkuu wa Biya azuiwa kuwania urais Cameroon
Mahakama ya Katiba imekataa ombi la kugombea urais la mpinzani mkubwa wa Rais Paul Biya kwenye uchaguzi wa Oktoba.
Marekani yawataka Wamalawi, Wazambia kulipia dola 15,000
Marekani imetangaza kwamba raia wa Zambia na Malawi watalipia dhamana ya dola 15,000 ili kuweza kuingia Marekani
05.08.2025 - Matangazo ya Jioni
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yametahadharisha kuwa maelfu ya familia zilizokwama katika mji wa El-Fasher, Darfur Magharibi nchini Sudan, ziko hatarini kukumbwa na njaa kali+++Mkutano wa wakuu wa taasisi za kuzuia na kupambana na rushwa katika nchi za SADC umebainisha kuwa nchi hizo bado zinakabiliwa tishio la usalama.
Mwangaza wa Ulaya: Utalii wa kupindukia katika miji ya Ulaya
Utalii wa kupindukia umekuwa tatizo linaloongezeka katika miji mingi na maeneo ya likizo barani Ulaya. Hilo limekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wanaolalamika kukosa nafasi zenye utulivu, kupanda kwa bei ya makazi, chakula na bidhaa nyingine muhimu. Baadhi ya nchi sasa zimeanza kuchukua hatua za moja kwa moja kudhibiti mtiririko wa wageni kwa kuweka kodi ya utalii na kuanzisha kikosi maalum.
Rwanda kuwapokea wahamiaji 250 kutoka Marekani
Rwanda imetangaza kuwa itawapokea wahamiaji wasio na vibali 250 kutoka Marekani.
05.08.2025 - Matangazo ya Mchana
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anatarajiwa kuwasilisha mpango mpya wa kijeshi kuhusu vita vya Gaza+++Rwanda imetangaza kuwa itawapokea wahamiaji haramu 250 kutoka Marekani.
Israel yaomba kikao Baraza la Usalama kujadili mateka
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anatarajiwa kutangaza "mkakati wa vita" unaojumuisha kuikalia tena Gaza kimabavu.
05.08.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 5 Agosti 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
05.08.2025 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 5 Agosti 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Wapalestina 16 wauawa wakisaka chakula Gaza
Zaidi ya Wapalestina 15 wameuawa na wengine kujeruhiwa ndani ya kipindi cha masaa 24 yaliyopita kwenye Ukanda wa Gaza.
Wahouthi warusha tena makombora kuelekea Israel
Jeshi la Israel linasema limefanikiwa kulidunguwa kombora lililorushwa kutoka nchini Yemen mapema leo.
Bolsonaro wa Brazil awekwa kifungo cha nyumbani
Mahakama ya Juu ya Brazil imeamuru kifungo cha nyumbani kwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro.
Rwanda, Marekani zafikia makubaliano kupokea wahamiaji 250
Imebainika kwamba Rwanda na Marekani tayari zimeshasaini makubaliano ya kuwachukuwa wahamiaji 250 waliofukuzwa Marekani.
Mkutano wa kimataifa juu ya plastiki wafanyika Geneva
Wawakilishi wa visiwa wanapigania kusainiwa mkataba huo muhimu kwa vita dhidi ya uchafuzi wa mazingira.
04.08.2025 Matangazo ya Jioni
Mapambano ya kisiasa yanaendelea katika majimbo mbalimbali nchini Tanzania, wakati wenye nia ya kuwania ubunge na udiwani wakipita katika kila kata ndani ya majimbo kuomba ridhaa// michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani - CHAN 2024 inayoendelea kurindima Afrika Mashariki.
China yaweka ´kigingi´ matakwa ya kibiashara ya Marekani
Mvutano mkubwa umeibuka kati ya Marekani na China kuhusu ununuzi wa mafuta kutoka Urusi na Iran.
04.08.2025 Matangazo ya Mchana
Bunge la Tanzania limekamilisha rasmi muda wake wa miaka mitano Jana tarehe 3 Agosti 2025, ikiwa ni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kulivunja kwa mujibu wa katiba ya taifa hilo// Machafuko mapya yaliyozuka katika jimbo la Sweida kusini mwa Syria.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 152
Ukurasa unaofuatia