You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
04.10.2024 - Matangazo ya Mchana
Lebanon imesema shambulizi la Israel leo Ijumaa limeharibu barabara kuu kuelekea Syria+++Takribani watu 78 walifariki baada ya boti iliyojaa watu kupita kiasi kupinduka kwenye Ziwa Kivu Mashariki mwa Kongo jana.
Ayatullah Ali Khamenei atetea kuishambulia Israel
Ayatollah Ali Khamenei ametumia hotuba ya Sala ya Ijumaa kutetea shambulizi la makombora la nchi yake dhidi ya Israel.
Rwanda: Watu 11 wafa kwa Marburg
Mamlaka za Afya nchini Rwanda zimesema homa hatari ya Marburg inayohusisha mgonjwa kuvuja damu imewaua watu 11.
Ramaphosa akabiliwa tena na mchakato wa kumuondowa
Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini itaanza kusikiliza kesi ya kuufufua mchakato wa kumuondoa madarakani Rais Ramaphosa.
Mahojiano: Kinachoendelea Kongo baada ya ajali mbaya ya boti
Ruth Alonga anasimulia yanayojiri baada ya ajali ya mashua kwenye Ziwa Kivu mashariki mwa Kongo kusababisha vito kadhaa.
Israel yaendelea kuishambulia Lebanon
Israel imefanya mashambulizi makali usiku wa kuamkia leo kwenye viunga vya mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
Ghana yathibitisha maambukizo ya kwanza ya mpox
Ghana imethibitisha maambukizo ya kwanza ya ugonjwa wa mpox wakati maradhi hayo yanaendelea kusambaa barani Afrika.
Waliokufa ajali ya boti Kongo wafikia 78
Idadi ya watu waliokufa kutokana na ajali ya boti nchini Kongo imefikia 78 huku juhudi za kuwatafuta wengine zinaendelea
Urusi yaitaka Magharibi kuindolea vikwazo Afghanistan
Urusi imeyatolea mwito mataifa ya Magharibi kuondoa vikwazo ilivyoweka dhidi ya utawala wa Taliban nchini Afghanistan.
Orban atahadharisha Ulaya, China zaelekea vita vya kiuchumi
Waziri Mkuu wa Hungary ametahadharisha kwamba Umoja wa Ulaya unaelekea kwenye "vita baridi vya kiuchumi" na China.
Hoffenheim yaibwaga Dynamo Kyiv 2-0
Hoffenheim imepata ushindi wa 2-0 dhidi ya Dynamo Kyiv katika mechi ya mashindano ya Ligi ya Ulaya.
Ukraine yaimarisha ulinzi mashariki mwa Donetsk
Jenerali Oleksandr Syrskyi, ameamrisha kuimarishwa kwa ulinzi katika eneo la mashariki mwa Donetsk.
Melania Trump aunga mkono haki ya kutoa mimba
Mke wa Donald Trump, Melania Trump, anaunga mkono haki ya kutoa mimba katika kumbukumbu yake aliyoiandika.
Kimbunga Helene chaua 210 Marekani
Watu 210 wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na Kimbunga Helene kilichoyapiga majimbo kadhaa ya Marekani.
Watu 11 wauawa Haiti
Karibu watu 11 wameuwawa na dazeni kadhaa wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa nchini Haiti.
Kim Jong Un atishia kutumia nyuklia
Kim Jong Un ametishia kutumia silaha za nyuklia na kuisambaratisha kabisa Korea Kusini iwapo nchi hiyo itamchokoza.
03.10.2024: Matangazo ya Jioni
Zaidi ya watu 50 wafariki kufuatia ajali ya meli nchini DRC. Mzozo wa Mashariki ya Kati waendelea kutokota na Ujerumani yaadhimisha miaka 34 ya muungano.
03.10.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Ujerumani inaadhimisha miaka 34 ya muungano/ Jeshi la anga la Israel lililenga jengo la Bint Jbeil, kunakofanyika operesheni za kundi la Hezbollah
02.10.2024 Matangazo ya Jioni
Israel bado imeshikilia msimamo wake kuwa muda wowote kutoka sasa, italipiza kisasi mashambulizi ya makombora yaliyofanywa na Iran nchini mwake// Nchini Rwanda kunakoripotiwa vifo vya watu watano baada ya kuambukizwa virusi vya Marburg// Mechi za ligi ya mabingwa barani Ulaya zinachezwa tena leo usiku.
Mahojiano: Rwanda na vifo kutokana na virusi vya Marburg
Amina Abubakar amezungumza na mwandishi wa habari anayeishi mjini Kigali, Khalid Hassan, kujuwa yanayoendelea kwa sasa.
Mazingira: Ziwa Turkana lafurika
Michael Kwena anasimulia majaliwa ya ziwa hilo muhimu kwa Wakenya.
Mahojiano: Je, Iran inatuma ujumbe gani kwa Israel?
Ahmed Rajab, mchambuzi wa masuala ya kimataifa anayeishi mjini London, Uingereza, anachambuwa.
Mahojiano: Kipi kitajiri baina ya Iran na Israel?
Abdul Fattah Mussa anafafanuwa kipi kinaweza kujiri endapo Iran na Israel zitaendelea kushambuliana.
Urusi yatupilia mbali mazungumzo ya nyuklia na Marekani
Urusi imeondoa uwezekano wa mazungumzo ya kuhusu nyuklia na Marekani kutokana na msimamo wa upanuzi wa NATO.
Umoja wa Ulaya waikaribisha Uingereza kwa mashirikiano
von der Leyen amemakaribisha Starmer na kumwalika kushirikiana kwa karibu zaidi katika nyakati hizi tete.
Tel Aviv yamtangaza Guterres mtu asiyetakiwa Israel
Israel imemtangaza Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio kuwa mtu asiyetakiwa kuonekana nchini humo.
Uganda yasaka ufadhili wa kuzalisha megawati 1,600 za umeme
Uganda inasaka ufadhili wa ujenzi wa mitambo mitatu ya kuzalisha umeme wa nyongeza wa maji wa zaidi ya megawati 1,600.
Tunisia yawakamata washukiwa ajali ya boti ya wahamiaji
Mamlaka za Tunisia zimewakamata watu wanaoshukiwa kuhusika na boti iliyozama na kusababisha vifo vya wahamiaji 15.
Watu zaidi ya 700,000 wakimbia machafuko Haiti
Umoja wa Mataifa unasema kwamba zaidi ya watu 700,000 wameyakimbia makazi yao nchin Haiti.
Washirika wa rais wa Benin wakamatwa kwa kujaribu kumpindua
Washirika wawili wa Rais Patrice Talon wa Benin wamekamatwa kwa tuhuma za kupanga mapinduzi dhidi yake.
02.10.2024 Matangazo ya Mchana
Eneo la Mashariki ya Kati liko ukingoni mwa vita kamili vya kikanda baada ya Iran kuvurumisha hapo jana mamia ya makombora kuelekea Israel, huku hali ikizidi kuwa tete huko Lebanon// Ripoti mpya ya Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO, imesema katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, idadi ya vifo kutokana na ajali za barabarani imeongezeka kwa kiasi kikubwa barani Afrika.
Gabon yadai mzozo na Guinea ya Ikweta ulishamalizika 1974
Gabon imeiambia ICJ mzozo wake na Guinea ya Ikweta juu ya umiliki wa visiwa ulishasuluhishwa tangu mwaka 1974.
Starmer aanza mchakato wa kupunguza makali ya Brexit
Starmer anakwenda Brussels kujaribu kurejesha upya uhusiano wa nchi yake na Umoja wa Ulaya uliotatizwa na Brexit.
Mwangaza wa Ulaya: Chama cha FPÖ chashinda uchaguzi Austria
Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia kinachojinasibu cha uhuru wa Austria FPÖ, kimeibuka mshindi kwa kujipatia asilimia 29.2 ya kura kwenye uchaguzi wa Bunge uliofanyika katika taifa hilo la Ulaya lenye watu milioni 9. Kiongozi wa chama hicho na waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa Austria Herbert Kickl ameutaja ushindi huo kuwa wa kihistoria.
Wahamiaji wafa maji pwani ya Djibouti
Watu kadhaa wanahofiwa kufa baada ya boti mbili zilizokuwa zimewabeba wahamiaji kuzama nje kidogo ya pwani ya Djibouti.
Papa Francis aufungua mkutano wa kilele wa Kanisa Katoliki
Kiongozi wa Kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Francis ameufungua mkutano wa kilele wa viongozi wa kanisa hilo.
Wagombea umakamu rais Marekani washiriki mdahalo
Tim Walz na JD Vance, wamepambana katika mdahalo wa televisheni uliogubikwa na masuala mazito.
WHO: Afrika ina barabara, gari chache lakini ajali nyingi
WHO inasema ingawa Afrika ina barabara na magari machache zaidi, ndiyo yenye idadi kubwa ya ajali za barabarani.
Ujerumani yazitaka Iran, Hizbullah kutoishambulia Israel
Scholz amezitolea wito Iran na Hizbullah kuacha kuishambulia Israel, akionya Iran inatishia vita vya ukanda mzima.
Rwanda: Wengine watano wafa kwa Marburg
Watu watano wamekufa nchini Rwanda baada ya kuambukizwa virusi vya Marburg na kufanya idadi ya waliokufa kufikia 11.
Ukraine yachunguza kuuawa wanajeshi 16
Ukraine imeanzisha uchunguzi wa mauaji ya wanajeshi wake 16 wafungwa wa kivita kwa kupigwa risasi na vikosi vya Urusi.
Mexico yapata rais wa kwanza mwanamke
Claudia Sheinbaum ameapishwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa Mexico siku ya Jumanne (Oktoba 1).
Marekani yahimiza haki za wafanyakazi wa bandarini
Marekani imevitaka vyama vya waajiri wa wafanyakazi wa bandarini kufanya mazungumzo ya kuandaa mikataba ya haki.
Ufaransa yaongeza upekuzi mipakani kudhibiti uhamiaji
Ufaransa inarefusha upekuzi katika mipaka yake kudhibiti uhamiaji usio halali kwa muda mrefu kadri itakavyohitajika.
Wabunge waridhia mjadala wa kumuondoa makamu rais Kenya
Wabunge nchini Kenya wameridhia kuanza mjadala kuhusu kumuondoa madarakani naibu wa rais Righathi Gachagua.
Somalia yapiga marufuku mifuko ya plastiki
Somalia imeweka marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki kusaidia kukabiliana na uchafuzi wa mazingira.
Borussia Dortmund yaibwaga Celtic 7-1
Karimi Adeyemi alifunga mabao 3 katika kipindi cha kwanza katika ushindi wa 7-1 wa Borussia Dortmund dhidi ya Celtic.
Israel yaapa kuendeleza mashambulizi kote Mashariki ya Kati
Israel imesema itaendelea kufanya mashambulizi kwa nguvu kote Mashariki ya Kati kufuatia makombora ya Iran.
02.10.2024 Matangazo ya Asubuhi
Iran imeishambulia Israel kwa dazeni kadhaa za makombora // Kwa miaka kadhaa Umoja wa Ulaya umekuwa ukiimarisha sera yake ya uhamiaji, lakini umaarufu unaoongezeka wa siasa kali za mrengo wa kulia unafanya nchi wanachama kugombana kuhusu mpango wao mpya wa mageuzi ya kuomba hifadhi// Hoja ya kumuondoa madarakani naibu rais wa Kenya Rigathi Gachagua iliwasilishwa katika bunge la taifa hilo jana.
01.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Wabunge nchini Kenya wameanzisha mchakato wa kumtimua naibu wa Rais Rigathi Gachagua+++Mkuu wa ofisi ya habari ya kundi la wanamgambo la Hezbollah Mohammad Afif amesema wapiganaji wake hawajakabiliana moja kwa moja na jeshi la Israel
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 29 wa 152
Ukurasa unaofuatia